Safari Njema.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,437
1,025
John na James wanataka kusafiri kutoka Kashozi kwenda Katerero.John anasafiri kwa baiskeli na James anatumia gari ambayo spidi yake ni mara sita ya spidi ya baiskeli ya John.Bahati mbaya gari ya James ilipata breakdown katikati ya safari.James alipewa 'lift' na dereva wa tractor yenye spidi nusu ya ile spidi ya baiskeli ya John.SWALI;Kati ya James na John,nani alikuwa wa kwanza kufika Katerero?Assume kashozi-katerero=120km.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom