Sababu za kutokuendelea kwa Jiji la Mwanza

Habarini wote Wana JF,

Leo nimemaliza utafiti wangu kwa nini mwanza kushindwa kuendelea na Moja ya Jiji kwenye majiji Tanzania.

Jiji la mwanza Lina idadi kubwa ya mchanganyiko wa makabila mbalimbali waliopo hapo kutoka mikoa mbalimbali.

Sababu zinazofanya kutokuendelea hizi hapa:

1. Ndoto ya wakazi mwanza Kila mtu anawaza dar es salaam. Asilimia kubwa ya wakazi wamwanza kuanzia mwenyeji, mgeni Toka mikoa inayozunguka, wafanyabiashara, wanafunzi, watumishi na n.k wote Wanawaza kutimiza ndoto zao dar.

Ni kwa nini ?
Ufinyu wa fursa na mzunguko kufanikiwa jijini mwanza unataka moyo ukilinganisha na dar es salaam ndio maana mwanza Ina walionacho na wasio nacho ukilinganisha na dar unaweza kuja unakitu na ukatoboa.

Wafanyabiashara wengi waliopo mwanza wanapofanikiwa kimaendeleo asilimia kubwa nguvu zao uzipeleka jijini dar es salaam sababu ya mzunguko wa biashara.

2. Vyuo Bora kukosena mwanza.
Ili nalo ni tatizo katika Jiji la mwanza kukosa vyuo vyenye ushawishi. Wahitimu wengi wa vyuo vilivyopo mwanza wakimaliza mazingira Yana washawishi kurudi dar wakiona Kuna kupata zaidi.

3. Jeographia ya mwanza
Katika sehemu ambazo mwanza inapata shida ni changamoto miundo mbinu kimaeneo Yani roli linakatiza mjini sababu mjini ndio njia ya kuelekea sehemu nyengine.

Maeneo ya biashara ni mafinyu ukilinganisha na dar na Ili uwafanya watu kuhisi dar ni rahisi kupata nafasi ya biashara mfano kariakoo.

4. Ushamba
Japo ni Jiji ila limejaa ushamba ndio maana ni ngumu kubuni au kuanzishwa biashara mpya mfano KFC wakati msukuma anataka samaki chukuchuku.

Pili upande wa ufugaji wa kisasa kama samaki,kuku na n.k umetengenezwa zana mbaya kwa wakazi wenyeji kuona sio chakula.

5. Uelewa
Japo ni Jiji ila Lina uelewa mdogo sana ukilinganisha na dar Ili upelekea mtu au watu uelewa wao ukiwa mkubwa anaona Bora kwenda dar.

Mwisho:
Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kama unapata pesa.
Mwanza ipi unaongelea?
 
Kama Mwanza haijaendelea ,,kigoma tumeizika ni pori kabisa...
uwezo wa kujenga hoja na ukosefu wa content ni tatizo hapa jF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rubbish
 
shida ya maji ipi .. wakati mradi wa butimba ushafunguliwa ...
Barabara zipi Wakati tactics imeanza ujenzi wa barabara kutoka buhongwa Hadi igoma Kisha inaunga nyamhongolo Hadi buswelu jumla ya km 24 za lami...bado wanajenga barabara za lami kirumba na cocacola Hadi buswelu....
Soon pia tender inatangazwa ujenzi wa lami ya kutoka airport Hadi nyanguge kupitia igombe ...
Na barabara ya kutoka mkuyuni Hadi nyakato..hizi barabara zote zinaact kama bypass ya kutopita city center..
 
Mwanza ni Jiji nzuri la kuishi ila tatizo ni miundombinu hasa barabara, maji na umeme pembeni mwa Jiji ni shida sana. Kuna sehemu hazipitiki kipindi cha mvua japo siyo mbali sana kutoka mjini, maji ndio kilio cha muda wote kwa wana Mwanza
Sasa kama kuna changamoto lukuki kama hivi pana uzuri gani?
 
