Sababu za wanaume kupungua nguvu

Sababu za wanaume kupungua nguvu

Kadri siku zinavyo zidi kuendelea, asilimia kubwa ya wanaume nguvu zao za zidi kupungu. Hii ni kutokana na baadhi ya sababu ninazo ziorodhesha hapa:-

1. Kufanya kazi rahisi rahisi za mwili. Asilimia kubwa watu wamekuwa hawaupi mwili mikiki mikiki kiasi cha kuufanya usiwe na reaction wakati wa kufanya mpz. Ndio maana unakuta watu wanaofanya kazi ngumu kama geleji nk wanakuwa na uwezo.

2. Msongo wa mawazo. Kulingana na changamoto za maisha kumesababisha watu kupunguza nguvu. Kiasi cha kutowaridhisha wenza wao. Inabidi wapenzi wajaribu kuwa na mda wa kulilax. Kama kwenda out, kubadilisha maeneo ya kutembelea, kuangalia anga nk.

3. Uvutaji wa sigara mara kwa mara. Hili nalo linapunguza kiasi kikubwa nguvu.

4. Kula fast food. Asilimia kubwa wanaume wamekuwa wakila vyakula vilaini laini kama chips mayai nk. Kimefanya mwili kudhoofika kiasi cha kutoweza kuzalisha msukumo wa damu kwaajili ya kufanya tendo la ndoa.


Kuna sababu nyingi sana ila nimeleta hizo tu kama angalizo.
Kesi nyingi sana zinatokea kwa wake za watu kutoka nje ya ndo na hatimaye ndoa kuvunjika.

Sio vizuri kutumia madawa kwa ajiri ya kuboost ni vyema kutumia njia ya asili.

Ni hayo tu.
Janga kubwa hapo
 
kuku katuzidi binadamu akili katika mapenzi.
 
humu wanasemaga eti chanzo ni sie wanawake.kisa tunavaa nguo fupi.
Sio hivyo DEMBA bhana kwa hili ke wanalaumiwa kwa kutojishughulisha kuamsha waliolala, yapo mautundu ke anaweza kufanya
ukakuta mzee anarudi kazini baada ya kustaafu,lkn walio wengi ni wazembe kesho yake wanawahi jf hata kabla ofisi hazijafunguliwa utasikia ooh sitoshelezwi, sifikishwi. kuweni wabunifu bhana net/google zipo kwa kazi hiyo.
 
Last edited by a moderator:
mwenye nguvu muite power, huo ni uwezo binafsi, kikubwa saikolojia, hata ule dona na kisamvu na nyanya chungu, bado kama hujaandaa saikolojia yako basi nguvu huna.
 
Kadri siku zinavyo zidi kuendelea, asilimia kubwa ya wanaume nguvu zao za zidi kupungu. Hii ni kutokana na baadhi ya sababu ninazo ziorodhesha hapa:-

1. Kufanya kazi rahisi rahisi za mwili. Asilimia kubwa watu wamekuwa hawaupi mwili mikiki mikiki kiasi cha kuufanya usiwe na reaction wakati wa kufanya mpz. Ndio maana unakuta watu wanaofanya kazi ngumu kama geleji nk wanakuwa na uwezo.

2. Msongo wa mawazo. Kulingana na changamoto za maisha kumesababisha watu kupunguza nguvu. Kiasi cha kutowaridhisha wenza wao. Inabidi wapenzi wajaribu kuwa na mda wa kulilax. Kama kwenda out, kubadilisha maeneo ya kutembelea, kuangalia anga nk.

3. Uvutaji wa sigara mara kwa mara. Hili nalo linapunguza kiasi kikubwa nguvu.

4. Kula fast food. Asilimia kubwa wanaume wamekuwa wakila vyakula vilaini laini kama chips mayai nk. Kimefanya mwili kudhoofika kiasi cha kutoweza kuzalisha msukumo wa damu kwaajili ya kufanya tendo la ndoa.


Kuna sababu nyingi sana ila nimeleta hizo tu kama angalizo.
Kesi nyingi sana zinatokea kwa wake za watu kutoka nje ya ndo na hatimaye ndoa kuvunjika.

Sio vizuri kutumia madawa kwa ajiri ya kuboost ni vyema kutumia njia ya asili.

Ni hayo tu.

Umesahau masturbation....
 
mwenye nguvu muite power, huo ni uwezo binafsi, kikubwa saikolojia, hata ule dona na kisamvu na nyanya chungu, bado kama hujaandaa saikolojia yako basi nguvu huna.

Wewe jidanganye sijui unajua mpini unasimama kwa ajili gani? Muulize mtu mwenye kisukali kwanini mpini umelala hausimami je hana saikolojis?
 
Waache tu wataendelea kuchapiwa mpaka watapojirekebisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom