Safari kutoka Mtwara mpaka Comoro

Safari kutoka Mtwara mpaka Comoro

Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni
Nenda ulizia uhamiaji,watakupa majibu mazuri kuliko huku,watu watakuposha na kukudhihaki.
 
Back
Top Bottom