Sabuni za Eva

Sabuni za Eva

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
heshima kwenu wanajamvi,kuna kitu kinanitatiza kwenye medula yangu hivi kwa nini hizi sabuni huwa ziko nyingi sana kwenye yale maeneo yetu yale yaani kila unapoenda unakutana nazo kama vile wameamrishiwa na serikali lazima watumie hizo .kuwaekea wateja wao,mwenye kujua tafadhali anisaidie

eva.jpg
 
View attachment 90219

Kaulize dukani bei yake then tuletee jibu
 
nadhani ni unafuu wa bei kwao........yani ile harufu yake inanukia uzinzi....kulikuwaga na zingine zinaitwa zebra...nyingi ni za kuforge

embu chungulieni hapa chini,utajua kwanini wale wahudhuriaji wa guest wanavyokuwa weupe

Font Size: a / A

301112N.Joseph-Odumodu.jpg

SON DG, Joseph OdumoduRaheem AkingboluThe management of Ekulo Group of Companies, manufacturers of Eva range of soaps, has cried out that importers of fake and substandard soaps into the market are sabotaging their efforts in giving consumers high quality soaps.At a media briefing in Lagos, where the company unveiled a new range of Eva soaps, some fake soaps being brought into the market by some unscrupulous individuals were also displayed.
Speaking on the development, the General Manager of Evans Industries, Mr. Dan Nwaiwu, called on relevant regulatory authorities to check the trend to save local manufacturers. He also identified lack of interest in the nation's manufacturing sector by prominent Nigerians, as the major cause of the slow growth the economy has witnessed in recent times.The GM noted that rather than invest in the nation's manufacturing sector and enhance the economy, many affluent Nigerians prefer to buy state-of-the-art vehicles and properties in foreign lands."Unfortunately, it is obvious we can't achieve the much-needed growth in the nation's economy if we continue like this. The rate of unemployment still remains alarmingly high because there is dearth of activities in the nation's real sector, and until more people begin to show interest in investing in the sector, we will not move forward as a nation," he stated.He appealed to the Federal Government to prevail on the relevant regulatory bodies to assist the nation's manufacturers in fighting the war against counterfeiting, noting that high-selling goods are being cloned by counterfeiters on a daily basis; a development, he stated, had succeeded in crippling not a few manufacturing businesses in the country."We have been having serious issues with the fakers. The danger in this is that most times some of these products sold are substandard and even harmful; since they contain some ingredients that should not be used in the first place. Unfortunately, many consumers would not know these details," he stated.Appealing to the media to sensitise the consumers on the need to patronise genuine products, Nwaiwu explained that the company had put in place some security features in the new products that would make it difficult for them to be counterfeited.

He stated that the company's new Eva range of soaps was vegetable-based and designed for the nation's feminine gender, desirous of maintaining a glowing skin.

Sasa nyie wanaume endeleeni kutumia muwe weupe--hii sabuni na carolight hamna tofauti

cc: watu8
 
Last edited by a moderator:
uswahili hizo sabuni zinakatwa vipande vinne. so ukienda kuoga guest unatumia robo eva. mia
 
nadhani ni unafuu wa bei kwao........yani ile harufu yake inanukia uzinzi....kulikuwaga na zingine zinaitwa zebra...nyingi ni za kuforge
Sasa nyie wanaume endeleeni kutumia muwe weupe--hii sabuni na carolight hamna tofauti

cc: watu8

Hii habari njema atiii....
 
Last edited by a moderator:
Kwa hapa town sijawahi kuona duka linalouza hizo sabuni mimi nadhani kuwa wenye guest wanazipata kwa njia za panya
 
Kwa sababu huwa zinakuwa na bonus ya condom ukinunua Eva moja unapata na condom 4 as bonus kwa hiyo wenye guest na hotels wanapata 2 in 1 then wao wanauza zile condoms reja reja kwa wateja wao! That's why zinapatikana sehemu za mauaji tu coz zinauzwa na weapon of mass destruction!
 
Condom za aina gani mkuu?? Dume,pepeta,salama?? Au deluxe etc
 
Back
Top Bottom