Sababu zinazofanya uwe mwepesi kurogeka

Sababu zinazofanya uwe mwepesi kurogeka

Mpingeni shetani nae atawaogopa
Tatizo lipo kwenye kuwa na imani iliyoshiba, maana imeandikwa mtakapo kuwa na imani kidogo sana kama punje ya haridali utaweza kuuamuru mlima uondoke na ukatii. Kitu tunachokosa ni IMANI KAMILIFU. TUTAKAPO JAWA NA IMANI KAMILIFU HAKUNA WA KUTUCHEZEA.
 
Habari wanajamii forum
Napenda kuchukua fursa hii kuwaeleza sababu ambazo hufanya mtu awe mwepesi kurogeka
1- kufanya ngono ovyo na watu tofauti
2- Kukaa na janaba kwa muda mrefu
3- kukaa na mavuzi kwa zaidi ya siku 40
4- kula kinyesi cha mwanaadamu, hasa wale wanaopenda kunyonya tupu
5- kutonawa na maji baada ya kujisaidia

kuna mengi zaidi yanaweza kua sababisha ya kurogeka kwa urahisi ila vima kukawa na kinga ya ya uchawi na nukhsi katika mwili au nyumba
Apia
 
Hakuna uchawi dunia
Upo wewe hawajakuweka kwenye 18 zao tu wakakupigia show ndio maana hujui, sio mazingaraombwe ila uchawi upo hata vitabu vitakatifu vinataja uwepo huo

Soma biblia kuna Jamaa aliepandwa na mapepo alikutana na Yesu akamuuliza unaitwa nani? Akajibu 'Jeshiiiiii' maana yake 'tupo wengi'
 
Habari wanajamii forum
Napenda kuchukua fursa hii kuwaeleza sababu ambazo hufanya mtu awe mwepesi kurogeka
1- kufanya ngono ovyo na watu tofauti
2- Kukaa na janaba kwa muda mrefu
3- kukaa na mavuzi kwa zaidi ya siku 40
4- kula kinyesi cha mwanaadamu, hasa wale wanaopenda kunyonya tupu
5- kutonawa na maji baada ya kujisaidia

kuna mengi zaidi yanaweza kua sababisha ya kurogeka kwa urahisi ila vima kukawa na kinga ya ya uchawi na nukhsi katika mwili au nyumba
Umeoa wake wanne kisha unajipigia ovyo ovyo huku na huko unakua umejiroga au umerogwa?
 
Nimegonga madem wengi na sijawahi rogeka. Zungumzia magonjwa tutakuelewa. Kunyonya tupu unapata magonjwa kupiga kavu magonjwa.. n.k
achana na imani za kizamani
 
Back
Top Bottom