mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Kuna wanaume wengine nao mh kila siku halafu ubunifu mdogo lazma uchoke wkt fulani mwanamke anakuwa amechoka na kazi za nyumbani na ww tena ukitaka hp lzm akatae na ht akikubali ni kukuridhisha tu ni bora tusomane tabia