Allah maana yake ni Mungu mkuuallah na wasabato wapi na wapi mkuu?
ThanK you
Hii kwaya inapatikana wapi?Inanibariki sana
2011,2012 Ambassador Of Christ walitikisa sanaView attachment 3300572 Tufanye kazi
Asante sana kwa mbaraka huu.Hakika wanajua
Na kwako ndugu yangu, niko nasoma PENDO LISILO KIFANI, Muonjo wa wakati wa taabu itakapokuwa imekoma. mwandishi ni Ellen G WhiteDeterminantor happy Sabbath