Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,310
- 8,211
Unajua maana ya ushamba au unaropoka,kuwa muongeaji kupita kawaida, uhuni au usela nondo au wizi na utapeli ndio ujanja?Kwa hiyo kile kipengele sha ushamba ni kweli ndio maana ujawakubali

Wacha aisee!Wanakula chakula cha wo!wo!wooo!🐕🦺🐕🦺🐕🦺?Hizi fitina zetu haziwezi kuzuia ukuaji uliotukuka wa jiji kubwa la Mwanza, endeleeni kula miguu ya kuku mkiwa kwa masheneji zenu.
Vijana wa chuga huwa wanapata tabu sana wanaposikia jina Mwanza huwa wanatamani tuhamishiwe burundi😂😂😂😂
Hapo napo amekwama kutofautisha kati ya ushamba,kuangalia mambo kwa ukaribu,kutafakari halafu utoe maamuzi na kuwa na kiherehere grade one!🤔Unajua maana ya ushamba au unaropoka,kuwa muongeaji kupita kawaida, uhuni au usela nondo au wizi na utapeli ndio ujanja?
Watu wengi wakarimu na wasiokuwa na mambo mengi ya kijinga, kipumbavu na kipuuzi huwa wanaitwa washamba na mapopoma kaliba ya mleta uzi.Hapo napo amekwama kutofautisha kati ya ushamba,kuangalia mambo kwa ukaribu,kutafakari halafu utoe maamuzi na kuwa na kiherehere grade one!🤔
Acha uongo mkuu. Mwanza inaizidi dar kwa ujenzi wa majengo..?? Msukuma bwanaHuna unalojua kuhusu Mwanza, hakuna watu wanaopenda kuishi kwao kama wazawa wa Mwanza, mtu asili ya Mwanza huwa hababaiki na sehemu nyingine ya nchi hii yofauti na mwanza, angalia kasi ya ujenzi hata Dar hagusi kwa majengo, ingawa anapata upendeleo wa serikali, wingi wa watu kunaonesha watu wanabaki mwanza na kujenga, hakuna mtu ambaye atafika mwanza na atatamani kuondoka.
Kama Mwanza ingekuwa imedorora basi isingekuwa jiji la pili kwa ukubwa, na hakuna mkazi wa asili wa Mwanza akatamani kwenda kuishi dar labda hao watakuwa ni watu wa makabila mengine , dar tutaenda kuchuma tunajenga Mwanza🙏🙏
Mindset yako ndy inawaza hayo unayoyasema man kwahiyo mamdogo acha kusemea watu kwamba wanataka kutimiza ndoto zao dar bobudar unaweza kuja unakitu na ukatoboa.
Mwanza pazuri sana, ingawaje kibiashara huwezi linganisha na dsm lakini ki ujumla kwa swala la kiusalama, hali ya hewa, mzunguko wa pesa, unafuu wa upatikanaji wa chakula bora, rasilimali na nguvu kazi.Habarini wote Wana JF,
Leo nimemaliza utafiti wangu kwa nini mwanza kushindwa kuendelea na Moja ya Jiji kwenye majiji Tanzania.
Jiji la mwanza Lina idadi kubwa ya mchanganyiko wa makabila mbalimbali waliopo hapo kutoka mikoa mbalimbali.
Sababu zinazofanya kutokuendelea hizi hapa:
1. Ndoto ya wakazi mwanza Kila mtu anawaza dar es salaam. Asilimia kubwa ya wakazi wamwanza kuanzia mwenyeji, mgeni Toka mikoa inayozunguka, wafanyabiashara, wanafunzi, watumishi na n.k wote Wanawaza kutimiza ndoto zao dar.
Ni kwa nini ?
Ufinyu wa fursa na mzunguko kufanikiwa jijini mwanza unataka moyo ukilinganisha na dar es salaam ndio maana mwanza Ina walionacho na wasio nacho ukilinganisha na dar unaweza kuja unakitu na ukatoboa.
Wafanyabiashara wengi waliopo mwanza wanapofanikiwa kimaendeleo asilimia kubwa nguvu zao uzipeleka jijini dar es salaam sababu ya mzunguko wa biashara.
2. Vyuo Bora kukosena mwanza.
Ili nalo ni tatizo katika Jiji la mwanza kukosa vyuo vyenye ushawishi. Wahitimu wengi wa vyuo vilivyopo mwanza wakimaliza mazingira Yana washawishi kurudi dar wakiona Kuna kupata zaidi.
3. Jeographia ya mwanza
Katika sehemu ambazo mwanza inapata shida ni changamoto miundo mbinu kimaeneo Yani roli linakatiza mjini sababu mjini ndio njia ya kuelekea sehemu nyengine.
