Tetesi: Saed Ramovic ndiyo kocha mpya wa Yanga

Kosa kubwa viongozi wa Yanga wamefanya.
Kwanza siyo kocha bora mashindano ya kimataifa (CFCL).
Pili alituacha kifedhuli sana wakati mbaya kwenye msimu.
Tatu inaendana na nambari moja, Timu yake inakuwa siyo nzuri defensive.
Anafundisha Gengenpressing ambayo inaacha timu yake dhaifu kiulinzi ikipoteza mpira na kufanyiwa counterattack.
Yanga haina wachezaji wenye nidhamu ya kujilinda wakiwa wamepanda juu kushambulia.
Hujui mpira, Saed Ramovic ni bonge la kocha
 
Huyu si ndo aliondoka Kwa nyodo na kusema kuwa ligi yetu. NI dhaifu haifai kuwa namba Tano Africa,kweli nimeamini msemo WA Haji Manara Yanga Wenye akili NI wawili tu
Hersi naye inafika mahali anakuwa mpuuzi fulani! Hivi hapa tulipo bado Sisi ni wa kuokoteza makocha?
 
Tatizo letu sisi mashabiki muda mwingi tunatumia hisia kuliko uhalisia nilishawahi kusema hapa makocha wangu Bora kwenye ardhi hii ni watatu tu George luandaamina, Hans van de plujim na huyu mwamba saed ramovic

Ngoja nikupe facts za huyu mwamba saed ramovic alikuja yanga alikaa muda mfupi tu na kuiongoza yanga kwenye mechi 13,mechi 6 Ni za ligi kuu ambazo alishinda zote 100%,ligi ya mabingwa mechi 6 alishinda 2,share,2alifungwa mechi 2 pia sawa na 33.3% ushindi sare na kufungwa.mechi moja Ni ya kombe la shilikisho CRDB kwenye hizo mechi 13 alifunga magoli 33 na kuruhusu magoli 8huku clean sheets 6 unasemaje kocha mbaya Sasa
NB:wanasayansi walifanya utafiti wakagundua kuwa kwenye uongozi wa huyu kocha ndiyo kipindi ambacho mashabiki wa yanga walikuwa na furaha
 
Wewe una matatizo ya kusifia vibovu. Huyu hamna kocha hapo, Yanga ihesabie kupoteza mataji na kushika mkia klabu bingwa ama kuwa wa pili kutoka mwisho. Hana uwezo wa kuirudisha Yanga katika form kwa muda mfupi.

Tatizo letu sisi mashabiki muda mwingi tunatumia hisia kuliko uhalisia nilishawahi kusema hapa makocha wangu Bora kwenye ardhi hii ni watatu tu George luandaamina, Hans van de plujim na huyu mwamba saed ramovic

Ngoja nikupe facts za huyu mwamba saed ramovic alikuja yanga alikaa muda mfupi tu na kuiongoza yanga kwenye mechi 13,mechi 6 Ni za ligi kuu ambazo alishinda zote 100%,ligi ya mabingwa mechi 6 alishinda 2,share,2alifungwa mechi 2 pia sawa na 33.3% ushindi sare na kufungwa.mechi moja Ni ya kombe la shilikisho CRDB kwenye hizo mechi 13 alifunga magoli 33 na kuruhusu magoli 8huku clean sheets 6 unasemaje kocha mbaya Sasa
NB:wanasayansi walifanya utafiti wakagundua kuwa kwenye uongozi wa huyu kocha ndiyo kipindi ambacho mashabiki wa yanga walikuwa na furaha
 
Tatizo letu sisi mashabiki muda mwingi tunatumia hisia kuliko uhalisia nilishawahi kusema hapa makocha wangu Bora kwenye ardhi hii ni watatu tu George luandaamina, Hans van de plujim na huyu mwamba saed ramovic

Ngoja nikupe facts za huyu mwamba saed ramovic alikuja yanga alikaa muda mfupi tu na kuiongoza yanga kwenye mechi 13,mechi 6 Ni za ligi kuu ambazo alishinda zote 100%,ligi ya mabingwa mechi 6 alishinda 2,share,2alifungwa mechi 2 pia sawa na 33.3% ushindi sare na kufungwa.mechi moja Ni ya kombe la shilikisho CRDB kwenye hizo mechi 13 alifunga magoli 33 na kuruhusu magoli 8huku clean sheets 6 unasemaje kocha mbaya Sasa
NB:wanasayansi walifanya utafiti wakagundua kuwa kwenye uongozi wa huyu kocha ndiyo kipindi ambacho mashabiki wa yanga walikuwa na furaha
Hivi mkuu haujatambua tu kuwa hujui kuangalia mpira kwa jicho la kiufundi? Una hadaika sana na matokeo badala ya kuangalia mambo ya mbinu na ufundi. Kipindi cha Saed Ramovic, Yanga ilikuwa katika kundi lenye timu za kawaida sana, Yanga haiku staili kushindwa kufuzu robo fainali lakini huyo Ramovic kashindwa kuchanga karata zake ipasavyo ili kuifanya Yanga ifuzu.

Leo hii Yanga ipo kwenye kundi gumu zaidi ya ile aliyokuta ndiyo mtegemee ataiweza kuifanya Yanga ifuzu?

Aliondoka na kuidhihaki ligi yetu kuwa haina intensity, vipi kwasasa intensity imeshapatikana?
Mpira wake ulikuwa ni wa pasi nyingi tena ni back pass na hakuweza kuifungua timu inayojilinda kwasababu hana mbinu mbadala, na ndio maana mechi ya mwisho tupo nyumbani tunahitaji goli moja tu lakini kashindwa.
Hamna koccha hapo walichokifanya viongozi ni kuonesha wameishiwa uwezo wao wa kufikiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom