Lete hoja za maana achana Na upuuzi, kama huna kitu si lazima ku post , tuliza kichwa yako
Kweli kabisa nakubaliana na wewe CCM imekuja na mbinu mpya ya kukata shingo wapinzani hiyo sera ni mtaji tosha wa CCM.CCM imekuja na mbinu mpya na wananchi wanakubali serikali yetu. Kuna kila daliili ifikapo JULAI vijana watarudi tena nyumbani, CCM!!
ukimkimbiza kichaa watu watakuona wewe ndie kichaa pole sana kichaa wa ccmKweli kabisa nakubaliana na wewe CCM imekuja na mbinu mpya ya kukata shingo wapinzani hiyo sera ni mtaji tosha wa CCM.
ukimkimbiza kichaa watu watakuona wewe ndie kichaa pole sana kichaa wa ccm
Tukiwa ni karibu 50% ya kuelekea uchaguzi mkuu 2015, kuna kila dalili timu ya CCM ipo makini sana na inatumia uzoefu na mbinu za hali juu, kuidhoofisha timu ya upinzani, CDM ambayo uzoefu haina
1. CDM walilia kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya: JK akatoa tamko la mkakati kuanza; CCM 1 vs CDM 0
2. CDM kulalamika mawazo yao kutokuwepo katika namna ya uanzishaji na utaratibu wa kufikia katiba mpya: JK akisikia kilio chao na kuwakaribisha IKULU wakatoa mawazo yao; CCM 2 vs CDM 0
3. CDM kupendekeza mjumbe katika tume ya kukusanya maoni, JK kumteua na kumuapisha Prof. Baregu; CCM 3 vs CDM 0
4. CDM kushinikiza PM awajibike ama mawaziri wapigwe chini; JK kuwatoa nje ya baraza mawaziri husika; CCM 0 vs CDM 1
Hatahivyo upepo umegeuka ghafla CDM inabidi mjizatiti, CCM imekuja na mbinu mpya na wananchi wanakubali serikali yetu. Kuna kila daliili ifikapo JULAI vijana watarudi tena nyumbani, CCM!!

Duh! Kweli una akili za aina ya kipekee kabisa, na ndizo hasa unazohitaji kuwa nazo ili kuwa hapo ulipo. Hongera kwa bandiko zuri. Keep it up!!