Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 35,830
- 47,151
SADC ya sasa haina makaliIna maana SADC wamezidiwa na hao migambo?
SADC ya sasa haina makaliIna maana SADC wamezidiwa na hao migambo?
Ngoja tuone namna M23 itakavyowadhibiti hao Wabelgiji.Naskia Belgium imeleta na yenyewe kifurushi cha special forces na mzigo wa kuanzia huko eastern DRC hadi bwana yule kuanza kubwatuka hovyohovyo. Tupe maoni yako.
Sadc hawana tofauti na umoja WA vikoba vya wakinamama WA kizaramoYaani Hawa SADC wanashindwa kuiga uchizi wa zelenks 😀
Hizi jumiya za ukanda uku AFRIKA hazina meno, Ni kama walivyo eac na ecowasSADC ya sasa haina makali
SADC imfanye nini Mbelgiji?Ni kweli. Lakini, huyo mbelgiji anawazidi nguvu hawa SADC? Jibu ni hapana. Pia, jambo usilotakiwa kusahau, siasa ni mchezo mchafu. Hata marekani kupitia tume yake, imeshasema serikali haina uwezo wa kulinda raia na mali zao mashariki mwa nchi hiyo. Hivyo, M23 wana sababu za kupigania haki zao. Na kumbuka. Dunia nzima, inategemea eneo hilo. Nani akubali kupoteza biashara yake? Hapo rais keshapata pigo, na akikubali tu, ameisha. Bora tu nchi waigawe, wazungu watakula meza moja na M23.
AFC/M23 kusaidia majeshi ya SADC kuondoka nchini
-SADC kuondoka na silaha zao, huko za serikali ya DRC zikikabidhiwa AFC/M23.
Hii ni aibu kwa TanzaniaMeja jenerali Ibrahim Michael Mhona wa kutoka TPDF (JWTZ) moja ya majeshi chini ya mwamvuli wa SADC SAMIDRC akibadilishana nyakara za makubaliano na Meja jenerali Sultani Makenga wa majeshi ya waasi wa AFC / M23
View attachment 3286488
Hii ni aibu kwa Tanzania
kitambo sana huyu makenga hajaonekana hadharani walidai alikuwa mgonjwa, sasa kaja kutokezea hukuMeja jenerali Ibrahim Michael Mhona wa kutoka TPDF (JWTZ) moja ya majeshi chini ya mwamvuli wa SADC SAMIDRC akibadilishana nyakara za makubaliano na Meja jenerali Sultani Makenga wa majeshi ya waasi wa AFC / M23
View attachment 3286488
sio migambo wale ni jeshi la taifa la Rwanda kiongoziIna maana SADC wamezidiwa na hao migambo?
ukizidiwa vitani hakuna jinsi lazma uwe mpole tu [kukubali matokeo] ndomaana kuna POWS, ukikaza fuvu unapotezwa tuSADC hawajataka kukaza..
Niliandika humu kuwa AFC /M23 wataikalia Goma katika harakati za Kivu RepublicanKwenye mkutano wa viongozi wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa SADC, huko Goma, Serena Hotel, badhi ya makubaliano yamefikiwa, ikiwa ni pamoja na haya:
-AFC/M23 kusaidia majeshi ya SADC kuondoka nchini
-SADC kuondoka na silaha zao, huko za serikali ya DRC zikikabidhiwa AFC/M23.
-wataalam wa SADC na M23 kukagua hali ya uwanja wa ndege wa Goma kwa sasa
-SADC imekubali kukarabati uwanja wa ndege wa Goma
-AFC/M23 imeikubalia SADC, kwamba, baada ya ukarabati, itumie uwanja huo kuondoka wanajeshi wake na silaha zao (SAMIDRC).
Kwa kifupi, AFC/M23 ndo mshindi wa vita, na eneo ililopigania, ni haki yake.
Ni km vile SADC wamekubali Kivu RepublicanKuna mawili. Kivu kuwa nchi kama nchi, ikajitegemea, vita hapo mwisho. Kuendelea na kumng’oa rais, Congo ikaendelea kuwa Congo bila kugawanywa.