Sad: 6000 FARDC killed 120 captured by M23 including Captain Patrick Nyembo

Sad: 6000 FARDC killed 120 captured by M23 including Captain Patrick Nyembo

Kwa silaha za M23 ni ndoto kuuwa watu 6000 kwa izo siku Wakiuwa hao watu wasingekimbia mlima walioushikilia hizi ni ndoto awana ata silaha moja ya anga kama jet na chopa wauwe watu hawa nahisi sasa jf kuna kagame team sijui wanalipwa shs ngap
 
Hata kipindi kile awa m23 walipopiga ambush na kuua yule meja waJW, wao ndio walikuwa wa kwanza kueleza kwenye mitandao kuwa kuna ambushi imefanyika na wanajeshi waTz wamekufa. Kipindi wao wanatoa taarifa UN walikuwa kimya.

Sasa hata hii ishu siwezi kushangaa, kwani hii vita ya Goma inakuwa ni vita ya ambushi, adui hajulikani, raia hajulikani.

Hii vita ni sawa na vita za iraq na afghanstan, tulikuwa tunaona wanajeshi wa US walivyokuwa wanarudi kwenye masanduku. Sasa na sisi tujiandae kupokea masanduku.

Jamani vita sio nzuri na vita haina macho.

Huyu nae ndo walewale wafuasi wa kagame. Inafurahisha kuona humu kwenye JF hata M23 wamo wanasikilizia maumivu.
 
Hapo nilimaanisha kwamba watu hapa Tanzania wanapenda kuchochea vita[kati ya Tanzania na Rwanda].Nikatolea mfano wa Congo kuwa vita sio vizuri ,sikuwa na maana walichofanya UN kilikuwa kibaya kama ni suluhu ya mwisho.Nilikuwa namaanisha kuwa kwanza kukaa mezani kwanza ni muhimu hata hata zaidi ya mara 7.Nina maanisha tusi rush kwenye vita wakati kuna dawa inaweza kutibu hasira zetu.Mbona Nimemkubali Rais hivi juzi tu kuonyesha kuwa yupo smart na sio kama Tanzania ni dhaifu kivita hapana.Busara na hekima ni vitu vya kwanza kwenye hii jamii yetu.Unaona sasa hivi huko Syria kati ya Russia na USA.Bado wanapambana wengine wanasema amevuka red line wengine wanasema subiri tutumie hekima.Kwa sababu wengine wanaogopa kuwa watu watapoteza maisha zaidi,ingawa wengine wanasema hapana.Sasa hapo kwanza inatakiwa watu smart kwa pande zote mbili kutafuta suluhu moja kwa haraka sana.Nafikiri kwa mtu mzee kama wewe ungekuwa na hekima zaidi ya sisi watoto katika kutatua matatizo kwanza kwenye familia zetu na pia kwenye koo zetu na mitaani mwetu na hatimaye Taifa nzima.
 
Hapo ndio Makosa ya sisi Watanzania, ni rahisi sana kupuuza habari nyeti... haya huyo Mwanajeshi aliyeshikwa ni kweli ni wa serikalii ya CONGO-KINSASHA? hayo ndio tunayojiuliza kwanza - kabla ya kuiponda habari nzima as nonsense

Kingine ni hichi News tunazotoa pia inawezekana ikawa propaganda, ni kwanini tumeamua kuwarudisha wanajeshi wote waliokuwa LIKIZO na wenye PASS kazini? sababu waliokwenda huko kuisaidia UN ni wanajeshi wachache tu waliochaguliwa na UONGOZI wengi wao ni wenye HESHIMA; WATUMISHI BORA ni kama Promotion...

Vita havina ukweli; Vita ni vibaya... Hii habari kuwa hapa ni kutufungua Macho sisi - sio kuangalia upande Mmoja tu lakini bado twashangaa kwanini havimaliziki wakati tumesikia wamepakimbia GOMA.

Tabia za kudharau dharau ndio zinazotudhuru haswa Maneno 'MINGI'...

BE AWARE and PRECISE MAN!!!

Sasa wewe hiki ulichokiandika kina-justify reliability ya post yako ya Post yako ya kwanza? Kajipange upya umeshaambiwa hakuna realism hapo.
 
Hata kipindi kile awa m23 walipopiga ambush na kuua yule meja waJW, wao ndio walikuwa wa kwanza kueleza kwenye mitandao kuwa kuna ambushi imefanyika na wanajeshi waTz wamekufa. Kipindi wao wanatoa taarifa UN walikuwa kimya.

Sasa hata hii ishu siwezi kushangaa, kwani hii vita ya Goma inakuwa ni vita ya ambushi, adui hajulikani, raia hajulikani.

Hii vita ni sawa na vita za iraq na afghanstan, tulikuwa tunaona wanajeshi wa US walivyokuwa wanarudi kwenye masanduku. Sasa na sisi tujiandae kupokea masanduku.

