min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,545
- 178,357
Mchukueni hata juma kaseja atawavusha kwenye hili😄Huyu yupo Lebanon huko anakiwasha sana.
Timu yake imecheza mechi nne na imeshinda mechi zote inaongoza ligi.
Mchukueni hata juma kaseja atawavusha kwenye hili😄Huyu yupo Lebanon huko anakiwasha sana.
Timu yake imecheza mechi nne na imeshinda mechi zote inaongoza ligi.
Moja ya Wagogo wa hovyo kuwahi kutokea duniani baada ya Ndugai basi ni wewe kibaigwa finest!
Huyo mtu mwenyewe unayempigia chapuo aliondoka Yanga kwa nyodo! Huoni akirejeshwa mashabiki tutamfukuzisha ndani ya muda mfupi?
Saed Ramovic ni mjanja mjanja tu sio kocha wa maana.Mbona kocha mzuri huyu
Huyu yupo Lebanon huko anakiwasha sana.
Timu yake imecheza mechi nne na imeshinda mechi zote inaongoza ligi.
Ndiyo hivyo sasa. Uongozi ukimrudisha atafungasha mabegi yake ndani ya muda mfupi na kurejea alikotoka.Duuh huyu kocha aliongea ukweli sio nyodo alisema ligi ya Tanzania hatupaswi kuwa ligi ya tano kwa ubora Ni ligi ya kawaida tu kitu ambacho Ni Cha kweli kabisa
Saed Ramovic ni mjanja mjanja tu sio kocha wa maana.
Watu wanatumia hisia tu lakini timu yake ilikuwa nyepesi sana.
Hata hiyo gusa achia twende kwao ilikuwa kwa mashabiki na Ally Kamwe zaidi ila kwa wachezaji uwanjani ilikuwa ni mpira wa wakaida sana ambao hausadifu hiyo gusa achia twende kwao.
Matokeo yake tukashindwa kumfunga MC Alger hata goli moja ambalo lingefanya tutinge robo fainali.
Tena tulishindwa kumfunga tukiwa nyumbani.
Baada ya hiyo mechi akaondoka kwa jeuri na ufedhuli akiita ligi ya Tanzania dhaifu na haina timu nyingi za ushindani kuliko ligi ya Algeria ndio maana tukafungwa.
Kwa kifupi ni mweupe sana.
Kama kweli injinia wamemrudisha huyu tapeli waandae na pesa za kuvunja mkataba mapema kabla hajaanza kazi.
Mchukueni hata juma kaseja atawavusha kwenye hili😄
kuna jamaa mmoja alisema washabiki wa uto mmezoea kupewa furaha , mangoba mamiti alikua na shida gani sasa?😅Saed Ramovic ni mjanja mjanja tu sio kocha wa maana.
Watu wanatumia hisia tu lakini timu yake ilikuwa nyepesi sana.
Hata hiyo gusa achia twende kwao ilikuwa kwa mashabiki na Ally Kamwe zaidi ila kwa wachezaji uwanjani ilikuwa ni mpira wa wakaida sana ambao hausadifu hiyo gusa achia twende kwao.
Matokeo yake tukashindwa kumfunga MC Alger hata goli moja ambalo lingefanya tutinge robo fainali.
Tena tulishindwa kumfunga tukiwa nyumbani.
Baada ya hiyo mechi akaondoka kwa jeuri na ufedhuli akiita ligi ya Tanzania dhaifu na haina timu nyingi za ushindani kuliko ligi ya Algeria ndio maana tukafungwa.
Kwa kifupi ni mweupe sana.
Kama kweli injinia wamemrudisha huyu tapeli waandae na pesa za kuvunja mkataba mapema kabla hajaanza kazi.
Ndiyo hivyo sasa. Uongozi ukimrudisha atafungasha mabegi yake ndani ya muda mfupi na kurejea alikotoka.
Tulia dogo wa kibaigwaTutakuchapa viboko wewe
Afrika ina makocha wengi. Siyo lazima ije hiyo takataka.Unaka aje morinho josee
Mngemchukua Miguel cardoso, hana timu😆Afrika ina makocha wengi. Siyo lazima ije hiyo takataka.
Kaka toa list yako makocha watatu ambao wangefika jangwani ungekaa kwa amani kabisa!Hakuna kocha hapa.
Ni upuuzi kumrudisha huyu jamaa.
Hapo alisema baada ya kushindwa kumfunga MC Alger timu kutoka Algeria mechi ikaisha draw Yanga ikawa eliminated kwenye mashindano.Duuh huyu kocha aliongea ukweli sio nyodo alisema ligi ya Tanzania hatupaswi kuwa ligi ya tano kwa ubora Ni ligi ya kawaida tu kitu ambacho Ni Cha kweli kabisa
Mangungu amekinukisha huko au hujasikiaHana ubora wowote! Alikuwa anashindwa kwa kubahatisha tu. Pale hakuna kocha wa kutupeleka robo fainali pale!
Tulia dogo wa kibaigwa
Manqoba mpigwa miti hajui mpira.kuna jamaa mmoja alisema washabiki wa uto mmezoea kupewa furaha , mangoba mamiti alikua na shida gani sasa?😅
Miongoni mwa makocha Bora kuwahi kutua kwenye ardhi hii ni huyu jamaa namkubali Sana huyu Ni Bora Sana kwenye attacking defence pia yupo vizuri Ni muumin wa 4-3-3 akiwa anashambulia inakuwa 3-2-5.fitness ya wachezaji inakuwa juu sana