Sabaya kesho kujulikana kama ana kesi ya Kujibu ama la!!

Atachomoka huyo hakuna kesi hapo
Kama kunyooshwa kanyooshwa

Ova
Mkuu vipi naomba mrejesho ashachomoka De General Ole Sabaya kama ulivyotayabanishq jana?
"Kweli Kila enzi na kitabu chake" ... alisikika mtu mmoja huku akitokwa na chozi zito

Niki report kutoka Hai Kilimanjaro mimi ni georgeeeeeee Maratu wa iiiiiiitttttttvvvvviiiiiiii
 
Tupe mjesho mkuu
 
Back
Top Bottom