Sabuni ya maji na disinfectant vinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sabuni ya maji na disinfectant vinauzwa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by sweetdada, Mar 2, 2011.

 1. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  WanaJF,
  Sabuni ya maji na disinfectant zinapatikana kwa bei nafuuu
  lita 5 -tsh 6000 na lita 1 - tsh 1500

  zimetengenezwa kwa utaalamu wa hali ya juu (local made)
  sabuni ina mapovu ya kutosha na ni multipurpose,unaweza kutumia kwa kuosha vyombo,kudeki,kufua,kusafisha bafu n.k

  kwa maelezo zaidi piga simu namba 0754 318 888

  Asanteni
   
 2. markach

  markach Senior Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu natamani sana kukutana na m2 mwenye utahalamu wa kutengeneza sabuni, Je uko wapi?
   
 3. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  napatikana Dar es salaam,Kurasini..niPM nikupe maelekezo au uniachie namba yako nikutafute tunaweza kukufwata popote ulipo kwa mauzo au mafunzo kama yakihitajika
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nafurai kuona inatengenezwa tanzania na kwa hilo nitachangia kununua
   
 5. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  karibu sana drphone
   
Loading...