Sad truth on CHADEMA

Cdm they are not serious they have no permanent agenda they just flow along the time line
And time decides what cdm has to stand for

Without even doin a research cdm think they are right and they will succeed in their plan due to careless fail totally
 
Hapa wachangiaji lazima wapungue? Kiinglish sio jambo rahisi, "tuwe wazarendo, tutembee kifua mbere, tuongee kiswahiri".
kwa kweli maana kiswahili pia ni shida neno ni mbele sio mbere unless wewe ni wa poti
 
The sad truth is, it no longer matters what CHADEMA says or does, they will twist it or lie about it to fit their agenda.

Who else is sick of this?

View attachment 1480985
Chadema you’re the roses of Tanzania.
Mgombea wao kachukua fomu lakini wanaccm wenzie wamenuna, hakuna furaha kule, ila huko Chadema ni furaha na shangwe, alianza msigwa,, akaja lisu, akaja, nyalandu,,
Mwisho akaja. Mwammba
 
Hapa wachangiaji lazima wapungue? Kiinglish sio jambo rahisi, "tuwe wazarendo, tutembee kifua mbere, tuongee kiswahiri".
Kwa hiyo mgombea aliyechukua fomu Leo pamoja na kutokimudu vizuri kiinglishi hata kiswahili kinampa shida hivi
 
Mleta mada Kama ulichoandika kingereza umetutukana tusiojua kingereza na wewe hivyo hivyo tusi likurudie

Mengine uliyoandika sijui ila nimeona umemwamdika rose mwishoni mwanamke mbaya wewe huyo rose alikuibia mume?
Kaka Rose ni mmea wa ua!
 
Back
Top Bottom