Sababu za kuwa na nyumba ndogo

Mwanamke ni mwenza wako na sio chombo chako kaka!! Tendo la ndoa limebarikiwa si la kuchezea, wote wawili mnatakiwa kushiriki kikamilifu kama vile mko mezani kwenye msosi, nyie vipi??
kama ungekuwa na ndoa ungeelewa nachosema na hilo ni lalamiko la kila m/ume tunapokutana Bar kuna kipindi hawa ndg zetu wanakosa ushirikiano kabisa
 
sasa utaita vp hello honey wakati usiku umenyimwa unyumba bila sababu za msingi na ukitaka kumuudhi mwanaume mnyime unyumba hapo ndoa lazima itaingia shubiri ni ugomvi au kuita nyumba ndogo kwa mikono miwili
kwani wewe unaoa ili uwe unamega kila siku? kwani umesikia mwanamke ni shimo la kukojolea shahawa zako tu? kwani yeye hana feelings? sasakama yeye hana feelings unatakaje? unataka apanue tu ukanyage twende? Unajua nyie wanaume mnakosea sana! Unarudi home(tena wengine na mipombe chakari); hata hujui mkeo kashindaje we unataka nonino, unajua mnaboa sana! andaeni mazingira kabla ya kula tunda...nakuhakikishia ukimwandaa mkeo kamwe hatokataa, tena utaona mwenyewe anajisogeza, ukigusa mkono analegea, ukilamba 'achali' anatulia ...kisha unazama uvinza finally unapiga game 'live'
 
muwe mnasoma team pinzani zenu (nyumba ndogo) zinafanya nn kututeka ili mboreshe nyumba zenu
 
Umeanza visa vyako siyo?

umeona eehh, najua hapo nimekugusa coz wahi yako nyumbani ndio saa 5, yaani hapo mwenyewe umewahii....bado hujaniparamia sasa halafu unataka nilegeze sauti, nilegeze wakati nasubiri umalize ushuke coz umenikatisha ucngizi halafu umeparamia tu...
 
kama ungekuwa na ndoa ungeelewa nachosema na hilo ni lalamiko la kila m/ume tunapokutana Bar kuna kipindi hawa ndg zetu wanakosa ushirikiano kabisa

kwanini wewe ucmuonyeshe huo ushirikiano kama wampenda/wamjali?...kwanini usiokote hicho unachosema unakipata huko nyumba ndogo ukaja kumuonyesha mwenzio huo ujuzi mcheze kwa step?.....punguzeni lawama.
 
ngoja nikumegee kimoja adimu kutoka nyumba ndogo yangu kwanza kabla ya pambano uwa anacheza sebene uchi halafu wakati wa kuoga anaibeba mgongoni na kunisugua mpk kende, pia napakwa sabuni naambiwa fumba macho nalishwa na maji nanyweshwa kama mtoto mdogo kwa mama yake, JE WAYAWEZA HAYO KAMA MKE
 
sikatai kuwa shost zangu wengine wanabweteka wakisha olewa.lakini wanaume hata mpewe nini,kwanza wengi wenu mnachelewa kurudi,then unategemea mwenzio umkute anachekelea tu huo usiku wa manane?pili mna viji sms mkikutwa navyo hamtoi maelezo ya kutosha,siku za mwisho wa wiki hamshikiki hme ooh mara kuna jamaa yangu tunamit,oh naandaa ripoti kuna ukaguzi j3.tuna choka ndo maana ukirejea nakuangalia kama nyanya mbovu.kwani najua unanichora tu huna lolote.nakumbuka kuwa nyumba ndogo hana huduma yoyote zaidi ya naniiii.je we una ishi kwa hiyo tu hapo hme?
 
ngoja nikumegee kimoja adimu kutoka nyumba ndogo yangu kwanza kabla ya pambano uwa anacheza sebene uchi halafu wakati wa kuoga anaibeba mgongoni na kunisugua mpk kende, pia napakwa sabuni naambiwa fumba macho nalishwa na maji nanyweshwa kama mtoto mdogo kwa mama yake, JE WAYAWEZA HAYO KAMA MKE

kwanini yacwezekane?...mfundishe hayo ukikaa nayo kimya yeye ataota?...hakuna liclowezekana kasoro ki 1 tu.
 
Mhhhh! Maneno matakatifu yanasema, MWANAMKE MPUMBAVU HUIBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO MIWILI.. Vile vile yanaendelea kusema, ENYI WANAUME ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI!!!
 
muwe mnasoma team pinzani zenu (nyumba ndogo) zinafanya nn kututeka ili mboreshe nyumba zenu
kwahiyo unaruhusu nao watafute nyumba ndogo? utajisikiaje wewe ukiwa na nyumba ndogo na mkeo nae ananyumba ndogo yake?

Note: Kuna jamaa ana mkewe! Anasema mkewe amekuwa mvivu wa mamboz tangu wapate watoto wa 2. Jamaa ameamua kujichapia katika nyumba ndogo!

Cha ajabu huyo mkewe naye anatochukuliwa na 'serengeti boy' fulani wa kitaa! dogoo nasikia anampa mambo kinoma. Mama mwenye watoto wa 2 kaoza kabisaaa! Dogo akiomba kitu aaah mama anatoa fasta! Lakini mumewe ***** anakula mabua nje wakati 'serengeti boy' anakula asali taratibuuuuuu!

Mapenzi kazi kweli kweli hahaha!
 
Wanaume bana!
Hivi hamjiulizi kwa nini nyumba ndogo anajua fika una mke wako wa halali na anaelewa fika kuwa huna future naye but still anajifanya anakupenda.
Siraha pekee ya nyumba ndogo ni kumwibia mwanaume kwa kutoa sauti za mahaba na kujifanya umemfikisha hata kama hajafika kokote ili uendelee kutoa huduma muhimu.
Mnaibiwa wapendwa.
 
Ndoa nazo zinachosha hivi BUNGE kwa nn lisipitishe ndoa za Mikataba maana mapenzi uchanua na kunyauka kama maua lol
 
kwanini wewe ucmuonyeshe huo ushirikiano kama wampenda/wamjali?...kwanini usiokote hicho unachosema unakipata huko nyumba ndogo ukaja kumuonyesha mwenzio huo ujuzi mcheze kwa step?.....punguzeni lawama.

Akikuuliza ulioneshwa na nani? Seke seke litaanzia hapo!
 
kutokuwa na msimamo,kutokujua unachokifanya,kutokujiheshimu,kuwa na ulimbukeni ktk mapenzi yani umeingia ktk ndoa lakini bado unafanya mapenzi kwa njia ya kujistarehesha au anasa zaidi kuliko kuingia ktk undugu na kujenga familia na mwenzio,kutokuwa na mapenzi ya dhati kwa mwenzi wako.
 
Back
Top Bottom