Sababu zinazofanya uwe mwepesi kurogeka

Sababu zinazofanya uwe mwepesi kurogeka

Habari wanajamii forum
Napenda kuchukua fursa hii kuwaeleza sababu ambazo hufanya mtu awe mwepesi kurogeka
1- kufanya ngono ovyo na watu tofauti
2- Kukaa na janaba kwa muda mrefu
3- kukaa na mavuzi kwa zaidi ya siku 40
4- kula kinyesi cha mwanaadamu, hasa wale wanaopenda kunyonya tupu
5- kutonawa na maji baada ya kujisaidia

kuna mengi zaidi yanaweza kua sababisha ya kurogeka kwa urahisi ila vima kukawa na kinga ya ya uchawi na nukhsi katika mwili au nyumba
Kwenye mavuzi, acha nirogeke tu!
 
Uwongo.Km wewe mjanja uniroge Mimi uone.
 
We jamaa utakuwa unajiita mwarabu though unakaa pemba
 
Means zote zinazozuia usiwe attacked na negative power
Negative power ni general ikiwemo witchcraft japo uchawi ni sehemu ndogo sana ya nguvu hasi.Yapo madini,mimea, sounds,waves, Jesus name,nguvu yako ya imani,nk vinazuia kudhurika na nguvu za giza uchawi ikiwemo
Je ivyo vitu ni vipi na vinapatikana vipi , au unavitumiaje kuzuia wanga ., Wanga ni watu wabaya sana.
 
Wakikutaka watakupata tuu binadamu wakishindwa kukuloga watakuletea figisu utaitwa w mwanga
 
Je ivyo vitu ni vipi na vinapatikana vipi , au unavitumiaje kuzuia wanga ., Wanga ni watu wabaya sana.

Ingia google andika ant witchcraft, stop negative power, ant negative power plant, ant negative power mineral, binar beat sounds, The power of Jesus names,na elimu zingine nyingi tu.
Hao wapumbavu sio kwamba Wana nguvu sana wamepewa nguvu zaidi na propaganda zaidi kuliko hali halisi.
 
Back
Top Bottom