SADC yaingia makubaliano na AFC/M23

SADC yaingia makubaliano na AFC/M23

Kwang mimi naichukulia tofauti kidogo..
Rwanda inatumia upenyo kuidhoofisha zaidi DRC, kuchota mali asili za DRC... na pengine kuingilia siasa za DRC..

Inaanza DRC baadae itafuata sehemu/nchi zingine..
Mkuu, naamini wewe ni mtanzania na Rwanda haiko mbali kiasi hicho, fanya safari hadi Rwanda ukajifunze.
Story nyingi zinaenezwa na watu wenye maslahi yao, nenda hadi Goma ili ushuhidie hali ilivyo katika uhalisia wake, hatuhitaji viza kuingia DRC hivyo ni nafasi nzuri ya kutembea na kujifunza.
Naamini kwa dhati baada ya ziara hiyo utakuwa na mtizamo tofauti.
 
US/EU wataziacha Congo,Sudan na kote kwenye malighafi either zikiisha au nchi zikiongozwa na wanajeshi
 
Warudi tu nyumbani. Huwezi enda kumsaidia mtu anayekuachia mzigo wake wala haonyeshi jitihada zozote.
 
Mazungumzo na maafikiano yaliyofikiwa yaleta furaha na pia matumaini mapya
View: https://m.youtube.com/watch?v=xZqjfJXSIMU

👆
28 March 2025
Hoteli Serena Goma
Goma, DR Congo

Mpambe wa Magufuli katika ujumbe wa maafikiano Goma

1743248089897.jpeg

Naye aliyekuwa mpambe wa rais Magufuli , Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy mwenye Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Eneo lake la utafiti lilikuwa ni “Assessing the Effectiveness of the United Nations Peacekeeping Operations: The case of Democratic Republic of Congo and Sudan. Aonekana katika timu iliyofanikisha muafaka wa kuwezesha majeshi ya SAMIDRC kuondoka DR Congo.

Meja Jenerali Dr. Mbaraka Naziad Mkeremy alifanikiwa kutetea andiko lake na kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) wa usuluhishi (peacekeeping) tarehe 14 Disemba 2023 .

Na sasa umahiri wake katika eneo hilo la kisomi ametumika vyema na timu ya wapatanishi wa SADC kufanikisha mkwamo kuondoka na kuwezesha mazingira ya majeshi ya SADC SAMIDRC kuondoka Congo DR salama..

View: https://m.youtube.com/watch?v=MgdGyWZg9Cs
 
Kwenye mkutano wa viongozi wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa SADC, huko Goma, Serena Hotel, badhi ya makubaliano yamefikiwa, ikiwa ni pamoja na haya:

-AFC/M23 kusaidia majeshi ya SADC kuondoka nchini
-SADC kuondoka na silaha zao, huko za serikali ya DRC zikikabidhiwa AFC/M23.

-wataalam wa SADC na M23 kukagua hali ya uwanja wa ndege wa Goma kwa sasa

-SADC imekubali kukarabati uwanja wa ndege wa Goma

-AFC/M23 imeikubalia SADC, kwamba, baada ya ukarabati, itumie uwanja huo kuondoka wanajeshi wake na silaha zao (SAMIDRC).

Kwa kifupi, AFC/M23 ndo mshindi wa vita, na eneo ililopigania, ni haki yake.
Kwahiyo binafsi naeza chema ni mlungula ama wamelambishwa asali? Ama wamikubali yaishiii?
 
Jambo kama jambo gani labda, Kabila alishaongea juzi tu hapa

March 2025
Windhoek, Namibia

EXCLUSIVE MAHOJIANO : NA JOSEPH KABILA RAIS MSTAAFU WA CONGO DR

View: https://m.youtube.com/watch?v=kX6AYffI1Hc

Kama Mwandishi nataka kufahamu Baada ya miaka 18 ya kutumika kama rais wa DR Congo na baadaye kustaafu, mh. Joseph Kabila umepotea sana je nini kinaendelea?

Ndugu mwandishi - Nipo mzima napumua kama unavyoniona na ninaendelea na masomo ..

Mheshimiwa umesema umekuwa una harakati za kichuo ktk chuo kikuu cha University of Johannesburg ....

Bwana Mwandishi, Ni kweli nilikuwa katika harakati za kisomi, lakini nimekatisha masomo miezi mitatu iliyopita... kwa kuwa Congo siyo mazuri na katika hili siwezi kuwa mtu mshika yote (multitasking) kama mambo mazito nyeti kama masomo... na pia kufuatilia mambo ya nyumbani Congo ...

Hivyo (Joseph Kabila) nimechukua likizo ya kusitisha masomo ili nguvu zote ziende katika suala la Congo na chama cha siasa ambacho nakiongoza ..

Lakini mheshimiwa mwaka 2008 wewe ulikuwa mtu muhimu ulioanzisha makubaliano maridhiano ili usalama upatikane ..

Ni kweli nilishiriki moja kwa moja michakato ya Zambia mwaka 2001, mazungumzo ya Sun City South Africa 2006 na pia 2008 kuhusu ushirikishwaji, haki za wakongomani wote ... lakini kwa jinsi tunavyoongea leo 2025 kuna mikono ya wadau wengi inayoingilia tatizo la Congo ...

