Jamani kwani hata JK ni candidate wa ICC? Maskin baba Riz1
SADC ni mpango mzima EAC imejaza candidates wa ICC.
SADC ni mpango mzima EAC imejaza candidates wa ICC.
Kwa hiyo Mfano, Rasilimali za Zambia sisi tunanufaika nazo vipi? au Kenya kukosa Rasilimali hizo sisi tunapungukiwa na nini?
Baada ya dhahabu ambayo haina faida yeyote kwa mwananchi tunauza bidhaa gani nyengine sadc?
Swali zuri. Kwa mwananchi wa kawaida EAC is very relevant. Mfano wakulima watapata fursa kuuza mazao soko la EAC bila vikwazo. SADC is for big boys the multinationals.
Wewe Binafsi au Kaka yako ameuza nini huko SADC?
1. hakuna msouth africa, muangola au mzimbabwe anaetaman kuja na familia yake kuhamia tu apa aje kuganga njaa
2. hakuna mtu wa sadc anayetaka kuja apa tu anunue ardhi nchi nyingi za sadc wana ardhi kubwa uko kwao haijajaa
3. hakuna kiongozi wa sadc anayetaka vita tu ili aje kusaidiwa na wengine atapobanwa
4. hakuna nchi sadc inayotaka tushirikiane ktk utalii ili waibe watalii wetu kwa kuwadanganya wakienda kwao ndio wamekuja kwetu, na wengi wana vivution vya utalii vinavyo complient na vyakwetu.
5. hakuna nchi ya sadn yenye jeshi kubwa la raia waliokata tamaa wakitaman tu wakimbilie nchi ya jiran kupata breathing space.
6. hakuna nchi ya sadc itayoweka restriction kwenye bidhaa za nchi nyingine hata kama za kwao zinatumika huko kwingine kwa mfano kenya bia ni kenya breweries tu tusker kwenda mbele hamna castle na wanaziwekea vikwako vikubwa na wanahamasishana wasinywe bia za tz wakat apa watu wanakunywa tusker.
7. hakuna nchi ya sadc ukienda utanyimwa kazi kwa kigezo cha kua sio wa nchi ile au sio wa yale makabila maarufu
so SADC is 1000000000xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx better than EAC
Tatizo unazungumza siasa, kama nilikuuliza wewe au ni mtu mwingine, mimi nilitaka kujua yeye binafsi kauza nini huko SADC, au ndugu yake yeyote yule kauza nini AS AN INDIVIDUAL, kokote kule iwe EA au SADC?Nenda Malawi kwenye Soko la Taifa. Nitajie Kenya, rwanda na uganda kama kuna Taifa kama ya Malawi. Tatizo lako, nafikiri kwa kuwa uko Kenya ama Burundi unadhani Tanzania ni jirani wa Kenya zaidi kuliko Tanzania Msumbiji,Zambia, Malawi.
Nikukumbushe tu, huko SADC, tuna reli ya pamoja na Zambia yani Tanzania Zambia Railrway -TAZARA, na pia tuna bomba la mafuta la pamoja huko SADC na Zambia yani TAZAMA.
Sasa niambie huku EAC tuna nini cha pamoja? hata lile shrika la pamoja la ma taxi driver haliwezekani.
Tatizo unazungumza siasa, kama nilikuuliza wewe au ni mtu mwingine, mimi nilitaka kujua yeye binafsi kauza nini huko SADC, au ndugu yake yeyote yule kauza nini AS AN INDIVIDUAL, kokote kule iwe EA au SADC?
Familia za kitanzania zinazofaidika na ujirani wetu kwa Kenya, Uganda,Malawi,Zambia, Msumbiji,Rwanda, Burundi,Congo ni familia chache sana, na sidhani kama huwa zinakumbuka kuzishukuru nchi hizo kwa kuwa jirani? kama zinahitaji kushukuru pia. Kwanza sidhani hata kama familia hizi zinaelewa hizi siasa unazofanya hapa kwamba Tanzania imeuza sijui nini nini?
