Ilo litakua ni jahazi la Daz nundaz maana Walisema lina vichwa vitano.Panda ndege wewe dola 300 uko hapo mjini Comoro
Majahazi mtwara mpk ufike huko ushabakwa sana tu
Ukitumia jahazi jiandae kuliwa uroda.
Hapo Comoro kwa ndege ni lisaa 1 tu umefika,Msipotoshe watu
Jahazi hilo la kwenda Comoro linaanzia wapi?
Msimbati MtwaraMsipotoshe watu
Jahazi hilo la kwenda Comoro linaanzia wapi?
Msimbati Mtwara
Au avuke mto Ruvuma akapandie Quionga,Palma au Mocimboa ndipo vyombo vya Wamakua vinapatikana kwa wingi
Akipita nchi kavu kwa barabara kupitia Mweda, akapandie Pemba ni jirani na kuna maboti
Nina mpango wa kupotea kabisa kwenye hii nchi, vipi huko kunafaa kuendesha maisha?Kwa meli ni siku 3 au 4 kuna meli za mizigo zinakuwa hapo bandarini zinapakia cement na mizigo inabidi uongee na agent akuunganishe.
kwa njia Ndege ni mpaka uende Dar es Salaam au Zanzibar
Ukiilewa unguja hata comoro iko kama unguja. Hata mm miaka kadhaa mbele naenda huko sasahiv niko UngujaNina mpango wa kupotea kabisa kwenye hii nchi, vipi huko kunafaa kuendesha maisha?
Pemba ya Msumbiji sio Pemba ya Tanzania.Pemba na Unguja ni ipi hasa ipo karibu na Komoro mbona kama Pemba mbali zaidi
Pemba ya Msumbiji sio Pemba ya Tanzania.
Mji mkuu wa Cabo Delgado.
.Mkuu si hayo ni maeneo ya magaidi msumbiji si atakatwa shingo?Msimbati Mtwara
Au avuke mto Ruvuma akapandie Quionga,Palma au Mocimboa ndipo vyombo vya Wamakua vinapatikana kwa wingi
Akipita nchi kavu kwa barabara kupitia Mweda, akapandie Pemba ni jirani na kuna maboti
Unasafiri wewe ama tenda ya kumsafirisha hpp?Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni
Mkuu kama bado unayo Marinda na unayathamini nakushauri uendelee kuyalinda kwa kubaki Tanganyika.Nina mpango wa kupotea kabisa kwenye hii nchi, vipi huko kunafaa kuendesha maisha?
Kwa Kina LuchaMsipotoshe watu
Jahazi hilo la kwenda Comoro linaanzia wapi?
Pemba ipo Msumbiji ndugu yanguPemba na Unguja ni ipi hasa ipo karibu na Komoro mbona kama Pemba mbali zaidi