mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,053
- 4,825
Poleeee mkuu daaah inabidi sharubu za kambaaleee mmoja zikatweKukumbushia mambo ya nyuma kila mkipishana kauli...Kutaka tuwe 50% 50%( Basi ningemuoa bure, maana alivokua ana force nijitambulishe, nitoe mahari na kufunga ndoa mpaka nikamuonea huruma nikafanya yote , ila sasa najuta maana imekua familia ya kambare kila mtu ana ndevu)...Na ma group yao kwenye mitandao ya kijamii nowdays sijui wanajiita"women with visions, wanawake huru n.k" wanadanganyana humo.kwa kifupi ambao hamjaoa jipangeni sana.