Waasi waalika jumuiya za EAC na SADC waje maeneo yaliyokombolewa na AFC/M23

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
24,929
28,866
18 February 2025
Katika mahojiano na msemaji wa AFC /M23 Bw. Lawrence Kanyuka amewataka ujumbe wa EAC na SADC watembelee maeneo yaliyokombolewa na waasi
Lawrence Kanyuka

View: https://m.youtube.com/watch?v=FwWbbi-Ybms

ili kujionea ukweli wa masuala ya utawala bora, usalama na ulinzi ulivyodumishwa baada ya M23 kuchukua maeneo kutoka majeshi ya FARDC, na maeneo ambayo bado yapo chini ya serikali ya Tshisekedi ni mbaya kwa kuwa utawala Kinshasa unaendekeza ukabila, uporaji na mauaji amesema msemaji huyo wa AFC / M23

An exclusive interview with AFC/M23 Spokesperson Lawrence Kanyuka

In an Interview with The New Times in Bukavu, AFC/M23 Spokesperson Lawrence Kanyuka said the rebel group has integrated government soldiers who surrendered in North Kivu into its army.Kanyuka also asked EAC and SADC countries to "come and see what's happening on the ground" in eastern DR Congo and "to see how Tshisekedi is killing this country."
 
Wakuu hizi habari za Cannibalism zinalitia aibu Bara la Afrika utakulaje nyama ya Binadamu mwenzako?!
 
  • Kicheko
Reactions: rr4
Kwa congo sio jambo la kushangaza........Kwani Wahadzabe wale wakikosa nyama binadamu kweli watamwacha? Sidhani
Cannibalism katika Tanzania huru sijawahi kusikia labda wakati wa ukoloni kulikuwa na tabia kama hizo tena waliokuwa wakitajwa tajwa ni Wamakonde na Wamakua wa huko kusini na Nchi jirani ya Msumbiji.

Unaweza kunisahihisha kwenye hili labda zilikuwa ni mbinu za wakoloni.
 
18 February 2025
Katika mahojiano na msemaji wa AFC /M23 Bw. Lawrence Kanyuka amewataka ujumbe wa EAC na SADC watembelee maeneo yaliyokombolewa na waasi
Lawrence Kanyuka

View: https://m.youtube.com/watch?v=FwWbbi-Ybms

ili kujionea ukweli wa masuala ya utawala bora, usalama na ulinzi ulivyodumishwa baada ya M23 kuchukua maeneo kutoka majeshi ya FARDC, na maeneo ambayo bado yapo chini ya serikali ya Tshisekedi ni mbaya kwa kuwa utawala Kinshasa unaendekeza ukabila, uporaji na mauaji amesema msemaji huyo wa AFC / M23

An exclusive interview with AFC/M23 Spokesperson Lawrence Kanyuka

In an Interview with The New Times in Bukavu, AFC/M23 Spokesperson Lawrence Kanyuka said the rebel group has integrated government soldiers who surrendered in North Kivu into its army.Kanyuka also asked EAC and SADC countries to "come and see what's happening on the ground" in eastern DR Congo and "to see how Tshisekedi is killing this country."

Wapewe haki yao .uchawa mwisho!hata Franco lwambo makihadi alibinywa akawa chawa wa Maboutu ..Pumbavu Africa
 
Nonsense.
Your aim is mineral thats it, Tshisekedi couldnt contribute with you that why you want to chase him.
Problem he isnt suppoted with Congolese themself.
That Congo State its people who have ugali in the head.
And spokesman hes not Congolese or Rwandese, no one of those speak english so good.
Hes a refugee somewhere in Europe.
Movement heading Kinshasa mark my word.
 
18 February 2025
Katika mahojiano na msemaji wa AFC /M23 Bw. Lawrence Kanyuka amewataka ujumbe wa EAC na SADC watembelee maeneo yaliyokombolewa na waasi
Lawrence Kanyuka

View: https://m.youtube.com/watch?v=FwWbbi-Ybms

ili kujionea ukweli wa masuala ya utawala bora, usalama na ulinzi ulivyodumishwa baada ya M23 kuchukua maeneo kutoka majeshi ya FARDC, na maeneo ambayo bado yapo chini ya serikali ya Tshisekedi ni mbaya kwa kuwa utawala Kinshasa unaendekeza ukabila, uporaji na mauaji amesema msemaji huyo wa AFC / M23

An exclusive interview with AFC/M23 Spokesperson Lawrence Kanyuka

In an Interview with The New Times in Bukavu, AFC/M23 Spokesperson Lawrence Kanyuka said the rebel group has integrated government soldiers who surrendered in North Kivu into its army.Kanyuka also asked EAC and SADC countries to "come and see what's happening on the ground" in eastern DR Congo and "to see how Tshisekedi is killing this country."

matatizo ya Rwanda anapewa DRC
 
Kwa hali ilivyofikia binafsi sitaki aongee na waasi. Natamani M23 wafike Kinshaza na kuiteka Congo yote. Huenda Congo ikaja kupata Serikali mpya itakayojumuisha makabila yote, yenye vyombo imara vya ulizni na usalama na itakayoleta amani ya kudumu kwa mara ya kwanza.
Tshisekedi aongee na waasi
 
Back
Top Bottom