Sababu za kuvunja uhusiano

Sababu za kuvunja uhusiano

usaliti, kuwa msiri kupitiliza na uongo wa mara kwa mara. binafsi siwezi kuendelea kimahusiano na mwanamke mwenye tabia hizo labda abadilike!!
Me too brother cpend ujinga huo.. Nilikapigachini kadem flan Kwa tabia hizo
 
Kupenda pesa kupindukia na kufake maisha.
 
Mim ndo mleta uzi, mim nmeachwa sababu nlmwambia kuna hela naitgmea kuipata sku ikitoka ntaiweka mezan tupange tjue tunaifanyia nn, akaulza unaitoa wapi nkamwambia nmeomba mkopo bank, same point akamind vibaya et why sjamshriksha b4 (tulkuw bdo level ya uchumba) kwa hyo sababu kabrokeUP.
Lbd ungemshrksha b4 angekupa yy hyo pesa
 
Me nilikuwa napiga vitano kumbe alikotoka kazoea kimoja...basi akakimbia
 
Umbeaumbea siupendi kabisa, naona hadi kichefuchefu, utasikia tu nikuambie mr leo mtu fulani kafanya hivi..... Yaani shida mtupu
 
Back
Top Bottom