Sababu za kutokuendelea kwa Jiji la Mwanza

Kuna ukweli kwa mbali, mfano miundo mbinu hasa Barabara. Kuna hitajika Barabara za mkato bila kukatiza katikati ya jiji. Unatoka buhongwa unaenda Nyakato lazima upite katikati ya mji bila sababu.
Barabara ya Kenyatta na Nyerere ilipaswa kuwa njia nne.
Maji (japo maji ni tatizo la Dar pia) ziwa lipo karibu ila taabu ya maji ni mji mzima.
Shida kubwa ni wabunge wa Mwanza
 
duuh
cc Mikdde Kitombile ChoiceVariable
 
Kazi imeanza 👇
Screenshot_20230923-172020_1.jpg
Screenshot_20230923-171133_1.jpg
1695486031108.jpg
 
Habarini wote Wana JF,

Leo nimemaliza utafiti wangu kwa nini mwanza kushindwa kuendelea na Moja ya Jiji kwenye majiji Tanzania.

Jiji la mwanza Lina idadi kubwa ya mchanganyiko wa makabila mbalimbali waliopo hapo kutoka mikoa mbalimbali.

Sababu zinazofanya kutokuendelea hizi hapa:

1. Ndoto ya wakazi mwanza Kila mtu anawaza dar es salaam. Asilimia kubwa ya wakazi wamwanza kuanzia mwenyeji, mgeni Toka mikoa inayozunguka, wafanyabiashara, wanafunzi, watumishi na n.k wote Wanawaza kutimiza ndoto zao dar.

Ni kwa nini ?
Ufinyu wa fursa na mzunguko kufanikiwa jijini mwanza unataka moyo ukilinganisha na dar es salaam ndio maana mwanza Ina walionacho na wasio nacho ukilinganisha na dar unaweza kuja unakitu na ukatoboa.

Wafanyabiashara wengi waliopo mwanza wanapofanikiwa kimaendeleo asilimia kubwa nguvu zao uzipeleka jijini dar es salaam sababu ya mzunguko wa biashara.

2. Vyuo Bora kukosena mwanza.
Ili nalo ni tatizo katika Jiji la mwanza kukosa vyuo vyenye ushawishi. Wahitimu wengi wa vyuo vilivyopo mwanza wakimaliza mazingira Yana washawishi kurudi dar wakiona Kuna kupata zaidi.

3. Jeographia ya mwanza
Katika sehemu ambazo mwanza inapata shida ni changamoto miundo mbinu kimaeneo Yani roli linakatiza mjini sababu mjini ndio njia ya kuelekea sehemu nyengine.

Maeneo ya biashara ni mafinyu ukilinganisha na dar na Ili uwafanya watu kuhisi dar ni rahisi kupata nafasi ya biashara mfano kariakoo.

4. Ushamba
Japo ni Jiji ila limejaa ushamba ndio maana ni ngumu kubuni au kuanzishwa biashara mpya mfano KFC wakati msukuma anataka samaki chukuchuku.

Pili upande wa ufugaji wa kisasa kama samaki,kuku na n.k umetengenezwa zana mbaya kwa wakazi wenyeji kuona sio chakula.

5. Uelewa
Japo ni Jiji ila Lina uelewa mdogo sana ukilinganisha na dar Ili upelekea mtu au watu uelewa wao ukiwa mkubwa anaona Bora kwenda dar.

Mwisho:
Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kama unapata pesa.
Wewe unazungumzia Mwanza ipi hiyo ambayo haijaendelea? hivi kuwa mkweli nchi hii ukitoa DAR ni jiji lipi limeendea kuzidi Mwanza?au unachuki tu na wasukuma
 
Naona mtu wa Arusha ameamua kujibu mapigo 😂😂
 
Huna unalojua kuhusu Mwanza, hakuna watu wanaopenda kuishi kwao kama wazawa wa Mwanza, mtu asili ya Mwanza huwa hababaiki na sehemu nyingine ya nchi hii yofauti na mwanza, angalia kasi ya ujenzi hata Dar hagusi kwa majengo, ingawa anapata upendeleo wa serikali, wingi wa watu kunaonesha watu wanabaki mwanza na kujenga, hakuna mtu ambaye atafika mwanza na atatamani kuondoka.