Maeneo ya biashara ni mafinyu ukilinganisha na dar na Ili uwafanya watu kuhisi dar ni rahisi kupata nafasi ya biashara mfano kariakoo.
4. Ushamba
Japo ni Jiji ila limejaa ushamba ndio maana ni ngumu kubuni au kuanzishwa biashara mpya mfano KFC wakati msukuma anataka samaki chukuchuku.
Pili upande wa ufugaji wa kisasa kama samaki,kuku na n.k umetengenezwa zana mbaya kwa wakazi wenyeji kuona sio chakula.
5. Uelewa
Japo ni Jiji ila Lina uelewa mdogo sana ukilinganisha na dar Ili upelekea mtu au watu uelewa wao ukiwa mkubwa anaona Bora kwenda dar.
Mwisho:
Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kama unapata pesa.
Kama wazungu wangekuwa wanakula mavi basi huyu mshamba nae angekuwa anakula kwa sababu akili yake ya kichoko inaona kula kfc chips na bloiler chickens na baga na vyakula vingine ambavyo sio vyakitanzania ni ujanja ,piece of shit acha niteme kohozi ptuuuuu,. Ushamba
Japo ni Jiji ila limejaa ushamba ndio maana ni ngumu kubuni au kuanzishwa biashara mpya mfano KFC wakati msukuma anataka samaki chukuchuku
Huwa sibishani na vichaa wamilembe, sensa inasema Mwanza inaongoza kwa majengo yanayoendelea kujengwa, na dar inaongoza kwa maghorofa, Mwanza inaongoza kwa majengo mengi, nenda kabishane na dada ako.Acha uongo mkuu. Mwanza inaizidi dar kwa ujenzi wa majengo..?? Msukuma bwana
Sasa matusi ya nn ? Kichaa nani kati yetu hapa. ? Kichaa anakuwa na lugha za matusi na kujikweza. Kichaa hujambo..?Huwa sibishani na vichaa wamilembe, sensa inasema Mwanza inaongoza kwa majengo yanayoendelea kujengwa, na dar inaongoza kwa maghorofa, Mwanza inaongoza kwa majengo mengi, nenda kabishane na dada ako.
So,walioko dar wote wanetoboa sio!!!???Habarini wote Wana JF,
Leo nimemaliza utafiti wangu kwa nini mwanza kushindwa kuendelea na Moja ya Jiji kwenye majiji Tanzania.
Jiji la mwanza Lina idadi kubwa ya mchanganyiko wa makabila mbalimbali waliopo hapo kutoka mikoa mbalimbali.
Sababu zinazofanya kutokuendelea hizi hapa:
1. Ndoto ya wakazi mwanza Kila mtu anawaza dar es salaam. Asilimia kubwa ya wakazi wamwanza kuanzia mwenyeji, mgeni Toka mikoa inayozunguka, wafanyabiashara, wanafunzi, watumishi na n.k wote Wanawaza kutimiza ndoto zao dar.
Ni kwa nini ?
Ufinyu wa fursa na mzunguko kufanikiwa jijini mwanza unataka moyo ukilinganisha na dar es salaam ndio maana mwanza Ina walionacho na wasio nacho ukilinganisha na dar unaweza kuja unakitu na ukatoboa.
Wafanyabiashara wengi waliopo mwanza wanapofanikiwa kimaendeleo asilimia kubwa nguvu zao uzipeleka jijini dar es salaam sababu ya mzunguko wa biashara.
2. Vyuo Bora kukosena mwanza.
Ili nalo ni tatizo katika Jiji la mwanza kukosa vyuo vyenye ushawishi. Wahitimu wengi wa vyuo vilivyopo mwanza wakimaliza mazingira Yana washawishi kurudi dar wakiona Kuna kupata zaidi.
3. Jeographia ya mwanza
Katika sehemu ambazo mwanza inapata shida ni changamoto miundo mbinu kimaeneo Yani roli linakatiza mjini sababu mjini ndio njia ya kuelekea sehemu nyengine.
Maeneo ya biashara ni mafinyu ukilinganisha na dar na Ili uwafanya watu kuhisi dar ni rahisi kupata nafasi ya biashara mfano kariakoo.
4. Ushamba
Japo ni Jiji ila limejaa ushamba ndio maana ni ngumu kubuni au kuanzishwa biashara mpya mfano KFC wakati msukuma anataka samaki chukuchuku.
Pili upande wa ufugaji wa kisasa kama samaki,kuku na n.k umetengenezwa zana mbaya kwa wakazi wenyeji kuona sio chakula.
