Sad story ya Rah P

kwanin kasema eti .... hhawezi fanya kazi tena US ..as long as shes alive... sijaelewa
 
flora msoffe;5036695]

what a coisedence[/QUOTE]

SAMAHANI HILO NENO NIMELIKOSA KWENYE DIKISHENALI YA KIINGEREZA...
 
flora msoffe;5036695]

what a coisedence[/QUOTE]

SAMAHANI HILO NENO NIMELIKOSA KWENYE DIKISHENALI YA KIINGEREZA...
 
Fahamu aliko na akifanyacho Rah P

Did you know that she was jailed?




Dah huyu nilikuwa mshabiki wake miaka ya nyuma na mwaka 2007 nilirequest Facebook friendship hakujibu hadi leo nimefungua fb account yake nimekuta ana 5 friends na picha yake ya fb akaitoa.... nikahisi kuna kitu kinamsumbua kumbe i was right

ap7ha8.jpg
 
Last edited by a moderator:
Anajifanya mmarekaaaaaaani. Ndio arudi bongo angekuwa mbali sana na jamaa kamtumia hajaacha hata chenji
 
Kalijifanya mjanja mnjanja.... life ****ed her up...!!

life needs so much discipline with hardworking & thinking many times before attempting anything like Marriage etc....

Ilikuwaje hadi aolewe asijue mumewe anashughulika na nini..?? this is useless...!!!

Hadi mimba.... hakujua anatapeliwa tu...
 
flora msoffe;5036695]

what a coisedence

SAMAHANI HILO NENO NIMELIKOSA KWENYE DIKISHENALI YA KIINGEREZA...[/QUOTE]

unalijua cha mcng ungelirekebisha acha umang'aa wako mojawapo ya mambo mazuri ya jf ni kuelimishana @x!@@xx
 
Ni tatizo la dada zetu kupenda maisha mteremko bila kujua mwanaume anatoa wapi hela. Na liwe somo
 
Huyo hana siku nyingi ataangukia mikononi mwa madawa ya kulevya na huo uhardcore anaouendekeza............halafu mbona mtoto wa kike na wa kiume kama hawafananii fulani........sio kwamba jamaa baada ya kupelekwa lupango akajirusha na side dude mwingine ndipo akapata hako katoto kadogo kapili........mmmmmmmmhmn kuna maswali mengi yamezunguka maisha ya huyu dada........anyways arudi tu bongo hajachelewa sana kufanya life nzuri.......hizo ni nchi za watu cheki sasa anavyotaabika na watoto.....angekuwa bongo hapa hata akiwa hana pesa matembele fungu mia mbili.....unga dona kisado 3000 so haweza kulala njaa..........kuhusu pa kulala geto mimi ninalo anione wife ntampa kibuti kwaajiri yake.....
 
Marekani ukikutwa na hatia ya baadhi ya kosa/makosa ya "felony" ndiyo inakua imetoka hiyo; hutapata kazi sehemu yoyote, labda kwa rafiki au ndugu zako.
Hata bongo ukifukuzwa kazi kwa kosa la wizi,uzembe au ulevi labda kampuni mpya wasiulize ulipotoka au kwenye CV ufute useme ulikuwa mfanyabiashara kazi hupati
 
Anafaa kuwa mkalimani wetu maana idara ya kiingereza chenye rafudhi nzuri wapo wachache si mmesikia I ga ma first child be coz ma husband didn't wanna hear me goin to school
 
Back
Top Bottom