min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,545
- 178,443
Kocha maboga mabichi mzuri mno , hawa jamaa ni wenge la kufungwa na Simba tu, hakuna kingine.Namuita wakili wangu msomi@Shadeeya anitetee.
Kocha maboga mabichi mzuri mno , hawa jamaa ni wenge la kufungwa na Simba tu, hakuna kingine.Namuita wakili wangu msomi@Shadeeya anitetee.
Acha uongo hatukua na gusa achia yoyote.
Hiyo gusa achia yako mbona sijaiona na MC Alger?
Matokeo yake tukashindwa kupata goli moja tu.
Mzungu anaitwa SaidiNdiyo hivyo sasa. Uongozi ukimrudisha atafungasha mabegi yake ndani ya muda mfupi na kurejea alikotoka.
Usiwasanue wakaanza usumbufu.Kocho maboga mabichi mzuri mno , hawa jamaa ni wenge la kufungwa na Simba tu, hakuna kingine.
Na watoa tongo tongo ila ni ngumu kusanuka wakibondwa 8 na zamaleki ndio watasanuka maboga mabichi hakua tatizo😅Usiwasanue wakaanza usumbufu.
Kocha ni gamondi tu hizi nyingine ni takataka
Maboga mabichi kaondoka zake katuachia Wana-Yanga pumpkin heads!Mola atunusuruNa watoa tongo tongo ila ni ngumu kusanuka wakibondwa 8 na zamaleki ndio watasanuka maboga mabichi hakua tatizo😅
Typing error mkuu, ilipaswa iwe "anashinda" kwa kubahatisha!ANASHINDWA KWA KUBAHATISHA?
Anajua wapi yule alianza kuwaweka bench wachezaji wazuri na alimchukua yule mreno mwenzie acheze na kuwaacha watu bora angekua anajua angekua na Timu ya ushindani sio ya kutoka hizo hatua..Mbona anajua au kutolewa imekua shida mkuu😅
Mzungu anaitwa Saidi
Usiwasanue wakaanza usumbufu.
Baka anatambaa kama sungululu , diarra anaruka mpaka shanga 3 kiunoni zinaonekana, mpanzu yeye anapita na kwenye zake nyavuni lawama kwa maboga mabichi 🤔Maboga mabichi kaondoka zake katuachia Wana-Yanga pumpkin heads!Mola atunusuru
Kumbe anahitajika,hajafurushwa?Na mamelod sundown wanamtaka Steve Barker
Kwasababu nina nguvuMbona wewe unaitwa nguvu
Kale ni ka Bro ketu kale wacha kakinukishe! Nasikia kanasema uchaguzi ni batili!Mangungu amekinukisha huko au hujasikia
Ana ubingwa wa Caf lakini 🤔Anajua wapi yule alianza kuwaweka bench wachezaji wazuri na alimchukua yule mreno mwenzie acheze na kuwaacha watu bora angekua anajua angekua na Timu ya ushindani sio ya kutoka hizo hatua..
Mamelodi walitaka kumuondoa msimu uliopita wakaona wapo kwenye CAF hatua za mwishoni wasije kujichanganya kwa sababu alifanya makosa ya kulikosa kombe la ligi kwa kuwaacha wachezaji huku akisafiri na kikosi kidogo hata mechi za fainal ilikua inashambuliwa sana walishukuru kubeba tofauti na timu kabla yake.Ana ubingwa wa Caf lakini 🤔
Dah wamrudishe tu pitso , naona maamuzi yake ya kumpiga benchi themba zwane mashabiki wengi wanalalamika mno , ila umri na kazi ngumu sana hasa kwa umri wa 37 kwenye mpira🤔 lazima damu changa zipate nafasi na uvumilivu wa kusuka kikosi upya ulihitajika tuMamelodi walitaka kumuondoa msimu uliopita wakaona wapo kwenye CAF hatua za mwishoni wasije kujichanganya kwa sababu alifanya makosa ya kulikosa kombe la ligi kwa kuwaacha wachezaji huku akisafiri na kikosi kidogo hata mechi za fainal ilikua inashambuliwa sana walishukuru kubeba tofauti na timu kabla yake.
Wewe mgeni humu.Si usiache yana kuhusu nini kama siyo wivu.udeal na timu yako ya simba mbona una kiherehere sana.kama timu yako ni nzuri si ushukuru Mungu.washabiki wa simba mnawashwa kama pilipili.