Sababu zinazofanya uwe mwepesi kurogeka

Sababu zinazofanya uwe mwepesi kurogeka

Ulipoandika janaba tu mada nzima ikakosa hoja na kuwa ni imani ya ushirikina tu ambayo wengine hawaamini hayo mambo

Kuna mtu alikuja na uzi humu sikumbuki ni nani ila alisema kila uki do lazima ufue nguo zote pamoja na mashuka yaliyohusika
 
Habari wanajamii forum
Napenda kuchukua fursa hii kuwaeleza sababu ambazo hufanya mtu awe mwepesi kurogeka
1- kufanya ngono ovyo na watu tofauti
2- Kukaa na janaba kwa muda mrefu
3- kukaa na mavuzi kwa zaidi ya siku 40
4- kula kinyesi cha mwanaadamu, hasa wale wanaopenda kunyonya tupu
5- kutonawa na maji baada ya kujisaidia

kuna mengi zaidi yanaweza kua sababisha ya kurogeka kwa urahisi ila vima kukawa na kinga ya ya uchawi na nukhsi katika mwili au nyumba
Hapo hata ukipata magonjwa ya kuambukiza kwa sababu yoyote ya usafi kati ya hizo, utasema umerogwa.
 
Naona kila siku waganga wanakuja na mbinu mpya ya kujitangaza [emoji23][emoji23]
 
Hebu sema Kwanza Mchawi anarogaje rogaje. Hizo zimekaa sana Kimsikitini Msikitini
 
Habari wanajamii forum
Napenda kuchukua fursa hii kuwaeleza sababu ambazo hufanya mtu awe mwepesi kurogeka
1- kufanya ngono ovyo na watu tofauti
2- Kukaa na janaba kwa muda mrefu
3- kukaa na mavuzi kwa zaidi ya siku 40
4- kula kinyesi cha mwanaadamu, hasa wale wanaopenda kunyonya tupu
5- kutonawa na maji baada ya kujisaidia

kuna mengi zaidi yanaweza kua sababisha ya kurogeka kwa urahisi ila vima kukawa na kinga ya ya uchawi na nukhsi katika mwili au nyumba
Asante kwa taarifa..hizbu hamtakiwi zenji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa wale wanaokaa na mavuzi mwaka mzima si ndo wangekua wanaokota makopo kabisa
 
Maadui watatu wa Taifa ni Ujinga, maradhi na umaskini. Hayo mengine tujadili tukimaliza hivyo vya hapo juu
 
Habari wanajamii forum
Napenda kuchukua fursa hii kuwaeleza sababu ambazo hufanya mtu awe mwepesi kurogeka
1- kufanya ngono ovyo na watu tofauti
2- Kukaa na janaba kwa muda mrefu
3- kukaa na mavuzi kwa zaidi ya siku 40
4- kula kinyesi cha mwanaadamu, hasa wale wanaopenda kunyonya tupu
5- kutonawa na maji baada ya kujisaidia

kuna mengi zaidi yanaweza kua sababisha ya kurogeka kwa urahisi ila vima kukawa na kinga ya ya uchawi na nukhsi katika mwili au nyumba
ufafanuzi tafadhali
 
Maadui watatu wa Taifa ni Ujinga, maradhi na umaskini. Hayo mengine tujadili tukimaliza hivyo vya hapo juu
Nyie mnaojifanyaga wasomi uchwara ndio huwa wachawi kweli kweli.

Hapa unatuzuga umestaarabika kwa elimu lakini usiku unatumbukiza hirizi mkunduni unakuja kuturoga!
 
Hapo hata ukipata magonjwa ya kuambukiza kwa sababu yoyote ya usafi kati ya hizo, utasema umerogwa.
Tena wewe unayepinga Mungu kila siku, kuna jambo zito sana kuhusu wewe lililojificha!

Nakutizama kwa makini sana namna unavyowalaghai watu kwa ufundi wako wa lugha na hoja.

Wewe ni binadamu?
 
Back
Top Bottom