Sababu zinazowafanya wanawake wachepuke kwenye mahusiano

tatizo.hampendi kusikia ukweli....

Nguvu za kiume ni shida....period...

Uliza madaktari..uliza wahusika wa sekta za afya.

.kundi linaoongoza kwa kukosa nguvu zakiume ni kina nani kwasasa....

20s - 40s......
Kuambiwa mkae kwa kutulia mkigongewa ndio comment km.bint wa kiswahili

Mnatakaga raha wenyewe tu
...ila wakike hawana hamu eti
Bado hujanielewa maana yangu halafu wewe ndio mfikisha ujumbe lakini una panick haraka.

Sikia nikwambie issue ya nguvu za kiume kwa ninavyoelewa mimi imechukua zaidi ya 70% zinazobaki ndio yanakuja mambo mengine sijui mavyakula, mazoezi n.k sasa nilikuuliza mara ya kwanza kama umeolewa nikiwa na maana issue kama hizo zinatatulika kwa pamoja kwa kushirikiana kati ya mke na mume na kwa kadri ulivyowasilisha comment yako ni kama ni swala la mwanaume peke ake na unasimama pamoja na wanaocheat kwa kigezo cha nguvu za kiume huridhishwi na wakati unasahau hata wewe unaweza kuwa msaada kwa mwenzako mkalimaliza.

Lakini issue nyingine kwa jinsi ninavyo elewa mimi siamini kama mwanamke anacheat sababu tu haridhishwi wapo wanaoridhishwa na wanagongwa kwingine vilevile kwa hiyo issue kwa kutombewa ni hulka ya mwanamke mwenyewe na sio sababu nyingine.

Kaa na mumeo muone ni kwa namna gani mnaweza kulimaliza otherwise utakitombesha kijiji kizima na hutapata muafaka.
 
Point no 4..;;;;
NGUVU ZA KIUMEEEEEEEE

wanaume wasasa mna majanga HAMSIMAMISHI....period

Vijana wadogo wanatumia Erecto...etc kwajili ya erection....na anasema kbs anatatizo...NGOMA HAISIMAMI....

Mwanamke atavumilia atachoka naye binadamu ..Ana hamu km nyie mlivyo nazo....wanaume

Kwahiyo wala msiwaze sana kuhusu kuchapiwa...ilimradi heshima imo ndani ya ndoa.......na magonjwa mnajilinda

Shuhuda nnazo nyingi sana wanalalamika wanawake....hawafanywi....
N ziko za wanaume. Wenyewe wanaconfess shughuli kwao sio tena..ngoma imelala doro...si asubhi akiamka wala katikati ya usiku
.mtu ht 40s hajafika

JITAFAKARINI....
Nini kifanyike
 
Nilivyosoma heading, nikawa nategemea wazi kukutana na point no. 4
Ushauri wangu kwa vijana! TUSIOE, tuendelee kuchakata mbususu!
 
Bado hujanielewa maana yangu halafu wewe ndio mfikisha ujumbe lakini una panick haraka.

Sikia nikwambie issue ya nguvu za kiume kwa ninavyoelewa mimi imechukua zaidi ya 70% zinazobaki ndio yanakuja mambo mengine sijui mavyakula, mazoezi n.k sasa nilikuuliza mara ya kwanza kama umeolewa nikiwa na maana issue kama hizo zinatatulika kwa pamoja kwa kushirikiana kati ya mke na mume na kwa kadri ulivyowasilisha comment yako ni kama ni swala la mwanaume peke ake na unasimama pamoja na wanaocheat kwa kigezo cha nguvu za kiume huridhishwi na wakati unasahau hata wewe unaweza kuwa msaada kwa mwenzako mkalimaliza.

Lakini issue nyingine kwa jinsi ninavyo elewa mimi siamini kama mwanamke anacheat sababu tu haridhishwi wapo wanaoridhishwa na wanagongwa kwingine vilevile kwa hiyo issue kwa kutombewa ni hulka ya mwanamke mwenyewe na sio sababu nyingine.

Kaa na mumeo muone ni kwa namna gani mnaweza kulimaliza otherwise utakitombesha kijiji kizima na hutapata muafaka.
My dear...mi sio mhusika..km umesoma point yangu moja...nimesema nakutana na WAHUSIKA....meaning wanaopitia hizo hali....nitakupa mfano...

Kijana 25th years tu.....analalamika sina nguvu za kiume....ukiuuliza hiatoria yake anakwambia imeanza ghafla...
Ana scenario zake.....
1...anahisi kuna ugonjwa alipata ndio chanzo(lkn huo ugonjwa kitaalm walabhausini na erection)

2..mwanamke alilala nae toka hapo haiamki..(anaamini ushiriikina)
Ukienda deep kumhoji situationa anazopitia unqgundua ni STRESS....

