Sad story ya Rah P

Dunia ni hadaa walimwengu ni shujaa, pole sana Rah P mi c mshabiki wako na sikupendi hata kidogo. Ila nahisi umeshajifunza kutokana na makosa yako.
 
Ila mwisho mwampamba alikula vinono sana!! Jamaa ana nyota ya kushobokewa na mademu, lol!

Mwisho mwenyewe kakuta tayari. Mambo yote Pfunk Majaaaaannniiiiiiiiiiiiiiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
its not only a sad story but it is a history,mbeba maono hafi kama ulivyomsikia anavyosema ndoto zake anataka aziachieve,mwenye haki huanguka mara 7 yet he rises again,that was a lesson
 
She needs to come back home and do her life,she has got talent and education,she is iconic here so Makampuni yatamshoboka tu hata kupata kazi ya 1 to 2m per month hatakosa. me ningeweza wasiliana nae ningempatia plan poa ya kuanzia hapa bongo, any one with her contact please????

aaaaah wapi!!!! mpe hayo maplan hapahapa! hahahahaha!
 
very touching! JF members I'm sure we can support her! lets show some love to our sister! yeye si wa kwanza na hata kuwa wamwisho.... michango midogo midogo tunaiweza tukiwa wengi inakuwa na nguvu mwanye kusupoti na ajiunge nami modez tunaomba mwongozo...
 
Rah P ni msanii mkubwa mwenye jina hapa Bongo,jina lake tu ni pesa mkuu,msaada kwake ni namna atavyotumia jina lake kama msanii kuboresha maisha yake.

Najua huu ujumbe utafikia wengi maana taarifa zake hazikuwepo,tumshauri tu hapa hapa JF na mwanaJF mwenye nia beyond that anaweza kumtafuta Invisible.

Nakala Nyani Ngabu Muuza Sura
 
Last edited by a moderator:
Huyu dada hata waandaa vipindi vya TV za hapa home akina Josh Murunga wanaweza kumtumia hasa Talk Shows!!!!
 
europe na marekani ni zaman miaka ya 90s kulikuwa pa ukweli,lakin nowdayz shida nying hakuna dill bora utulie Bongo 2
 
Hii inanikumbusha kipindi kile cha Summer Camp niliAply na nikafanikiwa lakini machale yakanicheza sikwenda! sasa hivi kuna jamaa zangu waliozamia huko USA enzi zile za Summer Camp mpaka sasa hivi hawajarudi kwaaibu na huwa naongeaga nao kwa njia ya SKYPE nikiwaambia nina gari na kiwanja na nimejenga eti wananiuliza nimepataje hela! Pole sana Raha P hili nifundisho maisha ni hapahapa Bongo akili kwa Mukichwa!
 
ulaya ilikuwa zamani sio siku hizi!! we wambie waje tu hao machalii wako...huku bongo kuna kila kitu ni mipango yako tu...kuna watu tunaishi vijijini lakini tukifika mijini tunaheshimika sana...mambo yote ni hapa hapa bongo
 
Very Sad Story....Namkumbuka sana akiwa mwanza kwao nyakato...mara akapote akaenda US akaja vocation home na huyu bwana wake sijui ndio huyu aliye fungwa lakini i remember yule alikuwa mzee kimtindo...kama mke na mume...Maisha ni kujifunga....atafanikiwa..ni ngumu kurudi home kwa nilivyo msikiliza....bado anaona kuna mwangaza. Acha ahangaike nyumbani kwao bado mambo si mabaya akishindwa atarudi home.
 
Mimi nafikiri bado anaweza kurudi Tanzania ,bado opportunity zipo tu nyingi sio lazima mziki na watanzania huwa tunasaidiana bado tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom