Sabaya enzi zake mtaani akila maisha na warembo

Nina watoto watano na wote wamesoma English Medium. Na waliokwishafika sekondari wapo Private. Mimi sio Mtanzania wa kulialia. Soma jumbe zangu humu utathibitisha hilo. Kwa taarifa yako, nilianza kuingia Mbowe Club (kabla haijaitwa Bilicanas) wakati huo Freeman Mbowe simjui bali namjua babaake akiitwa George Mbowe.
Mbona una akili za kipuuzi hivi kama dogo wa chekechea?!😬
 
Wazungu wanasema "Success has many fathers, Failure is an orphan"

Ukiwa na mafanikio, machawa wanajaa.

Hivi Bashite birthday yake siku hizi imeenda wapi, maana hata Wasafi wako kimya!

Yaani bashite hata sholo mwamba na man fongo hawawezi kumpost tena
 
Back
Top Bottom