Saed Kubenea kugombea ubunge 2015 kupitia CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Ndugu wana jamvi,
Kuna tetesi zisizo ramsi kutoka makao makuu CHADEMA kuwa, mmiliki wa gazeti la Mseto na Mwanahalisi (limefungiwa) anampango wa kugombea ubunge jimbo( jina tunalo) mwaka 2015!

Chanzo chetu kimebaini kuwa, ndugu Kubenea ameshapata baraka zote kutoka kwa viongozi wa chama (CHADEMA) makao makuu.

Bado tunaendelea na udadisi wa kubaini watu mbalimbali ambao wanaonesha nia ya kuingia mjengoni kupitia CHADEMA.

JJB
MDADISI MAKINI
 
Good news

Naamini demokrasia itachukua mkondo wake... WanaCHADEMA wa Kibaha watakuwa waamuzi wa mwisho kuhusu nani agombee kupitia chama chao hapo 2015
 
KUBENEA5.JPG

Wanabodi.

Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwanahalisi Saed Kubenea, inasemekana amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka [CCM].

Hii itakuwa habari njema kwa tasnia ya habari kujiingiza katika masuala ya uongozi wa kisiasa, Kubenea kapata msukumo wa kugombea Ubunge baada ya kushauriana na Dr Slaa na kumuakikishia kuwa anaweza kushida Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kama akijipanga vizuri na kupata msaada wa CHADEMA.

Kila la Heri Saed Kubenea.
Ni MPAMBANAJI tunamuhitaji katika vita kuu 2015!
 
Taarifa ikiletwa na Ritz kuhusu CDM ichunguze sana ni kwa nini ameileta yeye....Ni sawa na taarifa za CCM kuletwa na Tumaini Makene! Ni angalizo tu.
 
Mmegeuka watabiri sasa na si wanasiasa wala wanaharakati?Huko nako sijui kama CCM wataweza shindana na akina haki elimu, LHRC and the sort
 
huyu mpasha habari imekuwaje leo kaja kwa heshima hivi?
 
Ndugu wana jamvi,
Kuna tetesi zisizo ramsi kutoka makao makuu CHADEMA kuwa, mmiliki wa gazeti la Mseto na Mwanahalisi (limefungiwa) anampango wa kugombea ubunge jimbo( jina tunalo) mwaka 2015!

Chanzo chetu kimebaini kuwa, ndugu Kubenea ameshapata baraka zote kutoka kwa viongozi wa chama (CHADEMA) makao makuu.

Bado tunaendelea na udadisi wa kubaini watu mbalimbali ambao wanaonesha nia ya kuingia mjengoni kupitia CHADEMA.

JJB
MDADISI MAKINI

Aje jimb0 la TBR halina m2 kuna kvuri cha ms0mari2 ambae kashndwa kuendesha hata club,,bast0ra handed being
 
Ni maisha mazuri wakati mwingine Mkuu Ritz kuwa baridi na moto kwa wakati mmoja.
 
Last edited by a moderator:
du hapo kazi ipo lazima huko kitaeleweka nako aisee....
 
KUBENEA5.JPG

Wanabodi.

Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwanahalisi Saed Kubenea, inasemekana amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka [CCM].

Hii itakuwa habari njema kwa tasnia ya habari kujiingiza katika masuala ya uongozi wa kisiasa, Kubenea kapata msukumo wa kugombea Ubunge baada ya kushauriana na Dr Slaa na kumuakikishia kuwa anaweza kushida Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kama akijipanga vizuri na kupata msaada wa CHADEMA.

Kila la Heri Saed Kubenea.

Huna jipya kakojoe ulale.
 
Iwe kweli au sio kweli (source ndio chanzo cha mashaka) siwezi kushangaa cause kila mtu anaeipenda nchi hii na ambaye ni mzalendo na anauelewa kidogo tu, hawezi kushabikia ccm (Labda awe kalogwa au mjinga au fisadi au anafaidika na mfumo wa kifisadi). Saed Kubenea ni mmoja ya watu hao, kafichua sana ufisadi wa serikali hii, kua CHADEMA wala sio jambo la kushangaza.
 
Amekula sana mafungu ya pesa ya kitengo cha propaganda cha CDM.Sio ajabu,tulijua anamtumikia Slaa na Mboe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom