Sababu za Kumtosa Samir Nasri Sauzi!

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Naomba maelezo ya yanayojitosheleza kuhusu hiki kitendo cha kikatili dhidi ya nyota huyu - au kwa sababu ni Muarabu?

samir-nasri-v-birmingham-240.jpg
The omission of Arsenal midfielder Samir Nasri is another decision I cannot get my head round. In fact Domenech must be appearing in ‘one flew over the cuckoo’s nest 2′ with the decisions he is making. Nasri has been one of the Gunners better players this season and to be fair to him, he stepped up to the plate when Cesc Fabregas was injured as the team’s playmaker. For him to be ignored with players like Yoann Gourcuff, Mathieu Valbuena and Sidney Govou in the squad beggars belief.

http://community.footballpools.com/...nch-coach-is-nuts-to-leave-out-benzema-nasri/
 
angalia dini, ulaya hiyo dini haifagiliwi, however to me it is very unfair mtu kubaguliwa kwa kigezo hicho.
 
Huyu domenech alitakiwa kufukuzwa zamani sana wakati wa euro lakini wameendelea kumng'ang'ania na ndio wataona balaa lao south africa.jamaa hajui anachokifanya sasa hivi na wachezaji wenyewe hawamkubali.
 
Domenech mfumo anaoutumia Nasri hawezi maana ni mvivu na hajitumi! Kaachwa Benzema nini huyu ?
 
Benzema kaachwa kwa vile alikuwa hapangwi kwenye club yake.kama nasri hafai style yake kwanini mwanzo alimwita sasa? Ukweli nikwamba domenech hajui anachofanya sasa hivi ndio maana ali struggle hata kuiqualify na france itaendelea ku-struggle mpaka atakapoondoka.
 
Hao NASRI na BENZEMA ni wa ALGERIA wakaamua kuchezea FRANCE shauri yao ,by the way kazi ya ukocha ina lawama kwelikweli
 
Hao NASRI na BENZEMA ni wa ALGERIA wakaamua kuchezea FRANCE shauri yao ,by the way kazi ya ukocha ina lawama kwelikweli

hicho sio kigezo mkuu, Yuri Jorkaef na Zinedine Zidane nao pia walikuwa wanatoka hukohuko na walikuwa wanategemewa sana na timun yao ya ufaransa
 
angalia dini, ulaya hiyo dini haifagiliwi, however to me it is very unfair mtu kubaguliwa kwa kigezo hicho.

dini pia sio kigezo, kuna waislamu wangapi ndani ya timu ya ufaransa?
Nicolaus Anelka, Abidail, Frank Ribel, sagna, na kulikuwa na Zidane na Yuri Jorkaef
 
hicho sio kigezo mkuu, Yuri Jorkaef na Zinedine Zidane nao pia walikuwa wanatoka hukohuko na walikuwa wanategemewa sana na timun yao ya ufaransa

Yeah nafikiri uliona mchango wa ZIDANE ,kama unapata nafasi kama hizo unatakiwa ku-prove but still umri wao ni mdogo watapata chance huko baadae.Kocha wa Ufaransa ni bomu sijui kwa nini hadi leo ana kibarua
 
Nasri ni kituko PERIOD. Namuunga mkono Domenech, ameachwa Vieira atakuwa huyu midget Nasri?
 
Nasri ni kituko PERIOD. Namuunga mkono Domenech, ameachwa Vieira atakuwa huyu midget Nasri?
Mh ! Una maana Nasri anyechezea Arsenal au kuna mwingine? Kama ni huyo wamuona kituko, kweli binadamu wote tu sawa lakini hatufanani !
 
watz bwana wanafikiri timu za ulaya ni kama tff.unaweza ukawa fit lakini wakawepo fit zaidi yko au mfumo ukakukataa kwa sbb ya style yako ya uchezaji.nasr yuko bomba na sbb za kumwacha anazo kocha,full stop
 
Nasri ni mchezaji chipukizi ambaye anastahili kuwepo Sauzi. Ni mchezaji muhimu hasa katika kujenga kikosi imara ya baadae cha Ufaransa Domenech alitakiwa alione hilo nadhani hatazami mustakbali wa baadae wa France!
 
Huyu Domenech hana tofauti na Diego Armando Maradona aliyeamua kuwaacha walinzi mahiri Javier Zenett and Esteban Cambiasso waliofanikiwa kumweka mfukoni Messi wakati wa mechi ya nusu fainali kati ya Inter na Barca na badala yake amewachukua Coloccini na Gutierrez waliokuwa wanachezea timu ya daraja la pili. Wakati mwingine uhuru wanaopewa makocha unawafanya wautumie kutoa maamuzi ya kuudhi sana.
 
Nasri alikuwa kwenye kikosi kilichoipeleka Ufaransa Sauzi hivyo hakuna sababu ya msingi ya kumtoa sasa. Labda sababu iwe ni kuvunjika kwake kwa mguu na kukaa nje kwa muda mrefu. Ila pamoja na hilo amepona na kacheza vizuri hasa kwenye ligi ya mabingwa wa Ulaya. Ufaransa itajuta kumfahamu Domenech!

Halau hapa watu wanadhani Uarabu = Uislamu. Pia kumbukeni kina Zidane sio wa enzi za Domenech. Hapa kuna harufu ya ubaguzi wa rangi tu!:frown:
 
Mkubwa wachezaji waliopeleka timu WC ni wengi mno haiwezekani kwenda nao wote mfano Maradona alitumia wachezaji 100 kwenye game za WC qualification but at the end wanatakiwa waende 23 tu,cha msingi tuangalie viungo ambao kawachua nani aachwe ili Nasri aende kati ya hawa Alou Diarra -Girondins de Bordeaux Lassana Diarra -Real Madrid (ESP) Jeremy Toulalan -Olympique Lyonnais Franck Ribery -Bayern Munich (GER) Yoann Gourcuff -Girondins de Bordeaux Florent Malouda -Chelsea (ENG) Yann M'Vila -Stade Rennais Abou Diaby -Arsenal (ENG
 
jamani france ina wachezaji wengi wazuri hususan viungo ni kama brazil tu,kina mario jarder na elber walikuwa wafungaji bor ligi zao ureno na ujerumani lakini hawakuwahi kuitwa national team,acheni mipira ya bongo kila siku lazima kaseja aitwe na hata akigoma atabembelezwa,hakuna kufagiliana kama anaringa anatemwa au wengine kiwango,kaachwa romario 2002 world cup yani hadi rais kapingwa na watu wamerudi na kombe,lazima tuheshimu maamuzi ya makocha saa nyingine sisi washabiki tu na tuna mapenzi yetu binafsi kwa wachezaji aidha kidini,kisura na klabu.
 
dini pia sio kigezo, kuna waislamu wangapi ndani ya timu ya ufaransa?
Nicolaus Anelka, Abidail, Frank Ribel, sagna, na kulikuwa na Zidane na Yuri Jorkaef

Ahasnte kwa kunipasha kuwa Anelka ni Muislam. Ndiyo nasikia kwako
 
Hawa Makocha wana kiburi sana safarin hii. Dunga nae kawaacha PATO , MACELO na NEYMAR. Maradona naye anamng'ang'ania VERON pamoja na watu kumlalamikia kuwa amefulia kimchezo
 
Nasri ni mchezaji chipukizi ambaye anastahili kuwepo Sauzi......

Tukianza kupeleka Sauzi ''kila anyestahili'', patakuwa hapatoshi!

Huyu Nasri alishawahi kuitwa kwenye team. Alifanya nini?? inaonekana hakumconvice kocha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom