Sabufa inauzwa..tusaidiane nitatue shida yangu

Aldosterone

Member
Feb 13, 2019
9
45
Sabufa aina ya SeaPiano SP -871 inauzwa kwa bei ya Tsh 75k(bei ya mwisho)...Nimepatwa na shida inabidi niitatue mara moja

Ina mwezi mmoja tangu inunuliwe na kila kitu kipo hadi boksi

Nipo Majohe G/Mboto..0738354315

Tusaidiane waungwana
 

Attachments

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
25,798
2,000
Zile sea piano za miaka ile,nyeupe hivi hazina usb,remote/SD wala nini.

Zina ule waya wa kuchomea kwny simu ukitaka kusikiliza mziki/kwny PC zilikua zinapiga vzr sana.
Analogs ndio zilikuwa za ukweli sana. Hizi zenye digital circuit zinazengua mziki wake sio mzuri kama wa zile old model zenye knobs!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom