Sababu za kuwa na nyumba ndogo

sasa mnataka mpewe mlio wa mahaba wakati kazi unayofanya is below standards! aggggrrrr give us a break!

wanawake wana haki ya kufurahia tendo la ndoa kama wanaume, sasa hii ya kuwa mwanamke akigune japo haja feel raha siielewi hata kidogo.

Ooh, I m speechless
 
nipe nkupe....we ukija unapanda tu ka unadandia basi unategemea nini...aaaaah nenda huko nyumba ndogo...
 
Wanaume bana!
Hivi hamjiulizi kwa nini nyumba ndogo anajua fika una mke wako wa halali na anaelewa fika kuwa huna future naye but still anajifanya anakupenda.
Siraha pekee ya nyumba ndogo ni kumwibia mwanaume kwa kutoa sauti za mahaba na kujifanya umemfikisha hata kama hajafika kokote ili uendelee kutoa huduma muhimu.
Mnaibiwa wapendwa.
wewe unaonyesha ni nyumba ndogo ya mtu, kwa jinsi unavyotuelewa mashabiki wa nyumba ndogo itakuwa tu na ww umekamata mutu
 
hivi unafunga ndoa kwanini mke wako ni wako pekee yako na nyumba ndogo ukitoka anaingia juma,paul,james na hamisi sasa sio uroda bali utakuja kuleta ungojwa nyumbani.mara ukimwi na watoto wenu ni yatima,kama nyumba ndogo ni nzuri mpe mke wako talaka na wewe uwe fiti kwa cd wa nyumba ndogo.
 
Sasa kama ishu yenyewe ndio hiyo kwenye 'red' unataka mapenzi ya nn tena? ww hapo unataka fidia ya mahari na sio mapenzi! kwa sababu ww mwenyewe unakuwa huna mapenzi! dah..:frown: Kumbuka Love is a two way traffic...

Kweli watu wakitaka kuhalalisha ufedhuli wanatafuta sababu lukuki....

Wahubirie mtu wa Mungu!
 
muwe mnasoma team pinzani zenu (nyumba ndogo) zinafanya nn kututeka ili mboreshe nyumba zenu
HEBU TUACHE UTANI JAMANI!
Kwenye ndoa utasema kuna team pinzani? Ukisema wanawake wana timu pinzani..ujue unatafuta matatizo makubwa..... cha msingi elewa .... hata orchestra ina wanaoifanya iwe orchestra! Soma katikati ya mistari uelewe nasema nini kama kweli unataka uhondo kwenye ndoa yako.
 
HEBU TUACHE UTANI JAMANI!
Kwenye ndoa utasema kuna team pinzani? Ukisema wanawake wana timu pinzani..ujue unatafuta matatizo makubwa..... cha msingi elewa .... hata orchestra ina wanaoifanya iwe orchestra! Soma katikati ya mistari uelewe nasema nini kama kweli unataka uhondo kwenye ndoa yako.

Hivi WoS wewe umeolewa?
 
Nadhani sababu kuu ni w/wake (wake zetu) utakuta baada ya kuolewa anasahau kabisa wajibu wake tofauti na enzi za uchumba utakuta mtu anakupa mzigo kama hataki vile hata hatoi ushirikiano (hii nimefanya kuuliza watu kama 10 hivi), wakati mtu unataka upate mahaba mazito kufidia mahari.

sasa ukijaribu kutest nje mara moja unakutana na mambo adimu, mtu ata ukimpuliza anatoa mlio wa kimahaba, kitandani ndio usiseme na ukimaliza washukuriwa na kupewa pole

Sio kitu kizuri nyumba ndogo na zishindwe ila wanawake mjitahidi kupepea ndoa zenu kwa kuwa wabunifu otherwise nyumba ndogo hazitaisha
may be that is the reason why some women fake the big O? but the real women won't fake it...
I've already come into conclusion why men cheat...it has really nothing to do with women...
 
aisee na wewe bwana...hivi mwanamke gani ana huo muda wakati huu?

Hebu muamushe shostito...bado kalala huyo. Niache kujima na mimi raha zangu...eti nikiko nashindania mwanaume! Kwani ni wewe peke yako. Hivi wanaume hawajui kwamba na wanawake (specially wenye ndoa zao na waume wazao viwembe) ndo wanatongozwa sana. Sema tuu ni heshima ndo wanailinda. Alafu licha ya hiyo kama unaleta ligi hapo umeshawi kujiuliza wewe mwanaume unapohudumia hiyo so called small house you loose alot of money and your precious time. While kama wife naye aamue kujivinjari...she will be gaining alot na kujenga magorofa huko kwao! Think, msifanye mambo kama vipofu. Na ndo maana 60% ya watoto wenu ni nje ya ndoa zenu. Lol.
 
Hebu muamushe shostito...bado kalala huyo. Niache kujima na mimi raha zangu...eti nikiko nashindania mwanaume! Kwani ni wewe peke yako. Hivi wanaume hawajui kwamba na wanawake (specially wenye ndoa zao na waume wazao viwembe) ndo wanatongozwa sana. Sema tuu ni heshima ndo wanailinda. Alafu licha ya hiyo kama unaleta ligi hapo umeshawi kujiuliza wewe mwanaume unapohudumia hiyo so called small house you loose alot of money and your precious time. While kama wife naye aamue kujivinjari...she will be gaining alot na kujenga magorofa huko kwao! Think, msifanye mambo kama vipofu. Na ndo maana 60% ya watoto wenu ni nje ya ndoa zenu. Lol.

watu mna hasira kweli, halafu hiyo yakwimu inaonyesha kuwa nyie ndio mnachepuka zaidi lol
 
Wanaume hawajisahau eeh?! Kama huwasiliani na mwenzio kujua unachotaka yeye ataota?! Hebu tupe break wanawake.
Pia ujue miguno ya mahaba inaendana na mapenzi ya mahaba siyo kushindilia tu..Kama unahusudu nyumba ndogo hata upewe nini hutaridhika.
Ndoa inahitaji uvumilivu,upendo,heshima na kupepewa kutoka pande zote yani wanaume&wanawake, siyo tu wanawake!!

yan km ningekua na uwezo ningekupa PHD award of all mastaz!!!!!!!!!
ni kweli kabisa hiii mambo inagusa pande mbili its only lazy man can thk da issue slp to woman
wewe km una.....km unamlima mwenzo no prepartn no wat then u thk u can get a SWEET respond n cooperation from ya wife bas una maTATIZO
miguno...ushirikiano mwema unapatikana pale panapo matayarisho mema na siyo wewe umekuja juu juuu unataka umalize araka uandae presntation.report sjui ya kesho .n yet ur still claiming to get a paradise verb from ha...............!!!!
play your part
talk to ya wife wat u want ha to do 4 u
then mwambioe um.wap apate kupandisha mashetan vyema.......apo sasa segere litakuwa jema yan km vile mtu umempoandisha hasira vya kutosha ni lazima atareact accordengly n ths princple z simalar.equal to game la kitandani!!!!!!!1
wake up
N NEVE EVER THK MWANAMKE PEKE AKE NDO CHANZO......Z ON BOTH PART....mbaya zaidi mwanaume ndo anachangia sana bila kujijiua afu mwsho wa siku anaona wife ndo chanzo km kawaida yao kukubali kushindwa .kuonekana wamefeli kwao ni matusi.

MWANAUME KAMILI ANAADMIT PALE ALIPOKOSEA,...........ALIPOFELI NA ANAKUBALI KUBADIRISHWA KM SI KUREKEBSHWA!!!!!!!
 
sasa utaita vp hello honey wakati usiku umenyimwa unyumba bila sababu za msingi na ukitaka kumuudhi mwanaume mnyime unyumba hapo ndoa lazima itaingia shubiri ni ugomvi au kuita nyumba ndogo kwa mikono miwili

ndio maana ukajiita funza dume! tatizo lenu madume ni kudhani kuwa ndoa is all about kulalana kitandani! kwangu mie ndoa is more than that. na mark you kwamba zoezi zima la tendo la ngono linatakiwa kuwa na maandalizi mazuri tena ya kutosha, fikiria wewe umeona makalio mjini hukoo ulikotoka, unafika kwa mkeo unataka kuyafanya yale makalio kama reference wakati unalala na mkeo (maana ndio zenu wanaume) halafu unaanza nae tendo bila kumuandaa, wakati unalifanya huku umefumba mambo unawaza yale makalio ya mjini, wewe lazima utaenjoy kwa kuwa una taswira mbele yako, lakini mke atabaki anakuona mzigo kwani hata hujamuaandaa hapa unatarajia nini> kitu kingine lazima utofautishe na mahaba ya ukweli na ya wizi.... huyo sex worker a.k.a nyumbandogo ujue yuko kibiashara zaidi hapo anapotoa miguno na kuwajibika kwa bidii ni kwaku anajua kujituma kwake kwa bidii ndio kutaongeza dau lake mezani hata kama ingekuwa wewe ungefanyaje. angalie nyie wanaume mnaibiwa huku mnajiona ndo maana mna majina mengi, mabuzi, ATM, voda fasta n.k. POLENI kaka zangu
 
Firstlady, kwa taarifa yako, wanawake ni hodari sana kwa kutoka nje. Tena afadhari mabinti kwa kuwa bado wanawinda waoaji.

Suala la nymb ndogo, linatokana na sababu kuu tatu: Migogoro ndani ya ndoa; tamaa (pande zote); na wengine kuichukulia kama starehe (hobby).
 
Back
Top Bottom