Saed Kubenea kugombea ubunge 2015 kupitia CHADEMA

Saed Kubenea kugombea ubunge 2015 kupitia CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Watu wanataka Kubenea akanushe hii habari ili wajipange. Ningefurahi kama Kubenea hatatoa msimamo wake juu ya hii kitu. Ni strategy za zamani sana, ukihisi mtu anaweza kuwa mpinzani wako wa kisiasa, unamzushia ili akanushe. Siasa za woga!
 
Atashinda ila itabidi tutafute mbinu mbadala ya kuzuia uchakachuaji kwan hata mchange walichakachua
 
ukweli husemwa:

Waandishi wa habari wa bongo bana,

Kumbe kelele zote za kumfuatilia Mh.Zitto zilikuwa na malipo ya chini ya meza.

Ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.

Haiwezi kuwa ni habari njema kwa tasnia ya habari katika jamii. Inatufanya tuwe na wasiwasi na kile kinachoandikwa kwenye magazeti.

Kama nchi itajaa waandishi wa habari walionunuliwa kwa malipo ya chini ya meza lakini wanapiga kelele kuwa wanasimamia misingi ya uandishi wa habari, huu ni kama usaliti katika jamii.
Mkuu kwani waandishi wa habari hawaruhusiwi kuwa na vyama vya siasa?
 
Hakuna ubaya wowote Kubenea kuwa mfuasi wa Chadema mbona Salva Rweyemamu mfuasi wa CCM.
 
Good news but from untrusted sources.

Kuna thread ya Mchange kipindi anatuhumiwa kuhusu masalia, alijitetea khs mchango wake kuikuza chadema namnukuu''kibaha ni jimbo langu niligombea ubunge nakushka nafas ya pili kwa idadi ya kura nyngi kwa hiyo swez kuhujumu cdm'' kuna mchangiaji akamzodoa hilo jimbo sio lako na 2015 kubenea anaweza kukogembea. Basi Ritz akaonekana kushangaa, kumbe kubenea ni kada wa cdm. Ritz ameungaunga thread kupitia iyo post ya mchange!
 
Mkuu acha habari za vijiweni hii habari ina ukweli nenda kamuulize Dr Slaa au Kubenea mwenyewe.
 
Ukimya wa Kubenea unawanyima watu usingizi. Siku atakapopata jukwaa la kuyafumua mambo kutakuwa hakutoshi.
 
siku hizi ndugu Ritz anabadilika taratibu kwani mtani huyu ilikuwa ngumu sana kupost kitu kama hiki,afadhali ubadilike kwani ni shangwe na furaha mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja kutubu!mungu akusaidie ubadilike!
 
KUBENEA5.JPG
Wanabodi.Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwanahalisi Saed Kubenea, inasemekana amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka [CCM].Hii itakuwa habari njema kwa tasnia ya habari kujiingiza katika masuala ya uongozi wa kisiasa, Kubenea kapata msukumo wa kugombea Ubunge baada ya kushauriana na Dr Slaa na kumuakikishia kuwa anaweza kushida Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kama akijipanga vizuri na kupata msaada wa CHADEMA.Kila la Heri Saed Kubenea.
Yale macho yaliyomwagiwa tindikali hatuwezi kuyalipa lakini tunachoweza ni kukupa kura zetu
 
Mwambie na TITO MHANDO naye agombee kilosa na mwigamba agombee magu wanaweza wakashinda mkaongeza ruzuku ya kukopeshana ndugu zangu,
 
KUBENEA5.JPG

Wanabodi.

Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwanahalisi Saed Kubenea, inasemekana amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka [CCM].

Hii itakuwa habari njema kwa tasnia ya habari kujiingiza katika masuala ya uongozi wa kisiasa, Kubenea kapata msukumo wa kugombea Ubunge baada ya kushauriana na Dr Slaa na kumuakikishia kuwa anaweza kushida Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kama akijipanga vizuri na kupata msaada wa CHADEMA.

Kila la Heri Saed Kubenea.

Tunahitaji wapiganaji zaidi bungeni....Mungu mbariki Said, Mungu bariki Tanzania
 
ukweli husemwa:

Waandishi wa habari wa bongo bana,

Kumbe kelele zote za kumfuatilia Mh.Zitto zilikuwa na malipo ya chini ya meza.

Ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.

Haiwezi kuwa ni habari njema kwa tasnia ya habari katika jamii. Inatufanya tuwe na wasiwasi na kile kinachoandikwa kwenye magazeti.

Kama nchi itajaa waandishi wa habari walionunuliwa kwa malipo ya chini ya meza lakini wanapiga kelele kuwa wanasimamia misingi ya uandishi wa habari, huu ni kama usaliti katika jamii.

asante mkuu nazani umesomeka,binafs gazeti la mwanahalisi nilipenda sana enzi zile kabla ya saed kubenea kumwagiwa tindi kali,pia nilizidisha mapenzi pale alipo sema kuwa atawataja walio mmwagia acid, lakini kimya chake cha kutowataja kilinivunja moyo mpaka nikawa sina imani nae pamoja na gazeti lake.sasa leo hii ritz1 ambae ni mkereketwa wa ccm anaandika habari ambayo hata wanachadema wenyewe hawaijui hapo napata shida. Kama ni kweli basi kubenea anaenda kuigawa cdm.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom