hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,736
- 15,555
Acha uongo hatukua na gusa achia yoyote.We jamaa mbona muongo Sana Ile gusa ACHIA TWENDE KWAO ilikuwa inonekana uwanjani kabisaa na timu ilikuwa inashambulia kwa Kasi sana inakabia juu(turnover)
Hiyo gusa achia yako mbona sijaiona na MC Alger?
Matokeo yake tukashindwa kupata goli moja tu.