5. Uelewa
Japo ni Jiji ila Lina uelewa mdogo sana ukilinganisha na dar Ili upelekea mtu au watu uelewa wao ukiwa mkubwa anaona Bora kwenda dar.
Mwisho:
Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kama unapata pesa.
Yeah kwa sensa ni kweli Mwanza inaongoza kwa mujibu wa sensa! Hata nyumba za mtaani Mwanza ni moja ya mji yenye majengo mazuri sana ya makazi!Acha uongo mkuu. Mwanza inaizidi dar kwa ujenzi wa majengo..?? Msukuma bwana
Nakusaidia kijana naona unataka kuvamia mtumbwi wa vibwengoSasa matusi ya nn ? Kichaa nani kati yetu hapa. ? Kichaa anakuwa na lugha za matusi na kujikweza. Kichaa hujambo..?
Dah, sidhani kama umefanya utafiti kama unavyosema naona zaidi ni hisia zako tu, kwa ndaani naona hata wewe DSM unapakubaliHabarini wote Wana JF,
Leo nimemaliza utafiti wangu kwa nini mwanza kushindwa kuendelea na Moja ya Jiji kwenye majiji Tanzania.
Jiji la mwanza Lina idadi kubwa ya mchanganyiko wa makabila mbalimbali waliopo hapo kutoka mikoa mbalimbali.
Sababu zinazofanya kutokuendelea hizi hapa:
1. Ndoto ya wakazi mwanza Kila mtu anawaza dar es salaam. Asilimia kubwa ya wakazi wamwanza kuanzia mwenyeji, mgeni Toka mikoa inayozunguka, wafanyabiashara, wanafunzi, watumishi na n.k wote Wanawaza kutimiza ndoto zao dar.
Ni kwa nini ?
Ufinyu wa fursa na mzunguko kufanikiwa jijini mwanza unataka moyo ukilinganisha na dar es salaam ndio maana mwanza Ina walionacho na wasio nacho ukilinganisha na dar unaweza kuja unakitu na ukatoboa.
Wafanyabiashara wengi waliopo mwanza wanapofanikiwa kimaendeleo asilimia kubwa nguvu zao uzipeleka jijini dar es salaam sababu ya mzunguko wa biashara.
2. Vyuo Bora kukosena mwanza.
Ili nalo ni tatizo katika Jiji la mwanza kukosa vyuo vyenye ushawishi. Wahitimu wengi wa vyuo vilivyopo mwanza wakimaliza mazingira Yana washawishi kurudi dar wakiona Kuna kupata zaidi.
3. Jeographia ya mwanza
Katika sehemu ambazo mwanza inapata shida ni changamoto miundo mbinu kimaeneo Yani roli linakatiza mjini sababu mjini ndio njia ya kuelekea sehemu nyengine.
Maeneo ya biashara ni mafinyu ukilinganisha na dar na Ili uwafanya watu kuhisi dar ni rahisi kupata nafasi ya biashara mfano kariakoo.
4. Ushamba
Japo ni Jiji ila limejaa ushamba ndio maana ni ngumu kubuni au kuanzishwa biashara mpya mfano KFC wakati msukuma anataka samaki chukuchuku.
Pili upande wa ufugaji wa kisasa kama samaki,kuku na n.k umetengenezwa zana mbaya kwa wakazi wenyeji kuona sio chakula.
5. Uelewa
Japo ni Jiji ila Lina uelewa mdogo sana ukilinganisha na dar Ili upelekea mtu au watu uelewa wao ukiwa mkubwa anaona Bora kwenda dar.
Mwisho:
Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kama unapata pesa.
Sawa piga yote kwa jumla. Majengo ya mwanza room moja moja 😁😁😁Nakusaidia kijana naona unataka kuvamia mtumbwi wa vibwengo
View attachment 2760824
Huyo ni mpuuzi yaani watu wa Mwanza wawe na ndoto na DARKuna bibi mmoja hapo alikuwa anapika msosi wa asili, sato, kambale, kamongo plus ugali wa mhogo......nilikuwa nahudhuria sana chimbo hilo kupata chakula cha mchana enzi hizo nikiwa pande hizo za rocky city.......mwanza pako vizuri pamejitosheleza kimaisha na kiuchumi kiujumla, kusema watu wa mwanza wana ndoto za kuja Dar siwezi kuafikiana na hilo.
Jumlisha mwenyewe hapo, wewe sio mtoto mdogo mwenye kuvaa pampas.Sawa piga yote kwa jumla. Majengo ya mwanza room moja moja 😁😁😁