Sabaya enzi zake mtaani akila maisha na warembo

..
IMG-20210513-WA0014.jpg
 
Kweli kabisa. Ukimiacha Ole Sabaya, ebu muangalie maskini Mbowe. Alikuwa Mbunge na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anatembelea gari ya Serikali, dereva wa Serikali, mafuta ya Serikali, Ofisi ya Serikali mpaka walinzi wa Serikali. Leo anazurura nchi nzima kwa usafiri wa kudandia kwa washkaji!
Kukosa akili kwa uvccm Kama wewe ndio kunafanya mkose teuzi makini mbowe mlimpoka ubunge leo mmesahau.
 
Kweli kabisa. Ukimiacha Ole Sabaya, ebu muangalie maskini Mbowe. Alikuwa Mbunge na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anatembelea gari ya Serikali, dereva wa Serikali, mafuta ya Serikali, Ofisi ya Serikali mpaka walinzi wa Serikali. Leo anazurura nchi nzima kwa usafiri wa kudandia kwa washkaji!
Mbowe kweli wa kumuongelea hivyo wewe kjana

Mbowe atatoka keshokutwa tu hutoamini

Sidhani hata Kama unastahili kuwa mkata nyasi wa mbowe

Punguza ujinga Tafuta pesa uindoe familia yako kwenye Lindi la umasikini sio kukaa kuwananga watu walio achieve something kwenye haya maisha .
 
Nina watoto watano na wote wamesoma English Medium. Na waliokwishafika sekondari wapo Private. Mimi sio Mtanzania wa kulialia. Soma jumbe zangu humu utathibitisha hilo. Kwa taarifa yako, nilianza kuingia Mbowe Club (kabla haijaitwa Bilicanas) wakati huo Freeman Mbowe simjui bali namjua babaake akiitwa George Mbowe.
 
Wazungu wanasema "Success has many fathers, Failure is an orphan"

Ukiwa na mafanikio, machawa wanajaa.

Hivi Bashite birthday yake siku hizi imeenda wapi, maana hata Wasafi wako kimya!
 
Kweli kabisa. Ukimiacha Ole Sabaya, ebu muangalie maskini Mbowe. Alikuwa Mbunge na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anatembelea gari ya Serikali, dereva wa Serikali, mafuta ya Serikali, Ofisi ya Serikali mpaka walinzi wa Serikali. Leo anazurura nchi nzima kwa usafiri wa kudandia kwa washkaji!
Na Leo hii ni mtuhumiwa wa ugaidi
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom