Field Mashal
Member
- Jan 16, 2013
- 36
- 13
Pc yako inaonesha km huyu jamaa alikuwa mbele ya wanahabari, vp amesema wapi hayo? lakini bado hukuthibitisha kama kasema yeye kulikoni?
Kama kweli itakuwa ni nzuri lakini naye akienda huko yuko tayari kusimamia kauli zake alizokuwa akiandika kabla ya kufungwa kwa manahalisi? afunguke hapa.