eddy zebingwa
New Member
- Feb 20, 2016
- 1
- 1
mh wanawake wanapobaniaaa wanategemea uyo mwanaume atapewa na naniii mwanamke ndiyo mchawiii wa ndoaa yake asitegemee kuna mchawi wa ndoa zaidi yakeeeee
We mwenyewe unapiga nyeto..Nimejaribu kufanya uchunguzi wa kutosha asilimia kubwa ya wanaume waliopo kwenye ndoa wananyanyasika kimapenzi toka kwa wake zao na kujikuta wanarudia kupiga punyeto.
Sababu mkubwa ikiwa ni kunyimwa tendo na wake zao, Mara nyingi wanawake wanakuwa wanatoa sababu mbali mbali zingine zenye mashiko na zingine zisizokuwa na mashiko ili mradi kaamua.
Na hapo kwa mwanaume anaona amefanyiwa ukatili mkubwa inaeleweka mwanaume anaweza akatoka kazini kaona mipaja ya haja na mitego mingi anajua akifika home ndio atakapomalizia shida zake.
Akinyimwa wengi wao huenda kupiga punyeto wasioogopa magonjwa hapo ndio michepuko huanzishwa.
Jamani wanawake sometimes muwe mnatuonea huruma.
Program gani hyo mzee?Kati ya hao unaowasema kuna hata mmoja aliyekuwa hana hiyo tabia ya kupiga punyeto bali ameanza baada ya kuoa na kunyimwa unyumba?
Asilimia kubwa hawa ni vingunge wa punyeto na wengine hata akimaliza kumgegeda mkewe, mkewe akiondoka tu huyo na losheni yake kuungurumisha punyeto.
Punyeto ni addiction mbaya sana na inavyoonekana hata wewe unayo ndo maana unajaribu kutafuta sababu ya kuihalalisha hapa. Kuachana nayo inabidi ujifunge vibwebwe vya kisaikolojia na uwe determined. Vinginevyo utabakia kuendelea tu kutafuta visababu vya kuihalalisha. Baada ya miaka saba na kujaribu mara nyingi sana kuacha bila mafanikio hatimaye mwaka 2000 nilipata program ya kitaalamu nikaifuata na leo nina zaidi ya miaka mitano sijaungurumisha punyeto.