Ukija kwa mwanamke....anakwambia nna lazimika kupiga punyeto na imeniathri...ukimchimba reason anakwambia mwenzangu kazi hawezi....(anatamani aache kujichua lkn hamna namna)...
Akimshauri mumewe kwenda hospital kucheki shida nn anakua mkali.....kkm mtu asiyehitaj msaada ...na anakwambia ndoa ndip kwanza ina 3 yrs...
Anataka asaidiwe......(huyu alisema yeye hachepuki japo ukweli anaujua yeye)

Mifano ni mingi...sinasababu ya kueleza scenario zote....ila jua tu nakutana nazo
 
Vipimo tu.....

Madogo wanaanza mapenzi hata condom haziwatoshi....

Ndio maana leo wanatumia Putururu,,Vumbi la kongo,, Mkuyati,, Viagra n.k

Suluhisho ni vijana kuacha uzinzi,, na wadada nao pia mambo yamekuwa mengi,, hisia zote zipo kwenye pesa
 
Ulivyotaja hiyo asilimia 45 kwa kujiamini, mie hoi.:p
Kwa nini si 38%? Au 74% au 12% n.k
No research no right to speak.
 
Madogo wanaanza mapenzi hata condom haziwatoshi....

Ndio maana leo wanatumia Putururu,,Vumbi la kongo,, Mkuyati,, Viagra n.k

Suluhisho ni vijana kuacha uzinzi,, na wadada nao pia mambo yamekuwa mengi,, hisia zote zipo kwenye pesa
You are very right....hapo kwa wadada sasa...ukimtongoza tu anaona mtaji huu hapa
Mambo za hisia anaweka kando
 
You are very right....hapo kwa wadada sasa...ukimtongoza tu anaona mtaji huu hapa
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png

Mambo za hisia anaweka kando

Bora hata hizo hisia za kuweka kando wangekuwa nazo,,, Ni mabinti hawana kabisa hisia... Wamekuwa Materialistis Pro Max..

so Vijana sio kwamba hawawezi kazi,, ila mabinti nao wamekuwa hisialess,, Na vijana kwa kuwa wanakuwa wamelipa nauli basi ni haki yao kushukia kituo chochote....

so hata dereva akiwa imara vipi,, kama gari ni bovu hawezi lifikisha popote...
 
Tatizo la mwisho ni kubwa sana.na hao wanaume ukiwaona huwezi ata kuwadhania .Na nilichogundua wengi wao ni wanaume ila wanatabia za kike karibia zote kununa hivyo bila sababu,hasira zisizo na mbele wala nyuma,wakitaka kuanza mahusiano hupendelea kuonesha characters za uplayboy,hajali kuhusu hisia ukiangalia kiundani unakuta tatizo linaanzia hapo kijana/mwanaume hana nguvu za kiume na inampelekea kuwa na characters zinazoendana na mwanamke diet zake kubwa mayai,chips na vyakula dizaini hiyo.Mtu wa hivi ukiingia nae kwenye ndoa ugomvi haukauki kila siku mtagombana
 
Point no 4..;;;;
NGUVU ZA KIUMEEEEEEEE

wanaume wasasa mna majanga HAMSIMAMISHI....period

Vijana wadogo wanatumia Erecto...etc kwajili ya erection....na anasema kbs anatatizo...NGOMA HAISIMAMI....

Mwanamke atavumilia atachoka naye binadamu ..Ana hamu km nyie mlivyo nazo....wanaume

Kwahiyo wala msiwaze sana kuhusu kuchapiwa...ilimradi heshima imo ndani ya ndoa.......na magonjwa mnajilinda

Shuhuda nnazo nyingi sana wanalalamika wanawake....hawafanywi....
N ziko za wanaume. Wenyewe wanaconfess shughuli kwao sio tena..ngoma imelala doro...si asubhi akiamka wala katikati ya usiku
.mtu ht 40s hajafika

JITAFAKARINI....
Ni kweli huwa nikikaa na wadau wakipiga story za mademu nawashangaa uwezo wao nikiwaambia mimi huwa wanashangaa wananiuliza unawezaje basi hii kitu hata niliwahi safiri vijana performance zao ni zile zile .. kiufupi wanaume wa kuridhisha wanawake tupo wachache mimi nina mwanamke anawatoto wanne anavyonikubali yeye huwa ndiyo anataka show nampelekea moto anakojoa Zaid ya mara 3 had yeye anasema inatosha nimeridhika kiufupi wanaume rijali tunahesabika kadiri miaka inavyokwenda marijali tunapungua
 
Back
Top Bottom