Jamani vita sio nzuri na vita haina macho.

Wacha upotoshaji na hizo propaganda za kijinga wewe. Kwani aliyeleta passport fake mtandaoni sio hao hao waasi? Hivi unajua maana ya askari 6000 wewe? Itakuwa ni vita ya kwanza kupoteza askari wengi ndani ya muda mfupi kwa hivi vita vyetu vya manati. Mbumbumbu wa masuala ya medani pekee ndiye atakayeamini upuuzi huu. Otherwise safari ya Kigali inaendelea licha ya baba yenu kujaza wanajeshi wake mpakani. Tutaingia huko kwa kigezo cha disarmament kwa kuwa m23 wamekimbilia kwao Rwanda.
 
[h=1]CONGODRC NEWS[/h]

Reliable sources from MONUSCO.

A confidential report sent today to the headquarters of the United Nations says that 6,000 FARDC were killed by M23 on the Battlefield at Kanyarucinya during the last 10 days of fighting. R]

From sentense no one. This is STUPID NEWS!
 
Congolese my foot! Just tell me why viongozi wote wa hawa M23 and CNDP like Laurent Nkundabatware, Bosco ntaganda, sultani makenga etc fought for RPA led by kagame in the 1990s against the Rwandan government?
kwa nini sasa hivi laurent nkundabatware ni mgeni wa serikali ya Rwanda?
 
Hao majeshi watz na south africa walokuwa frontline hata 3000 hawafiki sasa hao 6000 basi hakuna hata jeshi moja alobaki kulinda amani na kamanikweli US wana satellite habari ingekuwa kwenye BBC sikatai hao M23 kuuwa sababu nawao sio maboya lakini hiyo idadi nikuwa sana alafu kama kweli M23 wamemshika huyo comandos basi wengemrusha kwenye mitandao yao una post habari kila siku narudia M23 ni jeshi kamili na linamafunzo makubwa walopewa na PK
 
Jinsi m23 walivyo na kihelehele hii taarifa ingekuwa kweli siku ya kwanza wangesema.na hata huyo captain wangemuonesha kama waltengeneza paspot feki ya tz sembuse kumshikilia captain mbona tungekoma.hao ni wanyarwanda waliotengeneza hiyo taarifa ktk kutapatapa ndo maana hapo wanajifanya kusema eti wanyarwanda hawapo mara just love yani ktk kuendeleza kubembeleza wakubaliwe mazungumzo baada ya fighting kushindwa.humu tupo analytical intellegent kwaiyo tunachambua herufi kwa herufi in comparison to pat posts
 
Hao majeshi watz na south africa walokuwa frontline hata 3000 hawafiki sasa hao 6000 basi hakuna hata jeshi moja alobaki kulinda amani na kamanikweli US wana satellite habari ingekuwa kwenye BBC sikatai hao M23 kuuwa sababu nawao sio maboya lakini hiyo idadi nikuwa sana alafu kama kweli M23 wamemshika huyo comandos basi wengemrusha kwenye mitandao yao una post habari kila siku narudia M23 ni jeshi kamili na linamafunzo makubwa walopewa na PK

first time i love u due to ur analytical information umetumia akili sana kuchambua
 
Hawa hawajui propaganda, askari 6000 kwenye mapigano ya wakati mmoja si rahisi!!
 
if this is so then why M23 are loosing ground???? there days are numbered!!!
 
Hao majeshi watz na south africa walokuwa frontline hata 3000 hawafiki sasa hao 6000 basi hakuna hata jeshi moja alobaki kulinda amani na kamanikweli US wana satellite habari ingekuwa kwenye BBC sikatai hao M23 kuuwa sababu nawao sio maboya lakini hiyo idadi nikuwa sana alafu kama kweli M23 wamemshika huyo comandos basi wengemrusha kwenye mitandao yao una post habari kila siku narudia M23 ni jeshi kamili na linamafunzo makubwa walopewa na PK

Nakubaliana na wewe ila mwishoni nitakupinga, Jeshi la Rwanda au hao M23 hawana nguvu sana kama ulivosema. Mkuu, Jeshi la Congo ni dhaifu sana tena sana na hili linajulikana si leo tu wala zamani, kumbuka DRC hii si mara yao ya kwanza kupewa msaada wa kijeshi kwa kuvamiwa. Nakumbuka walishawah kupewa msaada na Zimbabwe na Angola kipindi kile Warwanda na Waganda wakivamia Congo. Nguvu ya mtu inapimwa akipigana na mtu size yake.
 
Ha! ha! haaaaa! absad!! upuuzi mtupu! poison propaganda!! kamwambie kagame, watanzania hawadanganyiki, asubiri kichapo!!
 
Sasa wewe hiki ulichokiandika kina-justify reliability ya post yako ya Post yako ya kwanza? Kajipange upya umeshaambiwa hakuna realism hapo.

Tutorial or news simplicity ??
 
Back
Top Bottom