Sad: 6000 FARDC killed 120 captured by M23 including Captain Patrick Nyembo

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
[h=1]CONGODRC NEWS[/h]

Reliable sources from MONUSCO.

A confidential report sent today to the headquarters of the United Nations says that 6,000 FARDC were killed by M23 on the Battlefield at Kanyarucinya during the last 10 days of fighting. Verified source from Goma: 720 FARDC wounded are at the Military Hospital in Katindo abandoned by the government only getting help from NGOs, hundreds become mad and some are at Sante Mental in Ndosho, a hospital treating mad people. And others has been captured by M23 and being treated at Rumangabo M23 sickbay.

INTERVIEW OF PATRICK NYEMBO AN FARDC CAPTAIN OF THE COMMANDOS BATTALION TRAINED BY AMERICANS CAPTURED AT THE FRONTLINE

[video=youtube_share;ZAdbuA9HjGw]http://youtu.be/ZAdbuA9HjGw[/video]

1 Good Morning? What is your name
R/ My Name is Captain Nyembo Patrick.
2 How Did you reach Hear
R/ It's By circumstance, i passed on the village near our neighbor then i was shot.
3 You worked in Which Units of FARDC?
R/ I was working In comandos unit
4 Which fuction did you have in
R/ I was the S2 of the Operations commandant
5 Were you on the front line?
R/ No, I was based in Goma town looking for suspects in town but later, I come to see what was going on on the battlefield, I went with 2 Lieutenant on a Moto bike, when we advanced some meters we failed in the Ambush and we were shot.
6. Did u not realize that M23 was there?
R/ for sure I couldn't believe that M23 soldiers were there. it was near our positions, they just come out of the bush
7. Which place is that?
R/ Some meters of kanyarucinya
8.now you are in M23 hands, how are they treating you?
R/ first of all i say many thanks the Unit i found here, they are treating me very well, they are giving me medics , food everything is OK. KITOKO.And the way they are treating us in this M23 sickbay, there is no discrimination, they don't matter that you are from M23 or FARDC, the treatment is equal.
7. What can you tell other Fardc about this war?
R/The only thing i can tell Them is to stop fighting, war is not good, we are all Africans we share the same ancestral its not good to continue killing each other.
8. And what do you ask M23 Leader?
R/ Only love, love Each other, even Joseph kabila, Genral Makenga and all of us its time to Unit, love each other and stop calling some Rwandans, because since i reached here I have never seen any Rwandans only Congolese. I realize that its only propagandes.

The last one Says.
They lied Mamandou, they told us that M23 Withdrew from Kanyarucinya, then we advanced. Reaching Kibati, M23 attacked us from behind we couldn't go back, it was horrible.
Mutware M
 
how if it have been recorded just to "prove"the m23 are not rwandese? how can P.O.W know that all members are congolese
 
.......duh! Propaganda zingine bana, yaani za stone age kabisa!

Haya comando uliyekamatwa! Kama wameweza kukukamata basi we ni raia tu, huna training yeyote coz by all standards that is not even war. Hiyo ni kama kazi ya upolisi tu, kulinda na kudumisha usalama wa raia na mali zao
 
So they are not rwandese and according to the story these M23 people are not as bad as they are painted out here, much more they have not vacated from the battlefield and making the matter worse they have killed a lot of soldiers from the other side, Now whose propaganda should we believe?
 
Ha ha ha ha ha hahaha!! MukamaSimba na Murutongore mko wapi jamani, uzi wenu huu
 
.......duh! Propaganda zingine bana, yaani za stone age kabisa!

Haya comando uliyekamatwa! Kama wameweza kukukamata basi we ni raia tu, huna training yeyote coz by all standards that is not even war. Hiyo ni kama kazi ya upolisi tu, kulinda na kudumisha usalama wa raia na mali zao

Kweli Mkuu! Yaani watu 6000 wauwawe halafu kusijulikane na dunia. Propaganda nyengine Bwana. Walisema Ikulu yuko binamu ya Warwanda lakini nafikiri JF wako zaidi ya mabinamu!
 
CONGODRC NEWS

Reliable sources from MONUSCO.

