SADC or EAC Where do you want to see your? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SADC or EAC Where do you want to see your?

Discussion in 'International Forum' started by Kongomani, Aug 13, 2009.

 1. K

  Kongomani Member

  #1
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I braught this subject up because i know that TZ is a member of both Unions, but i want to know where you want to see your country.

  So where do you want to see your country?

  SADC or EAC?

  Thank you.
   
  Last edited: Aug 13, 2009
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  SADC ni bora mara nyingi tu kwa sababu Tanzania tukiitumia SADC vizuri tunaweza fika mbali sana kwanza watu wa Sadc wana turespect sana watanzania na sio kutudharau kama wakenya wanavyotutukana, kwa kwa upande wa uchumi ni raisi sana kwa watanzania kufanya biashara kusini mwa afrika zaidi ya east africa, kwa mtazamo wangu SADC ni kitu kizuri sana kwa watanzania zaidi ya EAC
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  1. SADC kuna soko kubwa kuliko EA!

  2. Nchi nyingi za SADC licha ya DRC na ni salama zaidi kuliko Uganda, Kenya au burundi!
   
 4. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Kama hili ni swali ni definate wabongo watachagua SADC, wanaogopa wakenya eti.
   
 5. K

  Kongomani Member

  #5
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  hawa ogope Kenya, SADC ni mzuri kuliko EAC.
   
 6. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Elezea ubaya wa EAC, kwa kusema ukweli EAC is a blessing to us, jst do ur research.
   
 7. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Let us not forget that some EAC countries also belongs to COMESA. So what the difference?
   
 8. K

  Kongomani Member

  #8
  Aug 14, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  COMESA is nothing like SADC or EAC, they are only a custom's union, and TZ is not part of COMESA.

  Do your homework
   
 9. M

  Mugo"The Great" JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2009
  Joined: Oct 7, 2007
  Messages: 263
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa hili la arrogance mlitegemee vilevile kulikuta Botswana (Watswana), Zimbabwe (Shona) na South Africa. At least Mozambique and Namibia wana-appreciate na kuwaheshimu Watanzania. Hata hivyo arrogance ya hawa jamaa si kama ya jirani zetu wa-Kenya.

  EAC, Tanzania bado haijasahau ile Jumuiya ya kwanza ilivyovunjika miaka 32 iliyopita na wanajiuliza nini kimewabadili mawazo wenzetu na kuiona kuwa jumuiya ni lulu ya maendeleo? Hofu ya Watz ni hidden agenda iliyo behind the move. Aliyeumwa na nyoka akiona unyasi hushtuka.

  Upande wa SADC, ina malengo mazuri lakini bado yapo kwenye paper zaidi.

  Vilevile, sio kwamba Tz inaiogopa Kenya, iiogope kwa lipi? Bali Tanzania ina-gel vizuri zaidi na nchi za SADC kwa sababu za kihistoria.
   
 10. K

  Kongomani Member

  #10
  Aug 18, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SADC the club of giants.

  DRC , Angola, South Africa, Zambia, Zimbabwe, Mozambique all wants TZ to join the club of giants.

  EAC is hungry for everything, poor market, poor in land, poor in security, poor in money, poor in resources.
  Nyinyi wa TZ muna fikiria nini?
   
 11. B

  Bad Seed Member

  #11
  Aug 18, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It maybe true, just try SADC out, maybe it will be your ticket out of poverty.
   
Loading...