SADC vs EAC


Asante mkuu. Based on this umetoa uzuri na kasoro za SADC je kwa maoni yako ipi kati ya SADC na EAC ni bora zaidi kama ungeambiwa uchague moja?
 
Kwa wale wajuzi wa mambo ningependa kufahamu kati ya shirikisho hizi mbili za kikanda, Southern African Development Community (SADC) na East African Community (EAC), ni ipi yenye manufaa zaidi kwa Tanzania?

kinadharia zote zina manufaa. ila EAC kuna matapeli kibao tunatakiwa kuwa makini nao.
 
Asante mkuu. Based on this umetoa uzuri na kasoro za SADC je kwa maoni yako ipi kati ya SADC na EAC ni bora zaidi kama ungeambiwa uchague moja?

Kama ni msomi wa threads nyingi humu msimamo wangu hauteteleki sijawahi kuipenda Eac, siipendi na sitaipenda

1. Ina historia chafu ya usaliti wa viongozi kwa sababu ni shirikisho la viongozi

2. Kipindi hiki ni mbaya zaidi kwa sababu viongozi wote (pamoja na JK) wanataka EAC wakiwa candidates wa ICC.

3. Kuna neno linaitwa "Fast TracK" kwa maana ya kuharakisha lengo ni kutungiza wananchi wa EAC tuingie kwenye shirikisho la viongozi matapeli.

4. Kuna masuala ya biashara ambayo yangewafaidisha wananchi, kwenye fast track hayatawezekana

5. Kuna suala la ardhi; umeshuhudia sakata la wahamiaji haramu

Mambo ni mengi yamejificha nyuma ya EAC, yangewekwa wazi kwa nia njema wengi tungeelewa na kushiriki kwenye mchakato. Kwa sasa nawapongeza viongozi wa Tanzania kujivuta EAC
 
Madharau ya wakenya na wanyarwanda yananifanya niwe na mapenzi ya kuongezeka mbele ya SADC YETU YENYE UIMARA USIOYUMBISHWA KULIKO HILI JINAMIZI LA EAC LINAVUNJIKA KILA MARA Huku chonzo kikiwa ni Kenya kila mara.
 
Kwa wale wajuzi wa mambo ningependa kufahamu kati ya shirikisho hizi mbili za kikanda, Southern African Development Community (SADC) na East African Community (EAC), ni ipi yenye manufaa zaidi kwa Tanzania?
SADC ipo ki-strategic zaidi ya EAC ambayo ipo kisiasa zaidi ( Muungano unasukumwa na political Interest). Mambo mengi yanayojadiliwa na kufanyiwa maamuzi EAC ni contrary na ushauri wa wataalamu (mfano single currency - wachumi wameshauri tusikimbilie kutumia single currency kabla ya kurekebisha sheria na taratibu za ki-fedha kwa kila nchi in short harmonization ya sheria na sera za fedha,hali kadhalika swala la vitambulisho-sheria za uhamiaji zioanishwe kwanza) .Ila cha kushangaza hizi nchi za EAC hususani Kenya ,Uganda na Rwanda wanakimbiza mambo kama vipofu.

SADC ni muunganiko wa kihistoria zaidi hivyo kuvunjika kwake ni kama kuifuta historia ambapo haiwezekani. EAC kuvunjika ni rahisi ktokana na kwamba ni muunganiko wa kisiasa -Unategemeana na kiongozi wa nchi aliyeko madarakani na mtazamo wake.

Conclusion
SADC ni bora kuliko EAC.
 
SADC ndo nini? EAC si ilikufa kitambo na Kenya wakatuzulumu kwa kuchukua Airlines zote na uwanja wa JKIA wakituachia sisi kaAICC?
:beer::beer:
 

Hapo nimekuelewa mkuu. Kama huyu M7 inaelekea yeye ana nyemelea uraisi wa East Africa ndio maana ana ng'ang'ania swala la fast tracking, Kenya tunajua shida yao ni ardhi kwa vile viongozi wao wame hodhi karibia ardhi nzima na Rwanda ndio hivyo yeye ni kiongozi wa kivita na anaendeleza fikira hizo hizo za kivita.
 
1. hakuna msouth africa, muangola au mzimbabwe anaetaman kuja na familia yake kuhamia tu apa aje kuganga njaa
2. hakuna mtu wa sadc anayetaka kuja apa tu anunue ardhi nchi nyingi za sadc wana ardhi kubwa uko kwao haijajaa
3. hakuna kiongozi wa sadc anayetaka vita tu ili aje kusaidiwa na wengine atapobanwa
4. hakuna nchi sadc inayotaka tushirikiane ktk utalii ili waibe watalii wetu kwa kuwadanganya wakienda kwao ndio wamekuja kwetu, na wengi wana vivution vya utalii vinavyo complient na vyakwetu.
5. hakuna nchi ya sadn yenye jeshi kubwa la raia waliokata tamaa wakitaman tu wakimbilie nchi ya jiran kupata breathing space.
6. hakuna nchi ya sadc itayoweka restriction kwenye bidhaa za nchi nyingine hata kama za kwao zinatumika huko kwingine kwa mfano kenya bia ni kenya breweries tu tusker kwenda mbele hamna castle na wanaziwekea vikwako vikubwa na wanahamasishana wasinywe bia za tz wakat apa watu wanakunywa tusker.
7. hakuna nchi ya sadc ukienda utanyimwa kazi kwa kigezo cha kua sio wa nchi ile au sio wa yale makabila maarufu

so SADC is 1000000000xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx better than EAC
 
Ni muda muafaka wa serikali yetu kufanya cost-benefit analysis tuamue wapi kwa kujikita zaidi.
 
MwanaFalsafa1 ... Hizi ni posts za 2008! ... Zilipostiwa hapa JF na Mbalamwezi 18th August 2008 ... hebu cheki hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…