nami nashangaa eti uongo umuache mtu???Atoto inategemea na uwongo Gani Ila mimi binafsi simpi NAFASI mpenzi wangu ya kunidanganya na kweli uwongo siupendi Ila mimi ni muongo.. Sasa umuache mpenzi kisa uwongo Hapana Kwa kweli.. Usaliti SAWA tunaachana
whaaaaaaaaat?dude plzNa Usaliti nitakuacha kama tuko level za NDOA Ila level za upenzi nitapotezea
Sure thing!whaaaaaaaaat?dude plz
Kutokuwa na pesa ni usaliti mkubwa.Mtu anasalitiwa sababu ya pesa/money/fedha/mkwanja.
Noma sana. Ngoja nijichange kwanza
Sasa usipopenda pesa kupindukia utapenda nini!Kupenda pesa kupindukia na kufake maisha.
HahaahhahahahahMbona umetaja nyingi hivyo, wenzio tutaje nini sasa?
Ahahahaha.....ulivyoachwa nikawa naye mie. ..eti nimeachwa kisa nina dick small size...anasema mie kibamia.Inategemea.kuna wengine hata usaliti sio shida kwao.wengine sababu ndogo tu wanaachana. Nishawahi kuachwa na a lady kisa nina big dick. Haikuniingia kichwani sababu mwanamke ni elastic na baada ya mda pussy huzoea.
Wewe unashindwa kuvumilia au?Kutokuwa na pesa ni usaliti mkubwa.
Hapo haupaswi kuvumilia, njaa haivumiliki.Wewe unashindwa kuvumilia au?
Kwahiyo utamfuta mwenye hela. Huo usalitiHapo haupaswi kuvumilia, njaa haivumiliki.
Sio usaliti, namuacha.Kwahiyo utamfuta mwenye hela. Huo usaliti
Ndio usaliti huo kisa hana helaSio usaliti, namuacha.
Mkuu una experience au umesoma kwenye gazeti na kusikiasikia tu kwa watuKutokua Na uaminifu
Usaliti
Uongo
Dharau
Kutosahau yaliyopita
Kuchunguza yasiyokuhusu
.
.
.
.
N.k

Mkuu una experience au umesoma kwenye gazeti na kusikiasikia tu kwa watu![]()
![]()
![]()
![]()




Nina experience Na nimeyaona mengine Kwa watuNdio usaliti huo kisa hana hela
Kufuatilia yasiyokuhusu kama yapi?Ukishaanza kufatilia yasiyokuhusu unaaanza kuweka doubts Na ule uaminifu unalika Kila uchwao mwisho inafikia hatua mnagombana Na kuachana kwa mambo ya ajabu wakati ungetulia Bila kumfatilia yasingekukuta tunayaona yapo kushika sim za wenza wenu kufatilia kila msg hupelekea huko
Umenena vema,anapochat au unapokuta msg anachat na mwanaume mwingine inakuhusu sana tu?Wewe mwanamke kuchat na wanaume wengine na hatimae kuishia kutongozana huko whatsapp,facebook,SMS,badoo,hi5 e.t.c hainihusu???![]()