Tutapata majibu tu.
Nimeona asilimia kubwa wakazi wa mwanza wakipata pesa tu wanaamisha biashara zao dar.
Wanakataa sababu sio vizuri kuweka majina.
Kama marehemu fredwaa angekuwa JF yu hai angeeleza Ili.
Ila utaambiwa nyumba nyingi sijui nini zilizojaa milimani kama mabanda ya njiwa.
Ukipanda huko inabidi uwe vizuri kwenye mapafu
 
Hahahaa
 
Ila wewe jamaa ni mjinga na mshamba sana!sasa ulitaka watu wa Mwanza wajenge wapi wakati sehem kubwa ya Mwanza ni milima?.

Umewahi kufika Kigali Rwanda au Capri point Mwanza ukaona kuwa milima sio tatizo? kwahiyo zile zilizopo juu ya milima sio nyumba?
 
Tutapata majibu tu.
Nimeona asilimia kubwa wakazi wa mwanza wakipata pesa tu wanaamisha biashara zao dar.
Wanakataa sababu sio vizuri kuweka majina.
Kama marehemu fredwaa angekuwa JF yu hai angeeleza Ili.
Ila utaambiwa nyumba nyingi sijui nini zilizojaa milimani kama mabanda ya njiwa.
Ukipanda huko inabidi uwe vizuri kwenye mapafu
Fredwa ndo nani alikuwa ameajiriwa Star TV ndo awe model ya watu wa Mwanza kuhama? Huyo alikuwa masikini akijitafuta ndo maana alitoka Mwanza akaenda Clouds kutafuta ugali!
Huyo alikuwa na uchumi gani? Akina Kishimba,Lakairo,Gachuma,Mongo,Kowelo ,Musukuma Mbona bado wako Mwanza? Nenda kwenye yard za Kuuza Magari Dar kaulize mkoa gani wanaongoza kununua na kuagiza Magari baada ya Dar! Uje hapa kuongea ujinga wako!
 
Mwanza ipi unaizungumzia,kusema moyoni mwanza na Dar es salaam tofauti ni ndogo sana kuanzia uchumi, population mpaka miundombinu japo mimi sio mzaliwa wa huku ila nimeinyoshea mikono.
Population na uchumi Dar na Mza? Unatutania aisee.
 
Dar inabebwa na bandari na matajiri wachache! Ukileta hapa vijana wa Mwanza na Dar utagundua kiuchumi vijana wa Mwanza wako juu!
Usidanganyike na magorofa huku unashindia kibarua cha huku 10!
Mo Dewji alisema utafiti unaonesha vijana wa mikoani wanakipato waliko wa Dar!
 
Nilisikia kuna mwamba alieleza humu kua Mwanza km umetoboa alafu sio mzawa basi nenda mapema uwahi duka la Silaha maana wanamwanza wakikugundua wewe sio mwenzao alafu ni Tajiri lazima wakupoteze
Hii nikwel nlikua hapo majuz asee maduka yawageni yanaongoza kuvamiwa
 
Mbona watu wako Mwanza hakuna habari hizo! Siku hizi vyombo vya habari vinareport kila tukio!
Mwanza ni ya watanzania wote kila mtu yuko huru na hakuna ukabila kama mikoani ile miji yao isiyokua!
 
Ukabila hakuna ila kuna kisukuma kila sehem, nmezunguka nkafika nyashish kwambele sehem inaitwa ntende nkajionea hayo mambo yakuvunjiwa maduka mana ni center ndogo bado
 
Ni kesi chache sana! Huko nje ya mji wakazi wengi ni wasukuma!
Kuanzia buhongwa full mchanganyiko na wageni kwa hiyo kuongea kisukuma hata town waoaongea kwa kiasi kidogo sana!
Ila utafiti wa jamaa ni wamchongo tu ukitoa Dar hakuna mkoa unakua kwa kasi kuzidi Mwanza!
 
Back
Top Bottom