A confidential report sent today to the headquarters of the United Nations says that 6,000 FARDC were killed by M23 on the Battlefield at Kanyarucinya during the last 10 days of fighting. Verified source from Goma: 720 FARDC wounded are at the Military Hospital in Katindo abandoned by the government only getting help from NGOs, hundreds become mad and some are at Sante Mental in Ndosho, a hospital treating mad people. And others has been captured by M23 and being treated at Rumangabo M23 sickbay.

INTERVIEW OF PATRICK NYEMBO AN FARDC CAPTAIN OF THE COMMANDOS BATTALION TRAINED BY AMERICANS CAPTURED AT THE FRONTLINE

[video=youtube_share;ZAdbuA9HjGw]http://youtu.be/ZAdbuA9HjGw[/video]

1 Good Morning? What is your name
R/ My Name is Captain Nyembo Patrick.
2 How Did you reach Hear
R/ It's By circumstance, i passed on the village near our neighbor then i was shot.
3 You worked in Which Units of FARDC?
R/ I was working In comandos unit
4 Which fuction did you have in
R/ I was the S2 of the Operations commandant
5 Were you on the front line?
R/ No, I was based in Goma town looking for suspects in town but later, I come to see what was going on on the battlefield, I went with 2 Lieutenant on a Moto bike, when we advanced some meters we failed in the Ambush and we were shot.
6. Did u not realize that M23 was there?
R/ for sure I couldn't believe that M23 soldiers were there. it was near our positions, they just come out of the bush
7. Which place is that?
R/ Some meters of kanyarucinya
8.now you are in M23 hands, how are they treating you?
R/ first of all i say many thanks the Unit i found here, they are treating me very well, they are giving me medics , food everything is OK. KITOKO.And the way they are treating us in this M23 sickbay, there is no discrimination, they don't matter that you are from M23 or FARDC, the treatment is equal.
7. What can you tell other Fardc about this war?
R/The only thing i can tell Them is to stop fighting, war is not good, we are all Africans we share the same ancestral its not good to continue killing each other.
8. And what do you ask M23 Leader?
R/ Only love, love Each other, even Joseph kabila, Genral Makenga and all of us its time to Unit, love each other and stop calling some Rwandans, because since i reached here I have never seen any Rwandans only Congolese. I realize that its only propagandes.

The last one Says.
They lied Mamandou, they told us that M23 Withdrew from Kanyarucinya, then we advanced. Reaching Kibati, M23 attacked us from behind we couldn't go back, it was horrible.
Mutware M

- Post lote hili kwa kutegemea habari ya Reliable Source tu? Jamani hivi JF kumetokea nini siku hizi!!!

Le Mutuz
 
William umeona jinsi wanyarwanda wanavyohangaika kueneza propaganda za mfa maji?
jamaa ana-post akidhani wanaopitia humu hawana vichwa lol!!
Hivi kweli waasi waue askari 6000 kutoka majeshi ya kiserikali ndani ya siku 10 yaani kila siku askari mia 600. kwa lugha nyingine kila siku waue platuni 56!!!! hata kama walinda amani wangekuwa mgambo bado hiyo idadi haiwezekani!!!

- Post lote hili kwa kutegemea habari ya Reliable Source tu? Jamani hivi JF kumetokea nini siku hizi!!!

Le Mutuz
 
- Post lote hili kwa kutegemea habari ya Reliable Source tu? Jamani hivi JF kumetokea nini siku hizi!!!

Le Mutuz

Hapo ndio Makosa ya sisi Watanzania, ni rahisi sana kupuuza habari nyeti... haya huyo Mwanajeshi aliyeshikwa ni kweli ni wa serikalii ya CONGO-KINSASHA? hayo ndio tunayojiuliza kwanza - kabla ya kuiponda habari nzima as nonsense

Kingine ni hichi News tunazotoa pia inawezekana ikawa propaganda, ni kwanini tumeamua kuwarudisha wanajeshi wote waliokuwa LIKIZO na wenye PASS kazini? sababu waliokwenda huko kuisaidia UN ni wanajeshi wachache tu waliochaguliwa na UONGOZI wengi wao ni wenye HESHIMA; WATUMISHI BORA ni kama Promotion...

Vita havina ukweli; Vita ni vibaya... Hii habari kuwa hapa ni kutufungua Macho sisi - sio kuangalia upande Mmoja tu lakini bado twashangaa kwanini havimaliziki wakati tumesikia wamepakimbia GOMA.

