Sababu za vegetarians kutokula nyama

viumbe wote ni rahisi kuwahurumia,,lakini nyoka kwa kweli siwezi
 
Siku ya Vegan Duniani inaadhimishwa
Novemba 1 kuhamasisha watu kufuata mtindo wa Maisha wa kula mboga mboga na kueneza ufahamu kuhusu Veganism

Veganism ni Mtindo wa Maisha unaopanua falsafa ya kupiga marufuku uuzaji na ulaji wa Wanyama hivyo Mtu anayeiishi falsafa hii huitwa Vegan

Kulingana na Jumuiya ya Vegans , Mtindi huu wa maisha hunufaisha afya, hulinda ustawi wa wanyama na kulinda mazingira.

Jumuiya hii pia huadhimisha Siku hii ili kusisitiza tabia ya Lishe ya Kijani

Lishe ya Kijani inamaanisha Chakula kisichojumuisha Nyama na Bidhaa za Wanyama kama vile Maziwa na Mayai
 
Wanakataa kula nyama halafu wanakula chakula cha wanyama hii ina make sense kweli?
 
Aiseeeeee Imani ni kitu cha hatari saaaana asikwambie tu.
 
Exactly mkuu. Hata hasira na egoism zinaisha unapokula chakula kisicho na umwagaji damu.
Ulaji wa Nyama pia huleta kisiriani na manung'uniko. Safari ya wana wa Israel kutoka Misri kwenda nchi ya ahadi njiani walikuwa na manung'uniko saaana kisa hawakupata kitoweo cha Nyama! Wakafikia hatua ya kusema, ni heri wangebaki Utumwani wakila nyama na maziwa kuliko mateso wanayoyapata njiani kuelekea nchi ya ahadi.
 
Mimea sio viumbe hai na wanakula
 
Niwafafanulie kuhusu mimea.Mimea ni kweli ina uhai kwa sababu ina zile seven characteristics of living things.
Ila ina moja ambayo iko tofauti na wanyama.Ina very low irritability.What is irritability now
Irritability is the ability to respond to stimulus
Kwa mmea hii iko taratibu mno
Mmea ukiukata hausikii maumivu,mmea hauna feeling mfano kulia kukasirika.
Ninaposema very low irritability nitoe mfano ukiukata tawi moja au wote ili uote mwingine inachukua muda.
Mmea ukiuweka kwenye giza inachukua siku kadhaa kuinama kufuata mwanga ulipo.
Mizizi ya mimea kukiwa na mbolea mahali flani ile mizizi yake itaelekea kule mbolea ilipo lakini inachukua muda mrefu.
Nadhani mmenielewa hawa wenye hizi imani wako sawa kutokana na sababu hizi
 

Attachments

  • photostropism.PNG
    36.4 KB · Views: 21
Asante sana kwa huu ufafanuzi.. Nimeongeza kitu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mboga za bonde la msimbazi hizi na matunda yanayoivishwa kwa umeme % kubwa ya mboga za majani jiji la dar mchicha na chainizi etc zinapigwa dawa sana na zinaota kwenye mabonde ambayo maji taka ya viwanda yavaelekezwa yapite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…