Kocha wa Yanga anazingua sana pamoja na Mawinga wake Zakuoani na Kangwanda
Hao Mawinga ni talented sana ila sometimes vichwani mwao sijui huwa wanawaza nini
Winga hatari zote duniani kwa sasa na mawinga wenye akili wote kwa sasa wanacheza kama Inverted wingers washatoka kwenye traditional...
Kiingereza ni lugha yetu rasmi ya Taifa, kwanini waandishi mnashindwa kuitumia kwenye kazi zenu?
Tanzania hatuhitaji mkalimani wa kiingereza kwakuwa English inafundishwa kuanzia chekechea, shule za msingi, sekondari hadi vyuoni, kwanini hamjui kuiongea? Wewe mwandishi wa habari bila shaka...
Maamuma ni mtu mjinga asiye na akili kwa kufuata mawazo yake au Yale ya wengine..
Hilo kocha la Yanga kwa jina Pedro pamoja na viongozi wake , wote ni maamuma..Yaani kocha jinga linawachezaji 25+ ila linang'ang"ania walewale tu ..
Na viongozi waliojitwika Ufalme juha wapo wapo tu wananing'inia...
Amekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
I salute you kinsmen
Wakuu
Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon,De Agosto na timu ya taifa ya Angola,Pedro Valdemar Soares Gonçalves (49).
Pira Ureno linakuja Jangwani,now kwamba Pedro Valdemar Soares Gonçalves ni kocha mpya wa Yanga✅
Ikumbukwe kocha huyo...
Mimi mwehu ndama jitu la mtumba , ndio nilikua wakwanza kuzipinga mbinu za tapeli wa kifaransa"Roman Folz" na sikuishia hapo tu, nilienda mbali nakukosoa uchezeshwaji wa mchezaji Aziz andambwile, ambae binafsi licha ya magoli yake yakubahatisha nina amini ndie alikua tatizo kubwa la Yanga sc...
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Yanga Sc, Miloud Hamdi kutoka Algeria ametambulishwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Ismaily Sc ya Nchini Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na chaguo la ongezeko la mwaka mmoja zaidi.
Hamdi ameondoka Yanga Sc baada ya kuiongoza Yanga Sc kutwaa mataji matatu yakiwemo...
Wakuu
Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars.
Swali la kujiuliza ni muda gani amepata maandalizi kamilifu? Je, Kocha Miloud Hamdi hawaamini wachezaji...
Hamdi Kocha wa Yanga
"Ukiwa unafukuzia ubingwa ni ngumu kukaa kileleni, ni bora kukaa nafasi ya pili ukiwa unampumulia kinara wa ligi, narudia tena hakuna kazi ngumu kama kukaa kileleni"
"Halafu leo sijapendezwa na refa, muda wote alisimamisha mchezo na kupoteza muda"
Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji na maofisa wengine wa timu akiwatonya kuwa amepata ofa nono huko Algeria.
Baada ya kuzungumza naye walibaini kuwa CR Belouizdad ya...
Kocha wala ubora wa team. Ni ushindi wa kimichongo. Ndo maana unaona Yanga tunapita mtu 5 lakini wala hatuongei sana. Tunafahamu si mbinu za kocha wala si ubora wa wachezaji.
Hizi teams tunazifahamu, zinatufahamu na tunafahamiana. So tukiamua hata kuzipiga 10 inawezekana. Ndo maana pamoja na...
Huyu Saed Ramovic hana tofauti na aliyekuwa kocha wa Simba Benchika, alipokuja alikuwa anaponda wachezaji na ligi yetu. Mwisho wa siku akaamua kuondoka na akawachukua wale wachezaji aliokuwa anaponda.
In short hana uwezo anajificha kwenye kichaka cha ligi.
Kwenye mechi zote 3 zilizopota kuanzia ya Mazembe kwa mkapa, Al Hilal ugenini na Leo dhidi ya Algers, Dube kaonyesha kuwa na uwezo mdogo sana,
Kocha ana malengo yapi na huyu mchezaji ?
Hapo jana timu aliyotoka kocha wa Yanga Ts Galaxy imeibuka na ushindi wa goli 1 kwa 3 ikiwa ugenini dhidi ya Sekhukhune ambayo ipo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa League.
Timu hiyo imeonja ushindi wa kwanza kwa msimu huu baada ya kocha wao wa zamani kuondoka.
Kocha huyo mpya wa Yanga jana...
Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
Kiukweli mechi ya kwanza tu tayari ameshaonyesha anapwaya. Haihitaji akae bench mechi 10 kujua ubovu wake. Huyu jamaa amekuja kuandika CV yakekwamba nayeye alipita Yanga, sio kuja kutupa uzoefu wa kazi yake.
Kipindi cha pili kaingiwa uoga wa nini sijui kaamua kubaki nyuma shenzi type. Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.