Tabia za kudharau dharau ndio zinazotudhuru haswa Maneno 'MINGI'...

BE AWARE and PRECISE MAN!!!
 
Hii ndiyo vita, ngoja majina ya marehemu siku yatakapo andikwa ukutani.
Katika Hali hii mashabiki wa vita hupenda kuingiza mbwembwe kwenye ugomvi kisha Jina la ndugu yako linasomwa Mara kilio na kwikwi.
 
Tumeongea sana hapa.kuwa vita sio vizuri jamani.Basi tukapewa majina wewe ni Mnyarwanda rudi kwenu.Tunapenda kuchochea moto ambao uwaumiza hata vizazi vijavyo.watu wenye akili timamu sasa hivi kazi kuchochea vita tu.Wanaongea huku na kule.Chuki sio nzuri.Narudia tena tujifunze kujenga na sio kubomoa.kwani itakuwa ngumu hapo baadae kijenga.Kama huu ni wa ukweli basi inasikitisha sana sana kupoteza watu hivi hivi.Tusidharau vita hata mara moja.Vita vya congo ukiwapiga wanarudi msituni kujipanga ,alafu wanakuja kwa kuwashitukiza na kuwaua.Kinachotakiwa ni kuacha vita na kuongea sio kuwadharau na kusema tutawatwanga hapana.
 
Mshikaji anaongea kwa kutumia lugha ya kuimbia.
 
Wanajeshi 6000 ni vikosi saba! Hapa tulitarajia kuona sio tu picha ya ngoma kuchoka mmoja akihojiwa, bali zana kubwa na kivita kama mizinga, vifaru n.k vilivyotekwa na kuangamizwa. Kwa idadi hiyo waasi wangekuwa njiani kuelekea Kinshasa. Waasi wasiokuwa hata na air power kuweza kuua wanajeshi 6000! Labda kama wanatumia silaha za sumu.

Huu unaitwa uzandiki ukiwa na lengo la kuvunja moyo askari na wananchi kwa ujumla. Mbinu hii haitofautiani na ule upuuzi wa passport ya askari iliyopigiwa debe sana humu jf. Kuua wanajeshi 6000 si lelemama. Halafu ukaficha ukweli wake? Impossible. Useless propaganda for simple mind.
 
Hata kipindi kile awa m23 walipopiga ambush na kuua yule meja waJW, wao ndio walikuwa wa kwanza kueleza kwenye mitandao kuwa kuna ambushi imefanyika na wanajeshi waTz wamekufa. Kipindi wao wanatoa taarifa UN walikuwa kimya.

Sasa hata hii ishu siwezi kushangaa, kwani hii vita ya Goma inakuwa ni vita ya ambushi, adui hajulikani, raia hajulikani.

Hii vita ni sawa na vita za iraq na afghanstan, tulikuwa tunaona wanajeshi wa US walivyokuwa wanarudi kwenye masanduku. Sasa na sisi tujiandae kupokea masanduku.

Jamani vita sio nzuri na vita haina macho.
 
all in all, jamaa wamepigwa za uso.... wawe 6000 au sita

the best is yet to come
 
Tumeongea sana hapa.kuwa vita sio vizuri jamani.Basi tukapewa majina wewe ni Mnyarwanda rudi kwenu.Tunapenda kuchochea moto ambao uwaumiza hata vizazi vijavyo.watu wenye akili timamu sasa hivi kazi kuchochea vita tu.Wanaongea huku na kule.Chuki sio nzuri.Narudia tena tujifunze kujenga na sio kubomoa.kwani itakuwa ngumu hapo baadae kijenga.Kama huu ni wa ukweli basi inasikitisha sana sana kupoteza watu hivi hivi.Tusidharau vita hata mara moja.Vita vya congo ukiwapiga wanarudi msituni kujipanga ,alafu wanakuja kwa kuwashitukiza na kuwaua.Kinachotakiwa ni kuacha vita na kuongea sio kuwadharau na kusema tutawatwanga hapana.

Huo ndio ushauri aliopewa Kagame....cha ajabu na wewe leo unatumia lugha ile ile aliyoitumia Kikwete......kwa maneno yako hayo hapo juu wewe unaitwa MUUAJI mbele ya ndugu zako Rwandese......

