Sababu za kuvunja uhusiano

Ukishaanza kufatilia yasiyokuhusu unaaanza kuweka doubts Na ule uaminifu unalika Kila uchwao mwisho inafikia hatua mnagombana Na kuachana kwa mambo ya ajabu wakati ungetulia Bila kumfatilia yasingekukuta tunayaona yapo kushika sim za wenza wenu kufatilia kila msg hupelekea huko
Kufuatiilia nyendo za mpenzi wako ni kawaida ila isipite kiasi na si dhambi hasa pale unapoona viashiria ambavyo siyo, nisimfuatilie ili NIKUTE NDEGE KAPULULIWA MANYOYA?
 
Uvivu
Usaliti
Ushirikina
Uchoyo
Ulevi wa kupindukia
Manyanyaso mf. Kupigwa kwa mke Mara kwa Mara
Matunzo 0
 
Mim ndo mleta uzi, mim nmeachwa sababu nlmwambia kuna hela naitgmea kuipata sku ikitoka ntaiweka mezan tupange tjue tunaifanyia nn, akaulza unaitoa wapi nkamwambia nmeomba mkopo bank, same point akamind vibaya et why sjamshriksha b4 (tulkuw bdo level ya uchumba) kwa hyo sababu kabrokeUP.
 
We Me au ke mkuu
 
Kila mtu ana sababu zake, kuna wengine hata uwasaliti wamo tu. So tunatofautiana.
Me ni mmoja wapo...

Nilisalitiwa na mpenzi wangu ila bado nimo tu, ila sababu ni kwamba niliona hata nikiachana naye kwa muda ule me ndo niliyeumia hamna jinsi so nasubiri zamu yake tuu maana me nilishaacha kumpenda
 
Kukumbushia mambo ya nyuma kila mkipishana kauli...Kutaka tuwe 50% 50%( Basi ningemuoa bure, maana alivokua ana force nijitambulishe, nitoe mahari na kufunga ndoa mpaka nikamuonea huruma nikafanya yote , ila sasa najuta maana imekua familia ya kambare kila mtu ana ndevu)...Na ma group yao kwenye mitandao ya kijamii nowdays sijui wanajiita"women with visions, wanawake huru n.k" wanadanganyana humo.kwa kifupi ambao hamjaoa jipangeni sana.
 
Duu, nmekuja PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom