Safari njema kiwatengu

Msafiri salama, Mungu awe pamoja nanyi.
Poleni sana kwa msiba, Mungu awape faraja katika hili
 
Reactions: BAK

Nikajua umekufa rafiki yangu, dah samahani bwana kumbe ni safari.
 
Last edited by a moderator:

Watakuambia tu! vuta subira..itanoga wakikuambia wao ambao ndiyo wachagga..hivi mkuu Mr Rocky, unafahamu kama mimi ni mmakonde?
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky tulishakutenga na watu wa home
so hakuna hata umuhimu wa kuambiwa mambo makubwa yanayotokea huko. kiwatengu usisahau kuniletea sale pale mgombani nina kazi nalo.
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky tulishakutenga na watu wa home
so hakuna hata umuhimu wa kuambiwa mambo makubwa yanayotokea huko. kiwatengu usisahau kuniletea sale pale mgombani nina kazi nalo.

Sale unaenda kumuomba nani msamaha hapa
haya nitengeni tuu ila mi siwezi kuwa kyasaka hata siku moja Mamndenyi mi ni chagga bana popote pale nitakapokuwa am proud to be chagga tena wa marangu

ha ha ha ha....unamfahamu buddy wangu wakaribu anayeitwa MMAHE? by the way i'm proud to be makonde...
kiwatengu how come unakijua kichagga sasa au umeao huko nini aise utuambie mkuu
Haya bana hongera kwa kuwa Makonde bana siku moja nitaenda Ntwara na Chongea kuwasalimia
 
Last edited by a moderator:
Nilishtuka sana Mkuu manake juzi kati nilikuwa nasoma comment zako kwenye ule uzi wa mustakabali wa elimu yetu halafu huku naona salamu za kuagwa.

hapana mkuu, tupo pamoja bado...
 
nina kazi nalo hilo sale
 
mi msinitenge najua tamaduni vizuri na kila kitu nakijua... Mr Rocky kutengwa kubaya..rudi kundini ndugu yangu!!


Hahahhaa kiwatengu nitarudi tuu bana nimekuwa mtu wa safari nyingi situlii home na halafu sipati ile kitu yao ile wanaita mbege basi wananiona mi mchagga pori
 
Last edited by a moderator:
Hahahhaa kiwatengu nitarudi tuu bana nimekuwa mtu wa safari nyingi situlii home na halafu sipati ile kitu yao ile wanaita mbege basi wananiona mi mchagga pori

hebu niambie sehemu 3. ambazo unazijua vyema kwa upande wa Mamba. Ukitoa kisambo!!
 
Last edited by a moderator:
hebu niambie sehemu 3. ambazo unazijua vyema kwa upande wa Mamba. Ukitoa kisambo!!

Kuna Komakundi, Kokirie, masia, Maande, Mboni, Msae, Rauya, Kimbogho, Kondeni, Riata, au unataka niendelee kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
pamoja..nakaribia himo sasa!!

Nisalimie wakwe zangu watarajiwa huko Moshi mkuu nategemea kuwaibia mchaga wao aje Lushoto nahisi ataipenda Lushoto manake hali ya hewa somehow inafanana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…