Wafaidika wakuu wa haya mambo ni wafanyabiashara wakubwa, tena nina uhakika wote sio wazawa wa maeneo yote haya iwe EA au SADC, wengine ni wanasiasa kwa sababu wanalipwa kwa kuzungumzia mambo haya, wengine ni professionals nao wanalipwa kwa kuwezesha ujinga huu.
come back to reality, you as an individual what difference does it make whether we align with EA or SADC or not?
Mbona unaongea bila kueleweka.
Mfanya biashara mkubwa anayenufaika kwani anaishi wapi?
Kifupi nitakueleza, babu yako mkulima kule changanyikeni ananufaika na kupata soko la mahindi yake, pale Azam anapopata soko kwa nje ya nchi kwa gharama ndogo zaidi za uendeshaji huko nje ya nchi. Hivyo anapouza zaidi huko ndo ananunua zaidi mazao ya babu yako.
Wewe unafikiri mpaka babu asafiri apeleke mazao Zambia ndo ananufaika? Ebwana weee
Kwa sababu wazambia hawajui kulima sio? yaani kwa sababu Azam ni Mtanzania basi ushamchukuria mwenzako? hizi ni akili za kinyonyaji tu, mi nikiisha muona mtu anazungumzia mambo ya kujifaidisha namdharau hapo hapo. yaani uko tayari kuona bepari la kitanzania linamnyonya masikini wa SADC eti kwa sababu alinunua mahindi kwa babu yako hohe hahe?
unaweza kuniambia ni wakurima wangapi ambao azam amenunua mahindi au machungwa yao sasa wako kwenye daraja la watu wenye kipato cha kati??
Tatizo nafikiri huelewi kitu.
Hao wakulima wanamuuzia nani mazao yao? na hao wanaonunua wanatoa wapi pesa? unafikiri serikali inajiamulia tu ku print makaratasi. Ebwana weee.
Hao wanaofanya biashara nje na kuleta pesa ndani ndo kipimo kinachoruhusu pesa na uthamani wake hatimaye inamfikia babu yako huko kijijini. Watu wakishindwa kuleta fwedha ndani, huko kijijini na mjini patakuwa hapatoshi.
Msaada trade figures za Tanzania sadc na eac.
Tanzania exports more to SADC than to EAC
- Posted in Commodities |
- 8 months ago |
- Comments (0)
- | Author: Pesatimes Correspondent
- | Source: Pesa Times
Gold, one of Tanzania's exports
The Southern African Development Community (SADC) continues to be the main trading partner of Tanzania among other African blocs for the two consecutive years, National Bureau of Statistics report shows.
Exports to the bloc increased from Sh1.91 trillion in 2011 to Sh2.33 trillion, which is a result of the increased trade volume. Total commodity export to SADC stood at 501,344 tonnes up from 458,796 tonnes in a preceding year.
The country also positioned its venture in Common Markets for East and Southern Africa (COMESA) where it emerged the secht sond best trade partner by earning Sh1.6 trillion last year from 1.1 trillion a year before.
East African Community was the third best Tanzania export destination; the volume of commodities exported increased from 816,451 tonnes to 1,078,760 tonnes last year. The increased volume of trade pushed the countrys export earning to Sh956.7 billion from Sh641.6 billion in 2011.
The increase in trade volume has been commended by the ministry of Industry and Trade as the good move for the country Small and Medium Enterprises to access the SADC and EAC markets.
Industry and Trade ministry permanent secretary Joyce Mapunjo said SMEs and entrepreneurs in the country have increasingly accessing the markets. The revelation of SADC's rank in significance might come as a surprise to many given that one would expect the EAC to take top place. However, a closer look of the Country's exports should yield a satisfactory explanation.
Tanzania Exports More To SADC Than To EAC