Kuondolewa kwa majeshi ya kigeni kama SADC SAMIDR nchini Congo mheshimiwa rais una neno la kusema mwaka 2025...

Ndigu mwandishi ni kweli kuondolewa kwa majeshi ni muhimu, maana hata mwaka 2001 nikiwa vijana na wenzangu tulijitosa kichwa kichwa pengine kwa ujana wetu tukafanikiwa kufanya maamuzi magumu ..

Ndugu mwandishi Lakini leo 2025 tumerudi katika changamoto ile ile ya 2001 ya kuondoa majeshi ya kigeni 7 yaliyopo Congo... mamluki wa kutoka ulaya pia makundi ya mgambo wa kicongomani yanayozidi 100 hivyo unaona hali ilivyo mbaya ...

Na ndugu mwandishi majeshi ya kigeni yakiondolewa ndiyo tutajua nia njema ya makundi ya wakongomani kama kweli wanataka amani... hali ilivyo ni mbaya na inaelekea katika hatari kubwa ... hivyo inaelekea itabidi tutoe mchango wetu kuzuia tusikfikie hatari iliyopo mbele..

Ndugu mwandishi hakuna mtu kutoka nje anayejua muarubaini wa matatizo ya Congo kama wakongomani wote, hivyo ni jukumu letu wakongomani kutunza sovereignty (mipaka)ya nchi yetu ..

Mheshimiwa rais baada ya miaka 35 kuwepo katika siasa na mambo ya kiinchi, unaweza kutuambia nini kuhusu wewe siku za mbeleni zinazokuja ?

Ndugu mwandishi kuhusu siku zijazo ni mwenyezi Mungu ndiyo anajua, kweli nimepata uelewa, ujuzi na hekima na bado nina nguvu zimebaki kidogo hivyo sijui nitatumika vipi ... Ni hayo tu.

Source : Patient Sayiba Tambwe
 
Sawa sawa
 
28 March 2025
Goma, Kivu Kaskazini
DR Congo

Uso kwa uso Corneille NANGA katika mkutano na Wakuu wa Taasisi za Vyuo Vikuu kutoa muhadhara wa Vuguvugu la Mabadiliko

View: https://m.youtube.com/watch?v=vptiIbEvAq4

Mratibu wa muungano wa Mto Kongo AFC / M23, Corneille Nanga, alifanya mkutano katika Chuo Kikuu cha Goma Ijumaa hii, Machi 28, 2025.

Kiongozi huyo wa AFC /M23 muhadhara wake ulijikita katika mada ya Ushiriki wa jumuiya ya chuo kikuu cha Kivu Kaskazini katika ujenzi wa amani na mshikamano nchini DRC, mamia ya wanafunzi na maprofesa walibadilishana mawazo na mratibu wa AFC kuhusu masuala kadhaa, hasa hali ya kisiasa na usalama chini ya utawala wa Kinshasa.

Alibainisha orodha ya malengo ya harakati za AFC / M23, hasa ukombozi wa DRC kwa ujumla wake; amani ya kudumu, nk. Corneille Nangaa aelezea kiini cha jina Muungano wa Mto Kongo, kuwa majimbo yote 26 ya Congo DR yanaunganishwa na mito ya maji yanayoungana Kisangani hadi kwenda chini pwani baharini kupitia Kinshasa. Mito hiyo pamoja na bwawa la INGA la umeme ni miundo-mbinu muhimu kuunganisha nchi yote

Mkutano huu unafanyika katika muktadha wa mivutano inayoendelea ya usalama mashariki mwa nchi.

Mjadala mpana ambao unalenga kujadili umuhimu kwa jukumu la wasomi na kada nyingine zote za raia wa Congo katika kutafuta suluhu endelevu, na wasiwe watazamaji tu wa vuguvugu hilo la mabadiliko

AFC / 23 waendeleza mapambano (struggle) kisayansi kwa kuelezea vuguvugu lao la mabadiliko, kwa kukutana na makundi mbalimbali kuelezea ujumbe wao. Leo wakutana na vigogo wa taasisi za Chuo Kikuu cha Goma.

AFC / M23 inaamini vuguvugu hilo mbali ya kuwepo katika uwanja wa mapambano ya silaha, lakini mapambano katika uwanja wa kifikra ni muhimu, ili kundi lolote la raia wa kikongomani wasiachwe nyuma ktk ushiriki wa vuguvugu hivyo mbinu kadhaa ikiwemo ushirikishwaji wa umma mpana (masses)katika kufikia malengo kamili (total) ya kuleta mabadiliko katika taifa zima la Kongo... kwa kutumia mijadala na mikutano ni muhimu sana
 
SADC hawajataka kukaza..
Ukipigana vita pia ukubali kupoteza mathalani wanajeshi wako..mfano Tanzania mwanachama wa SADC apigane vita ivoo kwa faida gani?..au hao wanachama wa SADC wakaze kwa faida ya nani?
Nchi inaye Rais inayo jeshi mpk mamluki wanakodisha, kwa nini wakaze sasa?
 
Back
Top Bottom