SADC yaingia makubaliano na AFC/M23

SADC yaingia makubaliano na AFC/M23

Screenshot_20250329-065101_YouTube.jpg

Screenshot_20250329-065230_YouTube.jpg
 
Kwamba wanaenda kujipanga ?
Hiyo ni mbinu ya kivita. Inaitwa military retreat. Ubelgiji imepeleka commandos wanaokadiliwa kufika 400 na zana za kivita kama vifaru, drones na zana mbalimbali. Commandos wa Ubelgiji wanaenda kutoa mafunzo kwa jsshi la Congo na makundi ya wanamgambo yanaiunga mkono serikali ya Kinshasa. Inasemwa pia kuwa commandos wa Ubelgiji wataingia mzigoni direct.
 
SADC imfanye nini Mbelgiji?
SADC hawa Msumbiji walishindwa na Kivu wameshindwa tena. Kama wameshindwa dhidi ya M23 ndio waiweze Belgium ikiamua.
Umeelewa tofauti.
Alimaa isha kuwa Mbelgiji anawr,a kufanya vizuri ya sadc?
 
Hiyo ni mbinu ya kivita. Inaitwa military retreat. Ubelgiji imepeleka commandos wanaokadiliwa kufika 400 na zana za kivita kama vifaru, drones na zana mbalimbali. Commandos wa Ubelgiji wanaenda kutoa mafunzo kwa jsshi la Congo na makundi ya wanamgambo yanaiunga mkono serikali ya Kinshasa. Inaaminika commandos wa Ubelgiji wataingia mzigoni direct.
Hao ubelgiji wanakuja kufanya nini? hawajaambiwa kama jeshi la Congo halipo tayari kupigana?😇😇
 
SADC imfanye nini Mbelgiji?
SADC hawa Msumbiji walishindwa na Kivu wameshindwa tena. Kama wameshindwa dhidi ya M23 ndio waiweze Belgium ikiamua.
M23/RDF ndio watapambana na Belgium na kuwafurusha kama walivyowafanyia wale mamluki kutoka Ulaya mashariki.

SADC ya sasa haina makali.
 
Sina jibu la moja kwa moja kuhusu uezo wa kijeshi lakini ninachojua ni kibwagizo kile cha "Dunia ya Mungu vitu vya Mzungu"..(jiongeze hapo) Pia unadhani nini kimepelekea kukasirishwa kwa PK kwa ujio wa kifurushi hiki cha wabelgiji ilhali yeye anadai kadhia za duru za DRC haviihusu Rwanda?
Belgium kuingiza wanajeshi wake DRC ni warrant tosha kwa Rwanda kuvuka mpaka wao na kukabiliana nao. Kumbuka kiwango cha uhasama kiko juu baada ya kufunga balozi za pande mbili kwa hiyo lolote linaweza kutokea.

Kinachonisikitisha ni jinsi Tanzania ilivyojiingiza kwenye mgogoro huu kwa kurubuniwa na RSA kuingia vitani na nchi mwanachama mwenzake wa EAC na SADC. Hapa viongozi wangu wamekosea sana hadi jeshi letu kustahili kushare aibu na RSA.
 
Hiyo ni mbinu ya kivita. Inaitwa military retreat. Ubelgiji imepeleka commandos wanaokadiliwa kufika 400 na zana za kivita kama vifaru, drones na zana mbalimbali. Commandos wa Ubelgiji wanaenda kutoa mafunzo kwa jsshi la Congo na makundi ya wanamgambo yanaiunga mkono serikali ya Kinshasa. Inaaminika commandos wa Ubelgiji wataingia mzigoni direct.
Ngoja tuone
 
daah haya mambo bana. yani general mzima yupo meza moja na mkuu wa wanamgambo?🤔sasa naelewa kwann mkunda katuma mwakilishi
Sijui ni nani aliyetoa hili wazo fyongo la kuunda jeshi la SADC kwenda kushiriki kitu kinachoonekana wazi kuwa ni vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyooelekea kwenye mauaji ya kimbali.
 
M23/RDF ndio watapambana na Belgium na kuwafurusha kama walivyowafanyia wale mamluki kutoka Ulaya mashariki.

SADC ya sasa haina makali.
hapo ni lazma jeshi la Congo waache kukata viuno waingie front wenyewe kupambana na hao M23. Haiingii akilini nchi nyingine ikupambanie wewe kupigania nchi yako hlf wewe mwenyewe unakodoa mimacho tu km mpenzi mtazamaji.
 
Tunasemaga game over,soon tunatangaza wimbo wa Taifa.🤣🤣🤣
 
Attachments

  • ssstwitter.com_1743190260570.mp4
    452.5 KB
  • ssstwitter.com_1743183317879.mp4
    2.3 MB
  • 20250328_182527.jpg
    20250328_182527.jpg
    202.2 KB · Views: 17
  • 20250328_182525.jpg
    20250328_182525.jpg
    144.2 KB · Views: 16
  • 20250328_182522.jpg
    20250328_182522.jpg
    99.7 KB · Views: 17
  • 20250328_081517.jpg
    20250328_081517.jpg
    37.9 KB · Views: 16
Naskia Belgium imeleta na yenyewe kifurushi cha special forces na mzigo wa kuanzia huko eastern DRC hadi bwana yule kuanza kubwatuka hovyohovyo. Tupe maoni yako.
Hakuna jeshi lililowahi kushinda vita vinavyopiganwa maelfu ya kilometa kutoka nchi yake, kwanza ni gharama kubwa na pili uwanja wa vita hautabiliki.
 
Sijui ni nani aliyetoa hili wazo fyongo la kuunda jeshi la SADC kwenda kushiriki kitu kinachoonekana wazi kuwa ni vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyooelekea kwenye mauaji ya kimbali.
nahisi tokq mwanzo wao wenyewe hawakuelewana vizuri wanaenda kufanya nini kati ya kulinda amani ama kupambana kijeshi maana bdae ilisemwa hawakuwa na vifaa vya kutosha vya kuwawezesha kupambana kijeshi.
 
daah hii fedheha kubwa sana kwa jw. uyo mwamba apo ni km kakubali kishingo upande ivi afanyaje sasa
Mkuu hii aibu tumeitaka wenyewe na kwa vyovyote ilibidi wakubali kulimaliza hili janga maana wanajeshi wa SADC wamazuiliwa kambini.... Hali hii haikubaliki wala haipaswi kuendelea.
 
Back
Top Bottom