Kama Mwanza ingekuwa imedorora basi isingekuwa jiji la pili kwa ukubwa, na hakuna mkazi wa asili wa Mwanza akatamani kwenda kuishi dar labda hao watakuwa ni watu wa makabila mengine , dar tutaenda kuchuma tunajenga Mwanza🙏🙏
 
Habarini wote Wana JF,

Leo nimemaliza utafiti wangu kwa nini mwanza kushindwa kuendelea na Moja ya Jiji kwenye majiji Tanzania.

Jiji la mwanza Lina idadi kubwa ya mchanganyiko wa makabila mbalimbali waliopo hapo kutoka mikoa mbalimbali.

Sababu zinazofanya kutokuendelea hizi hapa:

1. Ndoto ya wakazi mwanza Kila mtu anawaza dar es salaam. Asilimia kubwa ya wakazi wamwanza kuanzia mwenyeji, mgeni Toka mikoa inayozunguka, wafanyabiashara, wanafunzi, watumishi na n.k wote Wanawaza kutimiza ndoto zao dar.

Ni kwa nini ?
Ufinyu wa fursa na mzunguko kufanikiwa jijini mwanza unataka moyo ukilinganisha na dar es salaam ndio maana mwanza Ina walionacho na wasio nacho ukilinganisha na dar unaweza kuja unakitu na ukatoboa.

Wafanyabiashara wengi waliopo mwanza wanapofanikiwa kimaendeleo asilimia kubwa nguvu zao uzipeleka jijini dar es salaam sababu ya mzunguko wa biashara.

2. Vyuo Bora kukosena mwanza.
Ili nalo ni tatizo katika Jiji la mwanza kukosa vyuo vyenye ushawishi. Wahitimu wengi wa vyuo vilivyopo mwanza wakimaliza mazingira Yana washawishi kurudi dar wakiona Kuna kupata zaidi.

3. Jeographia ya mwanza
Katika sehemu ambazo mwanza inapata shida ni changamoto miundo mbinu kimaeneo Yani roli linakatiza mjini sababu mjini ndio njia ya kuelekea sehemu nyengine.

Maeneo ya biashara ni mafinyu ukilinganisha na dar na Ili uwafanya watu kuhisi dar ni rahisi kupata nafasi ya biashara mfano kariakoo.

4. Ushamba
Japo ni Jiji ila limejaa ushamba ndio maana ni ngumu kubuni au kuanzishwa biashara mpya mfano KFC wakati msukuma anataka samaki chukuchuku.

Pili upande wa ufugaji wa kisasa kama samaki,kuku na n.k umetengenezwa zana mbaya kwa wakazi wenyeji kuona sio chakula.

5. Uelewa
Japo ni Jiji ila Lina uelewa mdogo sana ukilinganisha na dar Ili upelekea mtu au watu uelewa wao ukiwa mkubwa anaona Bora kwenda dar.

Mwisho:
Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kama unapata pesa.
Kaka yake shetani
 
Hizi fitina zetu haziwezi kuzuia ukuaji uliotukuka wa jiji kubwa la Mwanza, endeleeni kula miguu ya kuku mkiwa kwa masheneji zenu.
 
Ingawa sijui ni kwa faida ya nani,, lakini uliyoyaandika yote ni uongo mtupu,,
Hiyo Mwanza unayoizungumzia hapa labda ni ya 80's huko sio sasa,, nakushangaa sana
Achana na vijana wenye stress za maisha na hawajui kesho yao.
 
Back
Top Bottom