...Wanajeshi wetu waliopo DRC.......wana mamlaka ya UN kwa makakati maalum.....hatukujipeleka kiujanja ujanja kama alivyofanya Kagame.......Hayo uliyo andika....Watanzania tulio wengi tunayatambua kwa vizuri sana.....kupigana hatukuanza juzi na madhara yake tunayajua sana......msitegemee kwenye operations kama hizi hakutakuwa na maafa....

.....tumepigana ndani ya Angola, Seychelles, Uganda, Namibia, Msumbiji, Comoros, Zimbabwe....na hata hivi sasa baadhi ya wanajeshi wetu wako nchi mbali mbali.....either wakitoa mafunzo au wakitekeleza majukumu waliyopewa na UN.....

....nilipoteza ndugu na marafiki wa karibu wakati ule wa Vita ya kumng'oa Nduli Iddi Amin......inaelekea kuna VITOTO VINGI sana siku hizi hapa JF......halafu ni vioga kweli kweli.......Kuwa Mwanajeshi sio show za Dar Live Mbagala!!

Halafu si jambo la ajabu endapo kuna taarifa nzito kutoka jirani...wanajeshi wetu huwekwa standby kwa minajili ya kuilinda nchi yetu na mipaka yetu......tumefanya hivyo mara kadhaa ili kujilinda na possible attack from neighbouring countries......ndio maana ya kuwa na Jeshi.......to be ready for any eventuality......
 
Hata kipindi kile awa m23 walipopiga ambush na kuua yule meja waJW, wao ndio walikuwa wa kwanza kueleza kwenye mitandao kuwa kuna ambushi imefanyika na wanajeshi waTz wamekufa. Kipindi wao wanatoa taarifa UN walikuwa kimya.

Sasa hata hii ishu siwezi kushangaa, kwani hii vita ya Goma inakuwa ni vita ya ambushi, adui hajulikani, raia hajulikani.

Hii vita ni sawa na vita za iraq na afghanstan, tulikuwa tunaona wanajeshi wa US walivyokuwa wanarudi kwenye masanduku. Sasa na sisi tujiandae kupokea masanduku.

Jamani vita sio nzuri na vita haina macho.

..yule major hakufa kwenye ambush.

..bomu la mzinga wa M23 liliangukia sehemu waliyokuwepo wanajeshi wa UN/Tanzania.

..M23 wamepoteza askari wengi zaidi. habari toka hospitali iliyopokea majeruhi wa pande zote za mapigano, inaeleza kwamba kuna makanali wawili wa M23 walikufa ktk mapigano.

..ushahidi mwingine kwamba M23 walipokea kichapo ni kitendo chao cha kuondoka kwenye mlima ambao walikuwa wameushikilia.
 
Hapo ndio Makosa ya sisi Watanzania, ni rahisi sana kupuuza habari nyeti... haya huyo Mwanajeshi aliyeshikwa ni kweli ni wa serikalii ya CONGO-KINSASHA? hayo ndio tunayojiuliza kwanza - kabla ya kuiponda habari nzima as nonsense

Kingine ni hichi News tunazotoa pia inawezekana ikawa propaganda, ni kwanini tumeamua kuwarudisha wanajeshi wote waliokuwa LIKIZO na wenye PASS kazini? sababu waliokwenda huko kuisaidia UN ni wanajeshi wachache tu waliochaguliwa na UONGOZI wengi wao ni wenye HESHIMA; WATUMISHI BORA ni kama Promotion...

Vita havina ukweli; Vita ni vibaya... Hii habari kuwa hapa ni kutufungua Macho sisi - sio kuangalia upande Mmoja tu lakini bado twashangaa kwanini havimaliziki wakati tumesikia wamepakimbia GOMA.

Tabia za kudharau dharau ndio zinazotudhuru haswa Maneno 'MINGI'...

BE AWARE and PRECISE MAN!!!

Propaganda za kitoto, mmeua 6,000 ok, wakiwa wamesimama wanawaangalia tu? Mbona nyie hamsemi mmeuliwa wangapi?au nyie mna utaalamu wa kukwepa risasi? Hiyo interview ya kuandikwa bila hata picha moja ya wahusika kuonyesha hasara iliyopatikana tuta amini vp? Propaganda ya kitoto sana hii. Propaganda watu wanasomea sio kukurupuka tu bia technique.
 
Back
Top Bottom